HUU UGOVI WA KASYANI OLE LWANDE NA MAMA NI KUBWA MNO ITAZAME HADI MWISHO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 жов 2024
  • Wamama wengi duniani husababisha watoto wao wakiume kuishi Bila wake kwajili ya roho mbaya na jaajabu yeye ndiyo mshaushi wa kwaza kwa kijana wake kumbambia unatakiwa uoe ila kijana wake akisha oa anakwenda kua adui wa mke wa mtoto wake
    wamama mjilekebishe maana hata wewe walikufumilia sana kwa mkwe wako Hadi Leo umempata huyo binti Sasa vumilia Ili upate wajukuu nao waoe badae

КОМЕНТАРІ • 31