Korean Alphabet [Jifunze Kikorea-Alpabeti za Kikorea]

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 лют 2025
  • Kiswahili changu haitoshi bado
    Nilikosea, Nijulishe.
    Insta yangu : @ushindi_park
    #kikorea
    #Koreangirl
    #Ushindi

КОМЕНТАРІ • 92

  • @harounibrahim3288
    @harounibrahim3288 3 роки тому +10

    nafurahi nazidi kujifunza na nashukuru wewe ni mwalimu mzuri sana na pia nime download hii video ili niwe nafanya review ili nizidi kuelewa zaidi.

  • @seffsamwel5649
    @seffsamwel5649 Рік тому +1

    Kazi nzuri sana ushindi park

  • @shyfettymtunda4935
    @shyfettymtunda4935 3 роки тому +1

    Daebak!!! Naelewa vizuri sana. 🤗😊
    Unafaa kuwa mwalimu. 👍

  • @marcojay7066
    @marcojay7066 3 роки тому +3

    Of course your a good teacher,I understand u well

  • @aishasenge8523
    @aishasenge8523 3 роки тому

    Asante sana mwalimu wetu nitajifunza kwabidii👏😍

  • @shababoy5205
    @shababoy5205 3 роки тому

    asante sana mwalimu wangu ushindi unatufundisha vizuri sana kila kitu unacho tufundisha ninaandika kwenye daftari ili niwe najifunza kuandika nikiwa peke yangu asante ushindi iiiiiiiiiii🤗🤗🤗🤗🤗🤗😁😁😁

  • @muhimbesingh4468
    @muhimbesingh4468 3 роки тому

    Asante sana mwalimu wangu kipindi cha Leo nimekipenda sana pia nimependa muda unaotumia katika kufundisha unafanana na ni wenye kiwango bora💟💟👍👍

    • @muhimbesingh4468
      @muhimbesingh4468 3 роки тому

      Thank you my only favorite world teacher. When I see you, I remember 5 years ago at my A level was I got. LOVE YOU💟💟👍👍

  • @samwelijumajuma3851
    @samwelijumajuma3851 3 роки тому +4

    Barikiwe Sana kwa dalasa hakika tunajifunza Sana

  • @heavenlightyoonah9259
    @heavenlightyoonah9259 3 роки тому

    Uko vizuri nime elewa sana ...naomba kuwa rafiki yako

  • @shiyelia
    @shiyelia 3 роки тому +2

    As for me its So interesting to learn Swahili in Korean lol. I understood Korean first before Swahili. Whoelse is like me?

    • @복숭아쌤
      @복숭아쌤  3 роки тому

      Wow you are just amazing!!!

    • @shiyelia
      @shiyelia 3 роки тому

      @@복숭아쌤 thank you.

    • @jacanaestrada6257
      @jacanaestrada6257 Рік тому

      Also practicing Swahili with her hehe amazing hehe

  • @salmahenerco9261
    @salmahenerco9261 3 роки тому

    Nafurahi kujifunza kikorea na wewe Ushindi,,,🙏

  • @namjoonisbae
    @namjoonisbae 3 роки тому +1

    thanks for teaching us hangul i really understood well
    kamsahamnida unnie! saranghe!

  • @witnessmoshi8667
    @witnessmoshi8667 2 роки тому

    Wow nimekupenda

  • @mosesmsigwa6272
    @mosesmsigwa6272 3 роки тому +1

    Ushindi. Mwalimu mzuriii

  • @winfridaphilemon8165
    @winfridaphilemon8165 3 роки тому +1

    Asante sana dada mpendwa Ushindi ❤️💕

  • @ellysingaile9462
    @ellysingaile9462 Рік тому

    Nafurahia kujifunza kikorea were no mwalimu mzuri asante

  • @FredyAyubu-ii4rn
    @FredyAyubu-ii4rn 7 місяців тому

    Asante dada nitaendelea kuwa nasubira ndiyo nimeanza kujifunza mwalim naomba unifundishe zaidi

  • @kelvinfungo119
    @kelvinfungo119 3 роки тому

    Uko vizuri sana akubali

  • @salahadinadam5891
    @salahadinadam5891 3 роки тому

    Asanti sana ushindi thanks

  • @musajack7276
    @musajack7276 3 роки тому

    Iv hakuna namna unaweza kunifundisha ili nikaelewa zaid hata km ni kwa kulipia?

  • @cynfulification
    @cynfulification 2 роки тому

    Mwalimu do you offer Korean Language tutoring?

  • @ZulfaAbdallah-lz5lz
    @ZulfaAbdallah-lz5lz 3 роки тому +1

    Asante dada ushindi, Nahisi nitake notes kabisa

  • @evelinemagudzi1699
    @evelinemagudzi1699 3 роки тому +1

    Wow😍😍

  • @pascalkonyanza5677
    @pascalkonyanza5677 3 роки тому

    Ubarikiwe mwalimu kwa darasa zuri

  • @ushindichoiraz3907
    @ushindichoiraz3907 3 роки тому

    Asante sana, new subscriber 🇺🇸

  • @marcojay7066
    @marcojay7066 3 роки тому

    Unapoandika lazima kuwe na gap line( -) mfano A-I au sio lazima?

  • @phabiantimothe1041
    @phabiantimothe1041 3 роки тому +1

    Ushindi Mambo

  • @starbizyousuf8370
    @starbizyousuf8370 Рік тому

    napenda ki korean😊😊

  • @mulhtsuleiman3056
    @mulhtsuleiman3056 Рік тому

    😂😂najitahidi

  • @stephenmutafya1103
    @stephenmutafya1103 3 роки тому +1

    Aaaaaaaaa haaaaa wewe noma sasa ayo mandishi nivikumu sasna

  • @minajones7699
    @minajones7699 3 роки тому +1

    Asante😘💞💕

  • @lumumbatozzy2076
    @lumumbatozzy2076 3 роки тому

    Asante kunifundisha kiorea

  • @charlesnyaluke7202
    @charlesnyaluke7202 3 роки тому

    Ushindih mimi nimwanafunzi mgeni🤣

  • @sadytzsaidytz7581
    @sadytzsaidytz7581 3 роки тому

    Ushindi naomba niwe mwanafunzi wako wa kikorea kama utaweza nichukuwa ntafurahi sana

  • @jonaboytz2215
    @jonaboytz2215 3 роки тому

    Asante sana mwalimu ushindi napenda uniulize kaswali kamoja ili nijue kama nipo vizuri kwa elimu yako🤔🤔

  • @petermatabaonline4579
    @petermatabaonline4579 3 роки тому

    Kikorea ni rugha nzuri naipenda sana

  • @Itzalot
    @Itzalot 3 роки тому

    Una ongeya kiswahili mzurisana.

  • @henrymsule9661
    @henrymsule9661 3 роки тому +1

    Safi Sana

  • @FromTanzaniatoNorway
    @FromTanzaniatoNorway 3 роки тому +1

    Asante kwa mafunzo

  • @kimheran
    @kimheran 3 роки тому +1

    Nzuri sana 선생님 ㅋㅋ

  • @shufaaakida1146
    @shufaaakida1146 3 роки тому

    Mpendwa nataka somo la kwanza sipati nifanyaje na mimi napenda kujifunza kikorea

  • @hoseabenard6337
    @hoseabenard6337 3 місяці тому

    Napenda kikore a

  • @martinonetv
    @martinonetv 3 роки тому +1

    Nimefurahi sana jamani

  • @DullyYussuf
    @DullyYussuf Рік тому

    Asante mwalimu

  • @mrkawaida1618
    @mrkawaida1618 3 роки тому +1

    neowa gyeolhonhago sip-eo ushindi

  • @noelitiv8650
    @noelitiv8650 3 роки тому

    Naomba nifundishie wasapu dada

  • @innocentyohana9283
    @innocentyohana9283 3 роки тому +1

    #𝒖𝒔𝒉𝒊𝒏𝒅𝒊 𝒖𝒏𝒂𝒛𝒊𝒅 𝒕𝒖 𝒌𝒖𝒏𝒊𝒆𝒓𝒆𝒘𝒆𝒔𝒉𝒂 𝒌𝒊𝒌𝒐𝒍𝒆𝒂 𝒘𝒆 𝒎𝑾𝒂𝒍𝒊𝒎𝒖 𝒎𝒛𝒖𝒓 𝒌𝒘𝒆𝒓

  • @wemaproches-px1ox
    @wemaproches-px1ox Рік тому

    Naitwa paniola , kunamaswali nataka nikuulize prevent

  • @BatuliKhamis-i4b
    @BatuliKhamis-i4b 21 день тому

    napenda kujua kikorea kutoka kwako

  • @salundaro6292
    @salundaro6292 3 роки тому +1

    Kwenye (O) hakuna saiti sijaelewa madame ushindi

    • @복숭아쌤
      @복숭아쌤  3 роки тому +2

      4:40 uangalie 😍

    • @MamodelPark
      @MamodelPark 2 роки тому +1

      Kwenye O hakuna sauti ila neno likiishia na irabu O inakuwa na sauti ambayo ni “ng mfano 아기 inatamkwa agi means baby hakuna sound ya O apo ila 서렁 hii inatamkwa sarang O iko chini ya irabu so ina sound kama ng

  • @phabiantimothe1041
    @phabiantimothe1041 3 роки тому

    Kwakweli mimi japokuwa sijawai kusoma lakini nafuray Sana kukuona mwalimu Kama wewe umejitolea kutufundisha sisi amba hatuja way kuingia hata shule

  • @sasinyasesemahimbo
    @sasinyasesemahimbo 3 роки тому

    Kipindi kilicho✓pita kipindi kiliyo× pita

  • @AbassMasoud
    @AbassMasoud 9 місяців тому

    Ndio naanza kujifunza sasa

  • @kisombetz2604
    @kisombetz2604 3 роки тому

    Hakika wewe ni mwalimu mzuri

  • @mwajumaroya7404
    @mwajumaroya7404 2 роки тому

    Yani mim sielewe kabisa jamani

  • @edwinmbele295
    @edwinmbele295 3 роки тому

    jamani nimependa kuifuza kikorea hannyai

  • @josephojwangojwang5360
    @josephojwangojwang5360 3 роки тому

    Ipo siku 2

  • @ahsampink5233
    @ahsampink5233 Рік тому

    Hellow my dear

  • @Abdurahimshaban
    @Abdurahimshaban 3 роки тому

    😍👋👏

  • @kudumshenzi9962
    @kudumshenzi9962 3 роки тому +2

    PAmpna

  • @witnessmoshi8667
    @witnessmoshi8667 2 роки тому

    Upo nchi gani nije kujifunza

  • @aziza9093
    @aziza9093 2 роки тому

    Nakupeda kwmafuzo unayotupa

  • @djmoviestrailer3574
    @djmoviestrailer3574 Рік тому

    Lugha ngumu hiyo

  • @latifaally5322
    @latifaally5322 2 роки тому

    Please! Madam naomb no yako ya whatsapp

  • @marymnyone4974
    @marymnyone4974 Рік тому

    Mwalimu wangu mzma mm najifinza na naelewa saana ...naomba unisaidie na namba ya what's up plzzz mm MARY

  • @evamakaranga6955
    @evamakaranga6955 3 роки тому

    나비

  • @pondamoshi2034
    @pondamoshi2034 3 роки тому

    Ne

    • @fredychambu7813
      @fredychambu7813 3 роки тому

      Ogera sana ushindi kwaku elimisha watu neaniyo

  • @hoseabenard6337
    @hoseabenard6337 3 місяці тому

    Napenda kikore a

  • @marymnyone4974
    @marymnyone4974 Рік тому

    Mwalimu wangu mzma mm najifinza na naelewa saana ...naomba unisaidie na namba ya what's up plzzz mm MARY