MAZISHI YA MAISHA ALIYEFARIKI KWA UGONJWA WA INI KWAO TUKIO A TO Z TAZAMA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 сер 2024
  • NIKUOMBE UJIUNGE KWENYE GROUP LETU LA WhatsApp
    link chat.whatsapp....
    PIA UN AWEZA KUJIUNGA NA GROUP LETU LA TELEGRAM
    Link. t.me/joinchat/...
    INSTAGRAM JINA
    SUBCRIBE NOW
    LENGO LA MAGROUP HAYA MAWILI NI KUHAKIKISHA TUNAJUZANA MENGI YA JAMII KAMA MARADHI..MATUKIO YA UNYANYAPAAJI..WATU WENYE MAZINGIRA MAGUMU..FAMILIA KUTELEKEZWA..
    TUPIGIE 0625466848 UTUPE TAARIFA PIA TUNAPATIKANA WHATSAPP

КОМЕНТАРІ • 524

  • @maximumtvonline
    @maximumtvonline  4 роки тому +8

    JIUNGE KWENYE GROUP LETU LA WHATSAPP KWAAJILI YA TEAM MAXIMUM TV NA PIA KUTULETEA HABARI ZA MATUKIO KILA PANDE NASI TUTAREPORT HAPA
    LINK. chat.whatsapp.com/JkSQagAXclaAAv1INM4qpV
    GUSA HAPO KUJIUNGA SASA
    PIA TELEGRM GROUP LINK HII HAPA JIUNGE SASA. t.me/joinchat/SuUqvRhRgJ9CXdkT1A3YzA

    • @habibasaidi984
      @habibasaidi984 4 роки тому

      Mung atakulipa dalaju lajuukwa moyo uliyo kuwanao niwachache sana wenye moyokama wako mung akupe maisha malefudaina kukowa nimoyo siutajili unaweza ukawa tajili nausiwe nautu mung akulinde

    • @saciousahmedy7316
      @saciousahmedy7316 3 роки тому

      Daah inalillah wainaillah lajun

  • @omarsharifa5606
    @omarsharifa5606 4 роки тому +50

    Kaka zahir Allah atakulipa ujira wakoo ,,,mungu akujalie umri na afya njema insha'Allah 🤲🤲🤲 alhamdulillah Allah atujalie mwisho mwema 😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @fatmaaly3056
    @fatmaaly3056 4 роки тому +12

    Dunia tunaiyacha na vilivyomo tuache zinaa,ushirikina,fitna na mengi mabaya allah atuweke na taufik inalilah waina ilah rajion husnul hatma y'allah

  • @reginakisanga9308
    @reginakisanga9308 4 роки тому +33

    Mwenyezi mungu amrehem ndugu yetu na wapendwa wetu wote waliotangulia mbele za haki

  • @momobakari1225
    @momobakari1225 3 роки тому

    Innalillahi wainnailaihi rajeun, ALLAH akulaze pema peponi MAISHA, imeniuma sana hadi nimelia, ALLAH ajaalie kaburi lako liwe na nuru, ajaalie malaika wema wawe pembezoni mwako, AMIIN YA RABBAL ALAMIN🙏🙏

  • @aminashafi3066
    @aminashafi3066 4 роки тому +14

    Wallah huyo ndie rafiki wa maisha maana amesimama nae mpaka dakika za mwisho

    • @sulemohd4812
      @sulemohd4812 4 роки тому +4

      Yule.mkaka alikuwa anaumwa lkn maskini alikuwa anavumilia maradhi.allah amsameh makosayake

  • @mwanahamis5487
    @mwanahamis5487 4 роки тому +19

    Zaih niwachacha saan wenye moyo Kama wako Hatuna budi kukuombea Dua njema mungu akupe kila njema

  • @munnawwary757
    @munnawwary757 4 роки тому +5

    Allahumma ghafrllah warhmah waskan filjanah

  • @leylahleylah4599
    @leylahleylah4599 4 роки тому +8

    kaka unamoyo wew mungu atakulipa Insha Allah usichoke kutenda mema ujira wako utaukuta kwa Allah..Zahir anahema kwa ajili ya mwendo pole kaka.

  • @neemamtangi368
    @neemamtangi368 4 роки тому +7

    Asante kk. Kwakutuza. Maisha mungu ampe Lauri dhabiti lnshaa Allah

  • @husnahassan6289
    @husnahassan6289 4 роки тому +2

    Innalillahi wainnailaihii rajiun poleni sana ndugu jamaa na marafiki wote Ameen

  • @zaitunmaarufu3371
    @zaitunmaarufu3371 4 роки тому +3

    Innallillah wainna illah rajin'guun. Yani nimeumia sn. Maana zahr nakufatiliya sn. ALLAH akufanyie wepesi katika kazi yako. Unafanya kazi kubwa. Zahri naihusiya nafsi yangu pamoja na kuisiya nafsi yako tufanye ibada tumche ALLHA. Kwani dunia hii tunapita.

  • @rehemaaithumani3076
    @rehemaaithumani3076 4 роки тому +3

    Mwenyeezi mungu amlaze mahali pema peponi na ampunguzie Adhabu ya kaburini sote njia moja ulale kwa Amani

  • @khadijaomar2723
    @khadijaomar2723 4 роки тому +3

    Inna lillahi wainna ilayhi raajiun poleni kwa msiba Allah awape subra wenzetu wa tz

  • @guwileguwileyasini758
    @guwileguwileyasini758 4 роки тому

    Innalillah waina lillah rajunni poni nas wafiwa wote na uyo kk arokuwa anamuuguza maisha allah alipe jana filidaus in shaallah kuwana moyo uwowo tumekupa pongezi san allah kakupa imani kubwa sn indeleya kuwa na imani in shaallah

  • @halimaswaheli1495
    @halimaswaheli1495 4 роки тому +11

    Polen Familia polen nanyinyi waandishi mungu Ata walipa 😭😭😭😭😭

  • @halishmwarua2957
    @halishmwarua2957 4 роки тому +2

    Mwenyezimungu amrehemu in sha Allah inauma bt hatuna budi tulimpenda sana mungu halimpenda zaidi halikuwa mpole na mcheshi nimeishiwa nguvu leo kabisa 😭😭😭😭😭 mbele yke nyuma yetu

  • @rosemongi5273
    @rosemongi5273 4 роки тому

    Mpumzika kwa amani maisha mwenyez mungu akupe pepo ya daraja poleni Sana wana familia, Ni kaz ya mungu Haina makosa

  • @nasrasaid9844
    @nasrasaid9844 3 роки тому +1

    Kaka zaher allah atawalipa nyie kwa kazi mzito munayoifanya wengine sie atuna uwezo wakusaidia wenzetu ila tunatamani sana allah awajaalie moyo km huo

  • @zaitunijuma7831
    @zaitunijuma7831 4 роки тому +3

    kk mwandishi honger sn kwa kazi uliyo ifanya mungu akuzidishie moyo huo huo pia azid kukulinda kk

  • @esterester5612
    @esterester5612 4 роки тому +8

    Masikin rafik ake anaumia sana 😢😢

  • @habibaa9503
    @habibaa9503 4 роки тому +2

    Innalillah waina alayhim ragiun nimeumia allah ailaze roho ya marem pema peponi amin,nimeumia sana hakika ahad za mwenyez mungu ni bora kuliko ya mwanadamu,zahir na huyo kijana mwingine allah awape moyo wa iman awape kheri duniani na kesho akhera😭😭

  • @angelluanda4221
    @angelluanda4221 4 роки тому +3

    Kiukweli nimelia sana allah akupe kauli thabiti

  • @user-nr1bf7iu8z
    @user-nr1bf7iu8z 4 роки тому

    Shukran sana kkzahir kwa kazi nzuri.sina chakusema tena juu yakkyetu Maisha chamsingi nikumuombea kila baada yaswala Allah amsamehe kilaalo fanya na muepushe na moto na adabu yakaburi Amiin amiin amiin

  • @rehemasalim4590
    @rehemasalim4590 4 роки тому +26

    poleni wanafamilia na uongoz wa maximum tv njia yetu sote tofaut mda tu

    • @maximumtvonline
      @maximumtvonline  4 роки тому +3

      Asante sana

    • @hadijahmwajombe9588
      @hadijahmwajombe9588 4 роки тому +2

      @@maximumtvonline poleni sana jamani maximum tv online tv poleni sana

    • @dottnatt7110
      @dottnatt7110 4 роки тому +1

      Innalillah wa inna illah rajuuqun😭😭

    • @ashahaji6786
      @ashahaji6786 4 роки тому +3

      Inna lillah wainna ilayhi raajiuun. Kwa kweli inauma sana lkn ni qadar ya Allah

    • @salehalbasam41
      @salehalbasam41 4 роки тому +2

      Kabisa njia ya sote

  • @naimasaid7763
    @naimasaid7763 4 роки тому +10

    Vzr sana ZAHIR na Maximum tv kwa ujumla, nimefurahi sana kuona mmekwenda msibani huko, mungu awape moyo huo huo wa ushirikiano

  • @raiye5621
    @raiye5621 4 роки тому +7

    Allah amsahem makosa yke amtilie nour kabur lkni wallah maut hayamaut agh😭😭😭😭😭 anajuwa ninani alie kwenda kbrin ila hana kauli tna maskin 😭😭😭😭😭😭

  • @jessydaktari5209
    @jessydaktari5209 4 роки тому

    Kaka ambaye ni rafiki wa marehemu...umekuwa rafiki mwema sana kwake.. Mungu akubariki pale ulipotoa kwa msaidia Mungu atakulipa kwa wema wako..🙏🏿🙏🏿😢😢😢😢😢🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿ama kwa hakika hii ndo maana halisi ya urafiki wa shida na raha

  • @ashamedia9821
    @ashamedia9821 4 роки тому +9

    Nimelia sana nilitamani apone dah ugonjwa ulimuondoa kaka yangu pia mungu awalaze mahala pema peponi

  • @adijaniyonkuru9731
    @adijaniyonkuru9731 4 роки тому +3

    Mwenyezi Mungu awajalie kwa upendo wenu

  • @zitterkatery1094
    @zitterkatery1094 4 роки тому

    Nimelia sana adi na wanangu wamelia wakiuliza mama nani kafaaa wamelia kama vile wanamjua maisha ,daaaaa nenda salama maisha naamini ipo siku tutakutana

  • @missmoona4497
    @missmoona4497 4 роки тому +2

    Innah lillah wainnah illah rajiuna, ndio maana alikuwa anasema akirud kijijin atakwenda kufa kwakukosa matibabu.😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @hopechriss8739
    @hopechriss8739 4 роки тому +1

    Nakupenda sana wew mtangazaji MUNGU akubariki kwa kaz zako

  • @hawakiza6067
    @hawakiza6067 4 роки тому +3

    Mwambie mzee baba maisha amtolee sadaka marehemu maisha

  • @jasminegabriel4247
    @jasminegabriel4247 4 роки тому +4

    Mungu alaze roho ya marehemu pema peponi amina

  • @edsboresha2571
    @edsboresha2571 4 роки тому

    Haya maisha haya, wanaozikwa kwa ufahari na wanaozikwa bila mbwembwe wote njia yetu ni moja, Hongera Martin wewe ndio rafiki wa kweli

  • @aminasuleiman6402
    @aminasuleiman6402 4 роки тому +2

    Najikuta nalia jamaniii inauma sana mbele yako kaka Allah akujalie ktk kabuli lako liwe miongon mwa viwanja vya peponi!

  • @shanifesto9037
    @shanifesto9037 4 роки тому +1

    Nimelia sana sana,,pole rafiki ya maisha endelea na moyo huo huo hata wengine ,maisha mungu kampenda zaidi inauma sana wallah nimeshinda nikilia jamani.

    • @pendomunis4673
      @pendomunis4673 3 роки тому

      Jamn maisha mungu akufungulie milango ya pepon

  • @shanifesto9037
    @shanifesto9037 4 роки тому

    poleni sana wafiwa ,,Ee baba mwenyezi mpumzishe kijana wako mahala pema peponi ,Amen .

  • @sikuzanibusanya6423
    @sikuzanibusanya6423 4 роки тому

    Poleni sana anafatilia mungu Awatie nguvu na ww rafiki wa marehe mungu Akutie nguvu Nimelia sn nimemukumbuka rafiki yangu nae nilimuunguza sinza Akanifika mikononi mwangu nilikuwa cjui ndug zake rkn mungu Akafanya njia pasipokuwa na njia nikasafirisha msiba hadi iringa Rl.p maisha R.l.p Victoria hakika nitakukumbuka daima

  • @rashidahassani7432
    @rashidahassani7432 4 роки тому +7

    Pole sanaaa wafiwa jmn rohoo imeniumaa sana

    • @jamilajamila4572
      @jamilajamila4572 4 роки тому +1

      Zahir allah akuzidishie upendo kakaangu pia wafiwa poleni sana mbele yake nyuma yetu wote tutarejea

  • @zainaramadhan7769
    @zainaramadhan7769 4 роки тому

    INAUMA SANA tenaa sana mungu atawalipa kwa wote mliojotolea kwa kijana mwenzetu poleni na safar ndefu marafik na mtangazaji

  • @pillyomary6127
    @pillyomary6127 4 роки тому +2

    Innallilah wainnallah rajuun Allah ampe kauli thabiti inshallah zahir kila la khery katika kazi zako inshallah

  • @Da-cr6ow
    @Da-cr6ow 4 роки тому

    Allah akuhifadhi pema Ammin nasi atupe mwisho mwema mbele yako nyuma yetu mdogo wangu kazi ya mungu haina makosa Allah awape subra familia yote kwaujumla

  • @amriyalibent8441
    @amriyalibent8441 4 роки тому

    Innalilah waina illah rajoon Allah ampe kauli dhabit ampe kitabu chake kwa mkono wa kulia amuwekee muangaza ktk kaburi lake ameen

  • @elizabethmwandu6937
    @elizabethmwandu6937 4 роки тому

    Poleni sana wazazi,ndg na rafiki aliyekuwa anamuuguza pamoja na jamaa wote Mungu awatie nguvu ktk kipindi hiki kigumu mlichonacho. Na pia pole kaka Zahir kwa kazi kubwa uliyoifanya ya kupambania uhai wa maisha ,wewe ndiye umefanya tumujue Maisha Mungu akubariki sana uendelee kuwa na moyo huo wa kujitoa kwa ajili ya wengine .R.I.P Maisha mbele yako nyuma yetu.

    • @maximumtvonline
      @maximumtvonline  4 роки тому +1

      Amen..amen.. Amen.. ubarikiwe sana nawe pia kwa kuwa pamoja nami

  • @uwimanauwimana7303
    @uwimanauwimana7303 4 роки тому +4

    inalilah wainalillah rajiun mwenyezimungu amlaze mahala pema 😭😭😭

  • @yasmeenaal4191
    @yasmeenaal4191 Рік тому

    Kaka zahir na kikosi chako allah akufanyie wepes, unajitahidi sana kujitolea allah akupe hitaji la moyo wako

  • @zaitunilucas7133
    @zaitunilucas7133 4 роки тому +1

    We noma mshkaji wangu unafata mbaka maiti M/Mungu akulinde baba uwe na moyo uwo uwo

  • @zainabmkomwa2064
    @zainabmkomwa2064 4 роки тому

    Innalillah wainailayhi rajiun poleni sana jaman sote njia yetu ni moja na kwake Allah tutarejea Allah awazidishie subra n uvumivu familia

  • @bbb6nnn561
    @bbb6nnn561 4 роки тому +4

    Pole rafik yke allh atakupa rafiki mwengine wakweli kabisa kikubwa muombee mungu amsameh

  • @rehemasalim4590
    @rehemasalim4590 4 роки тому +16

    inalililah waina ilah rajion Allahuma ghufrillahu waramnahu wasaknhu fee jannah

  • @zulphamwishehe9508
    @zulphamwishehe9508 4 роки тому

    Kumbe ni mloka jaman Allah ampe Kaur thabit na mwanga ktk kabur lake pole Sana Rafiki wa maisha nawe pia kaka Zahir🙏

  • @shaimaaaheresi8165
    @shaimaaaheresi8165 4 роки тому +1

    Innalilah wainnailayhi rajiun hakika sote njia yetu moja na kwakwe tutarejea Allah amrehem na amsamehee makosa yake

  • @azizajimmy4739
    @azizajimmy4739 4 роки тому +4

    Inalilah wainnalilah rajuun 😭😭inauma inauma Mwenyezi mungu ampunguzie Adhabu ya kaburi ampe kauli thabiti 😭
    Ameen insha'Allah yarab 😭 HUJAFA UJAUMBIKA
    😭😭

    • @abuunassoro6992
      @abuunassoro6992 4 роки тому

      Tupowe sote jamani hakika nasi tupo nyuma yake Allah amrahamu,

  • @estakapufi7582
    @estakapufi7582 4 роки тому +1

    Yani huyu kijana aliemuuguza nyumbani mungu atakulipa baba umefanya kazi sana daa ni wachache Sana wenye upendo huo

  • @ZainabZainab-tv9ir
    @ZainabZainab-tv9ir 4 роки тому +20

    Hakikatumche nakumuokop allaah dunia silolote walacoco allaah ailaze roho yakemahalapema pepuni

  • @carolinetalam5832
    @carolinetalam5832 4 роки тому +6

    My goodness to his family may his soul rest in peace 🇰🇪 🇰🇪

  • @zaharaallymwndelezotunatak818
    @zaharaallymwndelezotunatak818 4 роки тому +4

    Poleni sana wafiwa allah ampe makaz mema inshaallah

  • @omarjuma2988
    @omarjuma2988 4 роки тому

    Inaumasan kikubwa dua tu mungu ampe kauridhabit andako mbele yake yumayetu amen kak zahri mungu akupe afy njema hatun chakukiripa ira mungu tu ndio mlipajiwako endelea kuna roho mzuri ivyoivyo asant

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 4 роки тому +2

    Umauti ni mawaidha tosha kwetu ss wanaadam tumche mungu wallah😭polen. Sana family

    • @chunaamina8719
      @chunaamina8719 4 роки тому

      Tena mawaidha yalioko dhahir kwa wanaoamini Na kumkumbuka Allah lazma machozi yatakutoka, iiinah lillah, eeh Allah Tujaalie tuwe miongon mwa wema hapa duniani Na kesho Akhera tukaiyone firdaus yako😭😭🙏

  • @brighteenrobby7074
    @brighteenrobby7074 4 роки тому +1

    Mwenyezi Mungu ampe pumziko la milele

  • @subirajohn728
    @subirajohn728 Рік тому

    Innalilah wainnalilah rajiuun! Poleni wafiwa !

  • @ummohamed4404
    @ummohamed4404 4 роки тому

    Mungu amrehemu.jamani wana maisha magumu saana.hebu mkienda tena arubaini tufahamisheni tuwasaidie chochote.yaaani nyumba wanaoishi Subhana Llhaa.

  • @kadijajaseem5148
    @kadijajaseem5148 4 роки тому

    mungu msafishie madhabi yake aiyeke maali pema peponi amin

  • @hijjahbintmardhya6613
    @hijjahbintmardhya6613 4 роки тому +3

    "انا لله وانا اليه راجعون"
    اللهم اغفر لها وارحمها واسكنها فى الجنة.
    كل نفس ذاءقة الموت.

  • @africandarling6925
    @africandarling6925 4 роки тому +1

    Daaa AISSEH Inaumiza sana da😭😭😭😭😭😭😭😭😭Mungu ampumzishe Kwa Amani Ameen

  • @mwaminindayishimiye4434
    @mwaminindayishimiye4434 4 роки тому

    Mungu hamulaze mahali pema Ameen

  • @happykajeli5453
    @happykajeli5453 4 роки тому

    Pumziko la milele umpe eebwana na mwanga wa milele umuangazie apumzike kwa amani Amina

  • @happynelson1136
    @happynelson1136 4 роки тому +1

    Inatia huruma huo ugonjwa wa ini aliupataje na bado alikuwa kijana mdogo huku ninakoishi ugonjwa wa ini huku unaitwa hepatit huwapata watu naliokunywa sana pombe kwa muda mrefu sana huku ukiacha pombe kabisa ndiyo unapata matibabu unapona kabisa lakini bongo hakuna dawa ya huu ugonjwa

    • @maximumtvonline
      @maximumtvonline  4 роки тому +1

      Ini upo wa aina nyingi

    • @happynelson1136
      @happynelson1136 4 роки тому

      @@maximumtvonline poa inawezekana ugonjwa wa ini uko wa aina nyingi mimi naishi Sweden nimefatilia sana kipindi chako tangu Maisha alipokuwa anaumwa na mpaka ukaenda kuiona sehemu aliyozikwa hongera kaka kwa kazi nzuri ya kuisaidia jamii kifo cha Maisha kimeniuma sana sababu alikuwa mtu mtulivu na alipendwa na wengi

  • @daishajumanne5990
    @daishajumanne5990 4 роки тому +2

    dah huyu rafiki yake mbona wame fanana ivi na maisha😢😢😢😢😢😢 maskini kashindwa kuongea analia kaniliza jamani

  • @estakapufi7582
    @estakapufi7582 4 роки тому

    Mtangazaji mungu akupe nguvu uzima kwayale unayo fanya mungu atakupa swawabu zako

  • @mwanaishahussein2635
    @mwanaishahussein2635 4 роки тому

    Kumzaa mtoto na aje kukusaidia ni mipango ya MUNGU .Poleni sana familia
    MUNGU awape subra🤲🤲🤲🇰🇪

  • @zitoniebrahem3174
    @zitoniebrahem3174 4 роки тому

    mungu ampunzishe pema peponi innshallh

  • @sikuzanibusanya6423
    @sikuzanibusanya6423 4 роки тому +3

    Kaka zahir mungu Abariki kazi unayoifanya malipo utayakuta mbinguni lnshallha

  • @aminasaid7657
    @aminasaid7657 4 роки тому

    Poleni Wana Familia Allah akujalie pepo akupe kitabu chako kwa mkono wa kulia

  • @maidevrasumbura1880
    @maidevrasumbura1880 4 роки тому +1

    shukrani sana Allah wape kheri nyingi

  • @frankyunia1809
    @frankyunia1809 4 роки тому

    Poleni sana mungu awape faraja

  • @fetychina3273
    @fetychina3273 4 роки тому

    Mungu akupe kauli thabiti maisha

  • @salmaally1831
    @salmaally1831 4 роки тому

    Mungu akulaze mahali pema peponi

  • @alajmialajm8794
    @alajmialajm8794 4 роки тому +1

    Hata mm nmelia jaman. Mungu awape faraja

  • @lunt0747
    @lunt0747 4 роки тому

    Maximum Tv mola akupe umri mrefu poleni sana Allah ampe kauli tabithi na apokee kitabu chake kwa mkono wa kulia amulikiye kaburi lake nuru mbele yake nyuma yetu sote tutaregea ila siku wakti na mahali polen sana

  • @rithakuyala9951
    @rithakuyala9951 4 роки тому

    Asante sana kaka Zahir kwa kutuwakilisha msibani Asante na nyie wote mliosafiri kwenda msibani Mungu atawalipa🙏🙏🙏Poleni familia Mungu awatie nguvu

  • @kessynurutajiri4940
    @kessynurutajiri4940 4 роки тому

    Pumzika kwa amani ndugu yetu Maisha. Tunamwomba Mwenyezi Mungu akuondoshee adhabu ya Kaburi.

  • @munaahmed8499
    @munaahmed8499 4 роки тому

    Innalillah wainnaillah rajiun
    Allah akupunguzie adhabu ya qaburi ndugu yetu na polen wana familia wote Allah awatie nguvu ltk kipind hiki na kaka Zahir Allah akuongoze kwa kila ufanyalo na akuongezee umri na akulinde na hasad za ulimwengu amina yarab kaka ww na dada flora mnafanya kaz nur mno mno

  • @salehalbasam41
    @salehalbasam41 4 роки тому +1

    Mungu amuepushie na hadhabu ya kaburi mbele yake nym yt sote tupo njiani 😭😭😭😭🤲🤲🤲🤲🤲

  • @christayohanayohanangepe1625
    @christayohanayohanangepe1625 4 роки тому

    Mungu.akuongezee.moyo wa imani kaka Zahir uishi miaka mingi uweze kuwasaidia.wenye matatizo.mbalimbali inshaallah.
    Apumzike kwa amani amina

  • @maryamjuma3799
    @maryamjuma3799 3 роки тому

    Bado Mdogo Mno 94 Hata Ujana Hajaula....Allah Amsamehe Makosa Yake

  • @ruwaidaal-ismaily9099
    @ruwaidaal-ismaily9099 4 роки тому

    Namuomba Allah amtilie nuru kaburi lake na amuondolee Adhabu ya kaburi إِنَّا لِلّهِ وَإِنَّـا إِلَيْهِ رَاجِعونَ

  • @aishasaid7426
    @aishasaid7426 4 роки тому +1

    Inalilah wa inailaih rajiun poleni Sana kwa msiba

  • @habibasaidi984
    @habibasaidi984 4 роки тому

    Mungu amlave mahalii pema peponi

  • @joanithamwaudama9928
    @joanithamwaudama9928 4 роки тому +1

    RIP Maisha..Mungu akupunguzie adhabu ya kaburi.Zahiri Mungu akulinde kwa kujitoa kwako .

    • @mamavero4004
      @mamavero4004 4 роки тому

      Poleni wafiwa wote kijana wa watu aliondoka kijijin kwenda dar kutafuta maisha ili aweze kuwabadirisha maisha wazazi wake lakini ndo hivyo tena Mungu kampenda zaidi

  • @abumoyo5341
    @abumoyo5341 4 роки тому +1

    Inalilai waina hilai rajiuni

  • @fatmas7338
    @fatmas7338 4 роки тому +2

    Allah amlaze mahala pema peponi

  • @SamsungasalamaleykmVipihaliwan
    @SamsungasalamaleykmVipihaliwan 4 роки тому +1

    Allah amlaze ma hali pema pepo ni amen 🙏

  • @salhaissa2619
    @salhaissa2619 4 роки тому +2

    Kwahil nakupongeza san zahil onger san na ubarikiwe inshaallha

  • @asiaidd8996
    @asiaidd8996 4 роки тому +1

    Mwenyezi mungu amuweke pepon amin

  • @ghanimaalabri5783
    @ghanimaalabri5783 4 роки тому

    Inna lillah waina ilaih rajiuun mwenye ezimungu amfutie madhambi yake na amjakie kaburi lake rodha min riyadhi al janna
    ALLAHUMA AMEEN

  • @oliviaseth4652
    @oliviaseth4652 4 роки тому +1

    Lala mahala pema, Mungu baba msamehe dhambi zake.

  • @naythardarling1115
    @naythardarling1115 4 роки тому +1

    Innalilah wainailayhi rajiiun poleen wafiwa kumbe ana ndugu mbona walimuacha jaman awakuonyesha ushirikiano wakat watu walijitokeza kumchangia wana ndugu tunakwama wapi xx jaman😭😭😭 polen xn mw/mungu awatie nguvu ila amtie nguvu ragiki yake alojitokeza kuuguza mwanzo mwisho kaka zahir😭😭una moyo mzuri xn zaid ya xn nakuombea kwa mw/mungu akutie nguvu kaka zahir akutie moyo zaid kaka yangu

    • @makulaikuku6909
      @makulaikuku6909 4 роки тому

      Unaona hali zao dear inaonesha hawana kitu

    • @naythardarling1115
      @naythardarling1115 4 роки тому

      @@makulaikuku6909 sawa ila watanzania tulijitokeza kumsqidia jaman inamana walishindwa hata kupanda gar kuja dar hata ndugu mmoja kumtazamaia hali kweli