Pongezi kwa hii familia. Lakini nashauri wakati mwingine jitahidini mwonekano uendane na aina ya muziki. Kuna watu hapo wamevaa kapero (cap/kofia) huku wakiweka mikono mifukoni, jambo ambalo linatoa taswira isiyo njema hata katika protokali za mawasiliano ya kawaida tu.
Wow!!! Safi sana, Mungu azidi kuinua vipaji.
Barikiwa sana kwa kazi njema
Familia kielelezo japo Mzee hayupo angali akinena mbarikiwe
Mbarikiwa kwa umoja huu wa kifamilia❤
Mbarikiwe sana
Wow. Mungu atukuzwe kwa kuwatunza ndugu zangu.
Amen nami nko pia Yu tube tisaidiane
Hallelujah
Mungu azidi kuwabariki sana
Amen. I dont know swahili but this sounds like sitting at the feet of Jesus.
Indeed it is "Sitting at Feet of Jesus"
Wow. Safi sana.
Wow!this is really a family reunion,be blessed the Yonaz's
This family choir of Yonazi is wow❤
This is well done, impressive.
Amen
🙏🙏🙏
Mnaimba vizuri ila Tafadhali mliheshimu Jina la Bwana Yesu kwa kuvua kofia.😅