HAMISA MOBETTO Afunguka DIAMOND kumsusia MTOTO/ Kutotoa HUDUMA/Kupewa Gari na Mpenzi wake
Вставка
- Опубліковано 9 лют 2025
- Kwa mara ya kwanza Hamisa Mobetto amefunguka tetesi za Baby Daddy wake Diamond Platnumz kumsusia mtoto.
...........................................................
Contact Us : 0742447854
-------------------------------------------------------------------------------
Instagram www.instagram....
---------------------------------------------------------------------------------
Facebook / rickmediatz
---------------------------------------------------------------------------------
Website www.rickmediatz.com
-----------------------------------------------------------------------------------
#HamisaMobetto #DiamondPlatnumz
Kama unaona sauti inasumbua refresh Simu yako
Xawa mdam
Daah kweli ume sema kweli ! ahise ina sumbua sometimes
Sauti inasumbua hakuna cha kurefresh wala nini
Acheni ujanja account yenu mbovu🌚
@@maujanjatv24h41 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 turefresh imekuwa app ya mange
Hivi ni mimi pekee yangu napendaga kumsikiliza huyu dada au tupo wengi aki anajua anachokifanya....Watanzania tumebarikiwa kuwa na huyu mlimbwende🤩😍❤️
Yupo vizuri anajitambua sana
Nampenda sana
Nakupenda hamisa manshallah ❤️
Hamissa kaonewa mno...na mafanikio ni kero kwa wengine..nakuombea kila la kheri . You are a strong lady mashallah
Safi Sana bby girl, mapenzi ya public utaendeshws km gari bovu. Endelea na msimamo wako. Nimefurahi uko smart ktk majibu yako. Endelea kupambana na Mungu akulinde wewe na familia yako.
With confidence good hamisa
Respect for Hamisa, "Mimi ni Mama"
Safi sna Hamisa , unamajibu yenye hekima
Just love u hamisa from kenya
Hamisa you're a super woman
This lady is the best pretty lady from all of diamond
Very nice talking Mobeto,,unajielewa Sana dear keep it up achana na hao wanaojionesha Leo kesho wanaachana
Woooooow you are brilliant 💕
Yuko social good hamisa i like
Ila wanyarwanda ni wazuri sana.
Congradulations dear keep it up dear you are doing well 😊 👍
Hamisa zaa tu kwasababu wewe ni mtoto mmoja hao watoto wako ndio ndungu zako wanao sema yule sio mama yako wanawivu kwasababu mama yako anaonekana bado mdogo,
Azae kupitia huo umalaya wake au? Mitoto ya haramu mitupu.
Mashalaah.. majibu yako yako vzr
Smart woman 👌🏽😊
She is the sweetest
You can say that again😍
Mm mwenyewe nampenda sn hamisa na hata nikisia mtu anamsemaga vibaya napagawa mnoo nampenda sn uyu bint
Majibu yako missa mashallah
Nakupenda bure Hamisa. Allah kakujalia kauli poa
She is very brilliant
Smart girl 💗❤
Huwezi kuongeza sababu ya kuleya. Kulea ni kazi Mmmm.
Ķwa kweli uko vizuri
Hamisa💟💟💟💟
Yupo wengi
umekuwa Hamisa Hongera
Haswaaaaa
Unajibu maswali vizuri Sana 👍
Wewe una akili sana Mashaallah lzm uweke heshima kwa watoto wako sio zari mama wa ovyo
We usijifananishe na Zari kakuzidi Kila kitu harafu bonge la mama
@@malianonicass7029 mama gani asiyekuwa na tabia mama lina watoto wakubwa anatakiwa kujiheshimu ahemuka tu na kiben 10 anawafundisha nini watoto wake?
Nakupenda we mdada hadi basi
Je t'aime beaucoup
Brother diamond kapoteza sanaaa.
Mitano tena kwa hamisa
Kweli mapenzi ya public siyo poa sana siyo kama wale wenye mapenzi ya public kama wale ambao wanaonaga haitoshi wakaweka na mabango yawezekana ikawa ni ushamba ikitokea mmeachana muweke na mabango ya kuachana kwa ababu si mbapensa mapenzi ya public umewasikia wenye akili wanakuambia hawana mapenzi ya kujionyesha
Mrs juagar
Aisee
Hamisa maneno yako ni ya maana sana.
Mimi. Namuombea dua aolewe kwan yote hayo mitihani tu namuhurumia tu.
He is the bestest 😂😂😂😂😂duuh
She is...
Amefanana na anjela kuongea
Kama mnavyofaham 🍹
Tupooooo
I like u
Hamisa and wengine kumbukeni kuna UKIMWI. ila pole keako ma kwa huyo mkaka wa watu
Si umesema baba watoto wako ndio wamekupatia
mungu akulinde
Unaokopa kusemwa duhhh sababu umekaliya kuchukuwa mabwana wawatu.
Umetumwa?
Bwanako kapotea?
kwani hawaezi kataa hao mabwana
Hakuna bwana ya mtu nonsense
Wakarim wawapi wakati wanaua wa congo
Kweli Kabisa 😂🤣🤣🤣🤣😂😁🤣
Uyu dd hawajui vizuri ao watu
@@michaelbenson1802 Kweli Kabisa unachokisema 🤣🤣🤣🤣😁😂🤣
@@Noah-se3ni ndo ivo kk
Unajua wanyarwand walo jazana rwanda acha kupotosh watu khaa
Ckia..dada..angu..tubili..akimaliza..miti. huja. Mailin..hichi..kisikukoseshe..amani. hawakuazia..hapo.waliaza.mbali..sana. Hao.. kesho.watakwambia.mwegine..nigependa.kam.ugenyamaza.kam.hakuna
Kilichopita..tu.nibora.yako.maisha.yanaendelea..tu
Ila bodyguard uko nyuma wueh nani kamchokoza jamani
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Sura yake sasa....🏃♀️🏃♀️
Weka yako tuone bwa wewee
Mitaya kama mizizi ya muwa
Those cheek bones. Age is catching up with her
I thought I was the only one who saw her cheeks show she is aging
Unfortunately we will all age 😂😂😂
Vipi rich Ross waliachana au???
Sauti mnaua vyb🤧
C mpenz mzinifu mwenzio
Uongo bwana kwahiyo ata hukumbuki ulikua ulikua wapi au kwenye event duuh ..na yule uliekua unatoa video zake akiwa amelala au ulikua unamkomesha zari, kwahiyo diamond alikwambia mzae mmmm
Juu ww unaujua ukweli sitwambia basi aliyeinunua nani uko na majungu dada tulia yeye at least ako na hiyo ya kupewa au ya kujinunulia ww uko na gani? Wacha wivi ikifika mtu ako na chuki na mwizako kama amefanya vizuri wacha apewe hongera zake
Makasiriko 😂
Tupambane hamisa watoto hawachelewi kukua tuwaache na Vicent vyao siyo wewe tu nimekupenda tupo wengi
umesema kweli
Mwanamke huyu kachanganyikiwa hivi mwanaume anaweza kupata mtoto bila KUOA?
She gifted herself with a car 😂😂😂
At least she's able to gift herself what about you 😂?
At least hamisa anajiheshimu you keep your relationship secret
Kujiheshimu ndio huku kuzaa nje ya ndoa? Hakuna lolote hapa ni umalaya tu.
Aki loe umeogia ukweli kabisa hamisa
usipende kuchukua wanaume za watu
Uongo mbona Rich Rose mbona ulimtambulisha adharani duniani
Umeacha lin kujitangaza au baada ya kusemwa na mange
Card umepewa au ufunguo tu unakutosha
Na wewe unatak upewe card?
Wataka card pia au
No voice
Acha uwongo ww mbea Mkubwa ww mbona mondi uku ficha
Hater
Tena alimwambia asimuseme kama ni yeye mpaka amununulia gari, lakini yeye alishindwa 🤪
Hater😂
Bona la simba ulisema hazalani hukuficha
Alisemaa baada ya myaka 9
Nakupatikana kwa mtoto
@@lareineminah1353 usimjibu huyo chizi na committee yake ya kijinga
@@modrinmaufi9142 sawa
Mama dangote alikuja kuona mtoto ukamwitia wandishi usifikirie tumesahau
Haka kadem ni karembo
sauti jamani wandishi
porojo tu muna jifanya wahindi muna andika hapa kitu kingine muna andika kingine mafala huyo hamisa hana uzuri wowowte wala hana weupe amitumiya madawa yakuwa mweupe mwa mbiye atowe pecap uta kimbiya hahaha
Kajifunze kwanza kuandika😂😂😂
Waeza tumia madawa pia mama..a woman hating on another woman🤨 shame on you😏
Watu mnamakasiliko duuhhh
Are you okay??
Naww tumia
MUNGU NISAMEHE HUYU MTOTO NI WA JAGOUR YULE MBUNGE WA KENYA. AMEFANANA NA WATOTO WA MHE HATA SISI TULIENDA TEMBELEA BUNGE LA KENYA ALITUELEZA KUWA NISALIMIENI MTOTO WANGU
Hahaaa! Doh,unamkasirisha Simba jaman
Huyu Domo aka diamond baba east Africa amuheshimu huyu Binti kulingana na majibu yake ameonyesha kuwa anaheshimu deadbeat dad na hataki kumuazirisha
Ukiwa sidechick utakuwa na heshima gani watu wa one night stand? Ajue nafasi yake.. diamond hajaomba heshima kwa pugi she can talk whatever for all he cares
@@freelancer6368 stop being stupid did she or he tell u it was alone night stand km hujuwi nyamaza hao waliishi nyumba moja
@@freelancer6368 I think ur amale n if ur awoman be sure to fit in her shoes she was there to this idot called diamond growing from nothing ulizia history Yao uambiwe
@@michilita2959 Nyumba ganiii? Her situationship stopped at one night stand which led to accidental pregnancy
@@freelancer6368 pliz get something else u DNT know her plus the story I wish angekuja akakupea prove
Umerizika bado huja rizika nyoooo .unaona aibu. Hivi leo ndo umekuwa na akili . Ulitaka kulingana na ZARI . subutu huwezi
Unatukana mtu ambae hakujui🤣🤣🤣 mtu ambae amekushinda zaidi ya elfu na mia,,huna aibu wewe😂
Wewe unalingana nani kiuchumi umekaa kutukana walio kuzidi mchawi mkubwa wewe
Sasa aje na miaka zao hazitoshani wewe huoni zari ni Rika ya mama yake
Y bitter words towards her? Take a chill pill and leave this lady alone.. Go to hell
Vigwegwe wameshajibiwa
Wamefikishiwa salamu hahhaha
Sauti vip 😏😏😏😏😏😏😏😏😏😏😏😏😏😏😏