LA RINCONADA (Kuzimu ya Ibilisi) : Mji wa AJABU uliojengeka juu karibu na Mawingu, Umejaa DHAHABU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 51

  • @oman1oman179
    @oman1oman179 11 місяців тому +14

    ❤❤❤❤❤unajua kuchambua kweli mungu abariki kazi yako🌹🌹🌹🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @Angelandjustine
    @Angelandjustine 11 місяців тому +6

    From USA big love my brother 🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸❤

  • @GabrielSky64
    @GabrielSky64 11 місяців тому +2

    Sky unachelewa sana 😢kuleta makara 2024 tujitahidi basi angalau hata kila week. Tuna miss Sana

  • @thomasponera6018
    @thomasponera6018 11 місяців тому +7

    Kazi mzuri sns, I see you somewhere in the future

  • @moseskulola6913
    @moseskulola6913 11 місяців тому +6

    Bona history nikama vile tu kwetu congo surd kivu .na nort kivu .kwetu DRCONGO 🇨🇩🇨🇩

  • @Abdulrahmanhassan18
    @Abdulrahmanhassan18 11 місяців тому +8

    Naomba mukusanye hayo makala yote mnayotusimulia Kisha muchape kitabu japo chenye kurasa 500 au 400 itapendeza zaidi kwa kukiuza kwa bei 15000 au 20000

  • @FeruzHakiba
    @FeruzHakiba 11 місяців тому +1

    Safi sana kwa historia nzuli thx 🙏 SKY big up sana 💪💪💪 from 🇧🇪

  • @FredMwamgogwa-td6ni
    @FredMwamgogwa-td6ni 11 місяців тому +3

    Unanifundisha mengi sana Bundala .

  • @amourmohamedfaki4506
    @amourmohamedfaki4506 11 місяців тому +3

    Ilove all of you ❤🎉sky you are a talented....give like guys

  • @vibetz9991
    @vibetz9991 11 місяців тому +2

    Juu ya mawingu kunakuwaje kuzimu jamani,, si mbinguni huko😢

  • @subirafelix7413
    @subirafelix7413 11 місяців тому +2

    Asante kaka nilimiss sana hii 360 .

  • @صالحالصوافي-غ5و
    @صالحالصوافي-غ5و 11 місяців тому +2

    Sns napenda ucambuzi wenu ❤

  • @emanuelyigwira2511
    @emanuelyigwira2511 11 місяців тому +1

    Aise sky hii background sound iko vzr sanaaaaaaaaa, yani inasisimua inakupa hamasa ya kutaka kusikiliza zaidi daaah sky we noma sana.

  • @BarakaIssa-dy5rn
    @BarakaIssa-dy5rn 11 місяців тому +11

    Nipe like zangu nikalie ugali nina njaa😂😂😂😂

    • @aaas5016
      @aaas5016 11 місяців тому +1

      😅😂😂

  • @khadijarashidy9304
    @khadijarashidy9304 11 місяців тому +1

    Kazi nzuri Sana sky endelea kupambana 💪💪

  • @musajackson3289
    @musajackson3289 11 місяців тому +2

    Sky ❤❤❤

  • @Swabrah-fey
    @Swabrah-fey 11 місяців тому +2

    Aiseee sky🫡

  • @MfizoCrypto
    @MfizoCrypto 11 місяців тому

    Dhahabu ndio maisha yenyew, do or die

  • @ndikumanamoussa4103
    @ndikumanamoussa4103 11 місяців тому +4

    🇧🇮 nc Kwa kucambua vizur

  • @franklinmganga736
    @franklinmganga736 11 місяців тому +3

    Mji unamazingira magumu ila kwa sababu ni watu walio barikiwa maarifa wanaishi bila kutegemea misaada

  • @JeannetteManirambona-o6m
    @JeannetteManirambona-o6m 11 місяців тому +1

    Jamani iyi sehemu

  • @AshaRashid-z7d
    @AshaRashid-z7d 11 місяців тому +1

    Wenye pumu hatutoboi huko😊

  • @allymtunge5530
    @allymtunge5530 11 місяців тому +2

    Kuwa misha hawo nimungu mwenyew

  • @Angelandjustine
    @Angelandjustine 11 місяців тому +3

    🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸

  • @bboyamos
    @bboyamos 11 місяців тому

    Kaka kazi nzuri sanaa hata mimi nimependa sanaa 🎉🎉🎉tunajifunza kupitia CHANNEL yako mkuu

  • @AlainBarhuzechenzen
    @AlainBarhuzechenzen 11 місяців тому +16

    Brother sky historia ni Nzuri ila ata nasisi apa kongo🇨🇩 misisi akuna utofauti wa aya maisha ya larykonada nasisi pia

    • @Amirmgunya-pt2zm
      @Amirmgunya-pt2zm 11 місяців тому +2

      Pande gani izo kaka tupeane conection from tz

    • @mgenirasimi7771
      @mgenirasimi7771 11 місяців тому +2

      Misisi ni mfano wa kuzimu, kila aina ya ubaya uchawi umalaya wezi uchafu magonjwa ujambazi wa hali ya juu utaperi na wasiwasi mwingi wa vita kila kukicha vyote vipo hapo, ukiweza kukaa misisi basi hata kuzimu unaishi

    • @isaackmboma72
      @isaackmboma72 11 місяців тому

      Nilikuwa sijui Kumbe Congo kuna sehemu panaitwa misisi hata lusaka zambi kunasehemu pataitwa misisi

    • @mgenirasimi7771
      @mgenirasimi7771 11 місяців тому

      @isaackmboma72 misisi ya congo hiyo balaa wenyewe wanapaita mlango wa kuzimu ushetani mwingi upo pale

    • @omarkhelaifi5888
      @omarkhelaifi5888 11 місяців тому

      Hapana congo kuna masisi siyo misisi

  • @AndrewPaul-no2wr
    @AndrewPaul-no2wr 11 місяців тому +1

    🎉

  • @mosessemiono4554
    @mosessemiono4554 11 місяців тому +2

    Uko vizur I sky

  • @lulushawaka6200
    @lulushawaka6200 11 місяців тому +2

    🎉🎉🎉

  • @kalvinmichael9848
    @kalvinmichael9848 11 місяців тому +2

    Pesa

  • @surusuru1994
    @surusuru1994 11 місяців тому

    Mmh huko haku fai kabis😢

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 11 місяців тому +2

    ✌️👊👍.

  • @shebyabdallah5854
    @shebyabdallah5854 5 місяців тому

    Wenye mshipa wa heniya atutoboi

  • @talents7934
    @talents7934 11 місяців тому +1

    Kama ardhi yao ina madini ya kutosha kwanini waibiane wakati ardhi imejaa madini??? Acha kutudanganya aisee😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮

  • @ellywillisgotora1473
    @ellywillisgotora1473 11 місяців тому +1

    Hizi pesa zitatuuwa

  • @ShukranMwakyambo
    @ShukranMwakyambo 11 місяців тому +5

    Unatangaza vuzuri mtu yeyote anaelewa

  • @Kamandamacheme
    @Kamandamacheme 11 місяців тому

    Mambo ni mot jaman ni nchi ya wapi

  • @emanuelmaro875
    @emanuelmaro875 11 місяців тому +1

    Wapambanaji tutaenda hapo😂😂😂

  • @elbaricktv1632
    @elbaricktv1632 11 місяців тому

    Sasa makala hii inahusiana vip na neno kuzimu ya ibirisi????mbn haihusian ?ebu muage mnaandika title zinazoendana na stor

    • @CoeusUranus-lv7cs
      @CoeusUranus-lv7cs 11 місяців тому

      Piga simu uwaombe uwe unawaandikia wewe hizo title zinaonekana zinaendana na stor. Akili za kuku kweli wewe

  • @sabatoager
    @sabatoager 11 місяців тому

    utafitaji ni kokote bora kula jasho lako kuliko kuiba