SHUHUDIA BIRTHDAY YA MTOTO WA MASANJA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 31

  • @venitarugemalila9290
    @venitarugemalila9290 Рік тому

    Kumbe shabiki Ihefu

  • @fikiriseleman8835
    @fikiriseleman8835 3 роки тому +3

    Mtumishi nmekumbuka usemi wako wa kuchanganya imani na matendo, sasa matokeo tumeyaona.

  • @paulojoseph8876
    @paulojoseph8876 3 роки тому

    Nimefurahi my brother familia yenyeupendo natamani siku moja niwenafamili kubwa yafuraha kama yako yenye upendo

  • @leocadientahorubuze8442
    @leocadientahorubuze8442 2 роки тому

    Furaha yakutosha , nawapenda bure

  • @joycelufunda8230
    @joycelufunda8230 3 роки тому +1

    hahaphahaha masanja tabia yakutuvunja mbavu hivo ebu kuwa serius kidogo hahaha!

  • @jeanettegloria6244
    @jeanettegloria6244 3 роки тому +5

    🤣🤣🤣nimecheka kwa sauti kubwa wakati wakuombea chakula

  • @taturajabukhalfani7953
    @taturajabukhalfani7953 3 роки тому +1

    Mnamzingua tu

  • @lameckrevelian6893
    @lameckrevelian6893 2 роки тому +1

    😂😂😂😂😂😂 hayo maombi mpaka mwanamke yuko hoi na kicheko

  • @johnmalembo6464
    @johnmalembo6464 3 роки тому +10

    Ni mazuri...Ni ya kifamilia.... Yatafutie channel tofauti kuyarusha.... Itapendeza. Kwa utukufu wa Mwenyezi Mungu... Kuweka tofauti Mambo matakatifu na yetu ya siku zote...Eee Mwenyezi Mungu tubariki na kutuokoa Watoto wa Tz

    • @apostlejoshuasimbawamoto1095
      @apostlejoshuasimbawamoto1095 3 роки тому +1

      Hapana yupo sahihi kwani kuna ubaya gani wa kuweka Mambo mema Kama haya ili watu wajifunze?

    • @johnmalembo6464
      @johnmalembo6464 3 роки тому

      @@apostlejoshuasimbawamoto1095 kutofautisha vitakatifu na vya kawaida Ni Muhimu kwa wamchao Mwenyezi Mungu.

    • @renildevenerand9473
      @renildevenerand9473 3 роки тому

      Nakuunga mkono afunguwe nyingine yanyumbani sio kwamba na aya nimabaya ilakuwe tofauti yamaisha yambani na kanisani .

    • @priscilarkahindi9126
      @priscilarkahindi9126 3 роки тому

      Mm binafsi sioni tatizo mbona, mambo mazuri tu haya,hakuna alovaa uchi,kula sio aibu pia,tunaishi kwa kula

    • @arnoldethan8699
      @arnoldethan8699 Рік тому

      @@johnmalembo6464 una wivu acha Kila kitu kujifanya unamjua sana Mungu. Wewe fanya yako ufiche huko Mungu anaheshimu utaratibu wa Mtu .

  • @janechriss8118
    @janechriss8118 3 роки тому +1

    mzee wa Ihefu fc

  • @emmailakozimana8257
    @emmailakozimana8257 3 роки тому +2

    Masanja utaniua na hayo maombi ya chakula😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄

  • @palokuthereza2555
    @palokuthereza2555 3 роки тому

    BABA KAMA NYAMA UMETUBURUZA SANA

  • @marymartin197
    @marymartin197 3 роки тому

    Nimecheka hayo maombi, Masanja Masanja

  • @zuwenasalim2794
    @zuwenasalim2794 3 роки тому +5

    Naona wifi yetu kama kitumbo ndii

  • @chazyshadrack2558
    @chazyshadrack2558 3 роки тому +2

    hongara baba yetu

  • @safinanamgales5580
    @safinanamgales5580 3 роки тому

    Mapande ya keki n balaa

  • @marymartin197
    @marymartin197 3 роки тому

    HAHAHAAAA HAYO MAOMBI

  • @nurujuma9657
    @nurujuma9657 3 роки тому +1

    Mtoto mwingine yuko wapi? Nawaona wawili

    • @priscilarkahindi9126
      @priscilarkahindi9126 3 роки тому

      Kwani huyu mke wa pili amezaa nae watoto wangapi? Juu kabla amuowe alikua na 2 boys wa mke mwengine

    • @hoglamumbee344
      @hoglamumbee344 Рік тому

      Waaaah watoto wengine tena

  • @marymayanja4672
    @marymayanja4672 3 роки тому +1

    We Masanja mbona hatuoni wale watoto wa ujanani huwapost

  • @gradnessshitindishitindi4881
    @gradnessshitindishitindi4881 3 роки тому

    Kwan masanja anawatoto wangap kwa huyu mwanamke?