These people what they forget is poverty is not permanent moha my brother stay strong all this will pass and one day I feel like smilling coz we will celebrate as your fun
Maggie you will regret vibaya saana ,,,, premium tears are loading in your life,,,,,,nakuhurumia dada hiyo sio njia poa yakuachana na mtu,,,,,funga mlango ulioutimia vizuri knowing one day kikiumana unaeza tumia kuingia,,,,,,shauriako
I'm a witness of several people who thought they were better than others because they were wealthy but trust me the table always turns around 😢 Moha wipe your tears and step forward never loose hope God is with you
True,even us our uncle rejected our dad coz of poverty,but today they r after us,God prepared for us a higher table before them,now they say we are illuminati people.
Pesa sio kila kitu. Hii umenikumbusha tycoon mmoja Aliambia God please chukua kila kitu changu unipe tu afya ya mwili. Kwa hivyo huyo kijana anadhani pesa Ndio kila kitu! Hajui kesho meza inaeza geuka akuje maisha abadilike ajue hajui
Aki hawa watu wana madharau jameni ati mlipe izo soda😢 Moha Achana na hizo vitu zao kabisa! na umove on na MUNGU atakufungulia njia na atakubariki upate vyombo vingine na utajirike wakiona namacho yao wahaibike.
Acheni madharawu alokuwa chini mngoje juu na alokuwa juu mngoje chini kingine mfahamu ikosiku mtakuja kushuhudia Moha Mungu anamuinuwa hatasisi tulidharauliwa sana nasasa tunamiliki mjengo wakifahari nawalotudharawu kwasasa wameweka viti pembeni wakishuhudia Mungu anavyo tuinuwa zaidi alhamndulillah 🙏 Moha usikate tamaa my brother ikosiku anaye kudharawu ikosiku moja atakusalimia kwaheshima 🙏❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Huyu bro wa maggie ni toxic,,,,,,we shall.seee money is like a flowers itaisha tu moha be strong 💪 tuko na wewe kama mum Maggie angekuwa mature enough angesolve kulizia moha and Maggie the problems all solve on the table but juu ni family rich wanajiona wako juu it's okey God will lift moha from zero to hero and from nothing to something 🙏God listen to our tears😭😭and prayers moha you will go far bro
When people brag this much about their wealth it says more, it’s not genuine, it’s gained through crook ways and dark powers. If I were Moha I would be celebrating and Thanking God right now.
Aky moha I fil for you,hdi nalia to,,, Don't worry, everything happens for reason,,, enyewe Yatima atabaki kuwa yatima,,shukuru mungu moah,,vitu zitakua xawa
This boy is so arrogant, hana respect,,,weeeeee aki hii familia niko na madharau sana i feel for Moha,,,salute to Mama Moha she is always comforting him,,and for Moha take heart sweetheart everything happens for a reason dear,,aki a feel your pain hunnie
No situation is permanent pple just have hope in life. Moha one day one time you will have peace of mind en God blessings is permanent.....itapita moha you will be fine praying for you 🙏
Being a man 💪 I rather stay with myself than MTU kuogelesha my mum ujinga I wish I was MOH this guy aulize OCS WA embakasi kutusi my mum 7 min alikuwa ICU nikieda kamiti after 6months alikuja kusema nitoke niyeye mwenye makosa cheza na mzazi wagu nikiwa another planet
People need to understand that if you buy something for someone, unless you have a written agreement that you will need them back when you break up, then you have no case. If you gift someone something, then you have no right to take it back.
Maggie’s family has a pride,but pride comes before a fall! Moha God is on your side,why are you kneeling down for a human being,a good woman comes from God
I can feel the pain brother Moha and your mother is so supportive. Do not go back to that girl. She is playing around you and u will continue hurting if you dont let it go........wash up and move forward.
Mohaa maggy has done well to take his things back so that God can bless you with your own thinngs ,mohaa usife moyo all what has taken place has a purpose ,na mungu hatakuwacha kamwe ,mohaa trust in God utapata mara tano zaidi ya hivyo vitu it wont take long ,tumikia hio talent yako kufanya kazi and God will open your ways ,na muhimu usitafute wala kupenda dem ambaye yuko na pesa ili akusaidie ,tafuta mwanamke ambaye utaanza naye from zero ukipanda juu naye na uwe ukiskiza mke wako dont assume your wife at home ,juat try to correct your mistakes which made maggy felt that you were not fulfilling her feelings towards her
@@carolinekara7603 Don't wish others death because God can still reverse it to your family. You don't know what led to them to take their gadgets.just pray for moha to get his own but don't wish anyone here death.they might take them but in their hearts they are praying for him and nothing can happen to them because its their properties
😭😭😭😭ooh my father my God 😭 Moha don't fight, God will fight for you, MUNGU atapigana nao vita za kiroho usijipiganie , Maggie na familia yenu hapana ata kama 😭 Moha usishinde mkijikalisha meeting tena ju ya hizo story achia hapo imetosha hyo coz the more mnakua na meeting ndo una heat brekiwa sana so please achana na hizo story sasa ndiposa utakua sawa
People who have genuine wealth can't act this way, their day is coming. Moha this gonna be a testimony soonest possible, there is God who lives forever.
si muachane tu kwa amani bana,,,mnajua nkwanini Mungu aliumba tajiri na maskini,,,,acheni kujipiga kifua Mungu aliyekupandisha anaweza kukushusha,,,take heart mohaa my lovely bro
Psalms 35:19-26 19 Do not let my enemies laugh at me; they hate me for no reason. Do not let them make fun of me; they have no cause to hate me. 20 Their words are not friendly but are lies about peace-loving people. 21 They speak against me and say, "Aha! We saw what you did!" 22 Lord, you have been watching. Do not keep quiet. Lord, do not leave me alone. 23 Wake up! Come and defend me! My God and Lord, fight for me! 24 Lord my God, defend me with your justice. Don't let them laugh at me. 25 Don't let them think, "Aha! We got what we wanted!" Don't let them say, "We destroyed him." 26 Let them be ashamed and embarrassed, because they were happy when I hurt. Cover them with shame and disgrace, because they thought they were better than I was.
Pride comes before a fall...moha take this as a motivation....wanao kudharau siku moja watakusalimia kwa heshima....they will kneel for your forgiveness one day
Can this proud family see what Bahati is doing Diana at the moment🎉. It's just patience for God to take you to another season. Moha you serve a living God. May his favor and Gods mercies locate you. Amen🙏🙏🙏
Mamangueeeee Moha mola halali all will be well one day hakuna alizaliwa nazo so ur day will arrive... imenishusa vile hao wana dhali walipada njuu wewe hukupanda .....Mungu ni wrtu sote , Mohaa mungu yuko I just felt nikama son wangu ambiwa hivyo na kama mzazi Mohaa mola atakubariki mpaka ushagae.
Moha utumboo kwenda uko.kwan huyu ndio Dem peke kenya moha unapenda kulia sana ama ni kwA sababu. Dem ako na pesa tafuta pesa yako moha wachana na pesa ya huyu Dem nakumbuka ukisema huyu Dem kwao wako na pesa kama ni pesa tafuta pesa yako 🙏🙏🙏🙏🙏🙏na mungu atakumbariki na Dem mwingine 🙏🙏🙏🙏
Anaboo sna hyu moha na yy kma mwanaume saii angekua ashamove on angeachana na hyo dem sasa atakua analia lia mpka lin surely madem wenye mapenzi ya kwel na mali safi wko sio hyo maggie anakaa na sura ngum
If a parent can speak that wee ndio nimejua Kuna wazazi huku inje,,,magie and your family pesa huisha moha take heart bro ndio blessings zimeanza into your life
Mama Maggie, leo ni Moha kesho ni wewe, vitu huisha ,pia nguvu yenye mkonayo ni Mungu, pia anaweza hichukua tena....Maggie, na wewe umemaliza shule, hacha tuone kama kazi utapata....hii Madharau
Mama moha if you argue with a fool you become one. Stop it let moha move on. The more you air out this issue on social media, the more it escalates. Stop it
Kwel aky hyu mama saii ananiboo mbna asiachane na hyo maggie waende zao tu maggie alisema hamtak moha moha na yy akasema hamtak sasa shida iko wap kuabishana tu
Eii moha, aftet all that humiliation you still have strength to kneel before the lady. .wacha wachukue Mungu atakishughulikia Moha. Mama moha Mungu akubariki na awajalie mema mnawiri
This family should know that God is not human ,and wat goes around comes around,moha unapendwa huku njee acha Hawa wanasema nani atakupenda I personally love u so much I feel ur pain may God see u through bro🙏🙏🥰🥰
How I pray that Mama Maggie should know that she has just gotten a curse for her children. The internet never forgets and tomorrow is known to no one. Lord teach us humility.
Waaaah Maggie you will dearly pay for this,hata kama mulikosana,but haunge kubali ifike hii level,kulikuwa na ubaya but ungekumbuka mazuri moha alishawai kufanyia,mtu hafanyangi hivyo umefanya,nimetoa chozi la uchungu wenzangu,I wish ninge kuwa na pesa hata moha hangechangiwa ningesimamia Kila kitu,as for moha hizo ni baraka zikusanye ni jua lako la kesho
can we rise money for Moha apate hizo cameras kama uko namimi weka like
I second this
Exactly 💯 bro l support this
Aki we💔
I support you
Aeke paybill
Thanks mum for being there for moha during this hard times 😢😢may God be with you and bless you 1000 times
Amen
Subhanaallah binadamu hatuna kheri hata kidogo
Amen 🙏
Waah 😢😢😢hii ndio kitu mnaita Mapenzi 💔💔💔siwezi dharau kijana ya mtu Ivo ,Mungu wangu pesa isinipee kiburi to that extend
Also to me ,I feel for moha,😢😢😢😢
JAY COME FOR MOHAS RESCUE... WE NEED TO CONTRIBUTE FOR HIM
Was so emotional
These people what they forget is poverty is not permanent moha my brother stay strong all this will pass and one day I feel like smilling coz we will celebrate as your fun
Father of orphans is watching from heaven.... don't worry moha.. It's just a stepping stone to see good...
Amen
Yeah it's true Father of orphans is watching.😢
Maggie you will regret vibaya saana ,,,, premium tears are loading in your life,,,,,,nakuhurumia dada hiyo sio njia poa yakuachana na mtu,,,,,funga mlango ulioutimia vizuri knowing one day kikiumana unaeza tumia kuingia,,,,,,shauriako
🙏🙏🙏🙏
It is a big lesson to all of us including Moha that all that glitters is not always gold. Moha, take positive lessons. You'll rise again
what goes around comes around
I'm a witness of several people who thought they were better than others because they were wealthy but trust me the table always turns around 😢 Moha wipe your tears and step forward never loose hope God is with you
True,even us our uncle rejected our dad coz of poverty,but today they r after us,God prepared for us a higher table before them,now they say we are illuminati people.
Sure
I thought Moha alifanyiwa head operation🤣🤣😂Iko wapi hyo scar
Pesa sio kila kitu. Hii umenikumbusha tycoon mmoja Aliambia God please chukua kila kitu changu unipe tu afya ya mwili. Kwa hivyo huyo kijana anadhani pesa Ndio kila kitu! Hajui kesho meza inaeza geuka akuje maisha abadilike ajue hajui
Aki hawa watu wana madharau jameni ati mlipe izo soda😢 Moha Achana na hizo vitu zao kabisa! na umove on na MUNGU atakufungulia njia na atakubariki upate vyombo vingine na utajirike wakiona namacho yao wahaibike.
There is God of one more chance 🙏
😢😢😢we love you Moha❤❤❤and your mam 😊
😢😢😢woiye akh si tufanye kamchango kidongo tuzaidie moha ,be strong bro
True
Sorry Moha and mama Moha. That was excessively painful and humiliating. Take heart and leave it to the living God of heaven..
MAGGIE N FAMILY YOUR REWARD IS COMING😢😢😢😢
Yeah
Maggie, the brother and the mother think they have it all!! Karma is a beach!! One day they will remember this day!!
Tell them again...
Ongeza volume kwa hii Dunia kila kitu inalipiwa hapa
Halafu wanadalalisha Moha yet he's an Orphan 😢😢
Moha let them take everything this is the start of your blessings wapee Kila kitu
Volume please 🥺
Acheni madharawu alokuwa chini mngoje juu na alokuwa juu mngoje chini kingine mfahamu ikosiku mtakuja kushuhudia Moha Mungu anamuinuwa hatasisi tulidharauliwa sana nasasa tunamiliki mjengo wakifahari nawalotudharawu kwasasa wameweka viti pembeni wakishuhudia Mungu anavyo tuinuwa zaidi alhamndulillah 🙏 Moha usikate tamaa my brother ikosiku anaye kudharawu ikosiku moja atakusalimia kwaheshima 🙏❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
The more you go deeper the worse,,, wacha hii story moha,,may the entire family know that pride comes before a fall
Sure
Huyu bro wa maggie ni toxic,,,,,,we shall.seee money is like a flowers itaisha tu moha be strong 💪 tuko na wewe kama mum Maggie angekuwa mature enough angesolve kulizia moha and Maggie the problems all solve on the table but juu ni family rich wanajiona wako juu it's okey God will lift moha from zero to hero and from nothing to something 🙏God listen to our tears😭😭and prayers moha you will go far bro
Moha wajana na Maggie pls,my son Moha,God will protect u,Moha weka pay bill,we will support u.
Sijui moha anangoja nnibweka paybill please
True
Waaaaaaaa
Huyu jama akufa tu
Huyu jamaa si anaongea sana. Sijui kama atakua juu hivo forever
When people brag this much about their wealth it says more, it’s not genuine, it’s gained through crook ways and dark powers. If I were Moha I would be celebrating and Thanking God right now.
My thinking too
U pinned it📌
Pride comes before a fall
Very true
EXACTLY
Nani ako na pride hapa sasa?
Ambia huyo mwanaume yy z mwanaume qwani yy ataoa msichana wanani sichai ona nn surely
Pole moha utapona angali Uyo mwanamke anacheka n compound eyes 👀 km izo camera 🎥 muone
When all doors closes God opens all the windows.
Not even a window alone,but a big Gate of overflow of blessings
Jay plz come and assist our brother moha 😢plz moha don't date ur still young wait till God's time 🙏🏻
Nashindwa jay ako wap anaacha moha anapitia haya yote surely na vyenye moha amemsaidia😢😢😢
@@zawadimasha5823 na vile moha huwa close na yeye wakati wa shida wee dunia ni duara
God's time is the best
Wanaita vikao vya nini and they are not married si waachane in peace na moha awapee camera zao
@@janenguthu8739 exactly ata moha ananiudh anadhalilishwa tu ju ya camera 😢
God i feel for mum and Moha this family am sure mtakuja kubeg msamaha juu am sure kitawaramba kuna God
Yeah watajua Kuna mungu walai
They are blind, may GOD turn chokora, poverty to them seven times
God remember Moha and bless him to an extent of blessings others and he will testify your doings
MOHA BE STRONG 💪💪💪,,, NO MATTER WHAT YOU ARE PASSING THROUGH,, YOU HAVE A GREATER FUTURE A HEAD ❤❤
Aky moha I fil for you,hdi nalia to,,, Don't worry, everything happens for reason,,, enyewe Yatima atabaki kuwa yatima,,shukuru mungu moah,,vitu zitakua xawa
Moha !moha !stop forcing things ,you can't forcing someone to love you,you look handsome,weka paybill tukubaie 📸 please tunakupenda sana moha❤❤❤
Kabisa xo painful 😢😢 tunaweza contribute walai
Kila mtu 50/- tubuy camera mbili za Moha.
This boy is so arrogant, hana respect,,,weeeeee aki hii familia niko na madharau sana i feel for Moha,,,salute to Mama Moha she is always comforting him,,and for Moha take heart sweetheart everything happens for a reason dear,,aki a feel your pain hunnie
This is too much humiliation to go through 😢, forgive them lord
No situation is permanent
I want to see this guy with too much pride after 5yrs. Moha take heart God is watching
No situation is permanent pple just have hope in life. Moha one day one time you will have peace of mind en God blessings is permanent.....itapita moha you will be fine praying for you 🙏
What goes around comes back moha God will come through all your humiliation and will bless you abundantly
Being a man 💪 I rather stay with myself than MTU kuogelesha my mum ujinga I wish I was MOH this guy aulize OCS WA embakasi kutusi my mum 7 min alikuwa ICU nikieda kamiti after 6months alikuja kusema nitoke niyeye mwenye makosa cheza na mzazi wagu nikiwa another planet
People need to understand that if you buy something for someone, unless you have a written agreement that you will need them back when you break up, then you have no case. If you gift someone something, then you have no right to take it back.
Hata kama lakini sio kila mtu mwenye ako chini atakuwa chini siku zote 😢😢may God bless you Moha
Moha I put you in God's hands everything will be fine just keep on praying 🙏
Aiya.moha plz live this gal hope God will give you a good woman
Nikama anamtaka bado ama waaaa bt nipitie pia mm plz
Mama Maggie ako na mdomo sana a mother should not talk like that😢
Maggie’s family has a pride,but pride comes before a fall!
Moha God is on your side,why are you kneeling down for a human being,a good woman comes from God
Walidhani wananimaliza kumbe wananisongeza 😢😢😢Moha take heart
I can feel the pain brother Moha and your mother is so supportive. Do not go back to that girl. She is playing around you and u will continue hurting if you dont let it go........wash up and move forward.
the power of tongue... zenu ziishe nao wapate this will happen.God hears..
Mohaa maggy has done well to take his things back so that God can bless you with your own thinngs ,mohaa usife moyo all what has taken place has a purpose ,na mungu hatakuwacha kamwe ,mohaa trust in God utapata mara tano zaidi ya hivyo vitu it wont take long ,tumikia hio talent yako kufanya kazi and God will open your ways ,na muhimu usitafute wala kupenda dem ambaye yuko na pesa ili akusaidie ,tafuta mwanamke ambaye utaanza naye from zero ukipanda juu naye na uwe ukiskiza mke wako dont assume your wife at home ,juat try to correct your mistakes which made maggy felt that you were not fulfilling her feelings towards her
Oh YES 😢😢
Very true ,moha ,wachana na hao watu ,tutakusaidia ,you UA-cam sisters and brothers we are here for you please
Usiwahi cheza na yatima......huyu bro ya Maggie atapata accident very soon. Just wait for God's revenge. Kitawaramba family mzima 😢😢😢
@@carolinekara7603 Don't wish others death because God can still reverse it to your family. You don't know what led to them to take their gadgets.just pray for moha to get his own but don't wish anyone here death.they might take them but in their hearts they are praying for him and nothing can happen to them because its their properties
God please bless Moha and keep this family all alive to witness his blessings 😭
To be rich is not what you have in your bank account it is what you have in your heart
True
True
😭😭😭😭ooh my father my God 😭 Moha don't fight, God will fight for you, MUNGU atapigana nao vita za kiroho usijipiganie , Maggie na familia yenu hapana ata kama 😭 Moha usishinde mkijikalisha meeting tena ju ya hizo story achia hapo imetosha hyo coz the more mnakua na meeting ndo una heat brekiwa sana so please achana na hizo story sasa ndiposa utakua sawa
What better do we expect from the kids if the mother is so full of her and arrogant. Terribly sad😢😢😢😢😢😢
Pole sana kaka mungu yupo malipo yapo
People who have genuine wealth can't act this way, their day is coming. Moha this gonna be a testimony soonest possible, there is God who lives forever.
Kwani Moha nawewe umekorogewa kwa Maggie, na unampigia magoti kwani yeye ni Mungu😢
Moha move on Wacha hizi ujinga za mapenzi let it go for good
Wallah
Director Jay....pls rescue Moha aki....
God has lift this Moha.Ths humilation is beyond human understanding.
si muachane tu kwa amani bana,,,mnajua nkwanini Mungu aliumba tajiri na maskini,,,,acheni kujipiga kifua Mungu aliyekupandisha anaweza kukushusha,,,take heart mohaa my lovely bro
God is with us no matter our life situation. Joseph was sold as a slave, became a prisoner and eventually became a trusted leader in Egypt..
Moha siatoke hii sorry .....mbona anaendelea kujiumiza ,,,, therapy is expensive man
Huyu mama Maggie amelia awa watoto wake vibaya kitamuramba tu mungu wa myatima alali 😢
Waaaaaah mummy may God bless you so much for being there for moha be blessed 🙏🤲
Moha don't give up what goes around comes around
Hello Moha...why are stressing yourself...si uachane na haya mambo na yaishe.... please team moha let's gether here and support moha apate camera
Money can't buy wisdom,, let's not believe in material things and forget our almighty God as our provider 😢😢
Very true ,money without wisdom is nothing akh 😢😢😢😢
Pesa cio kila kitu 👌👌pesa huixha😮kwedeni uko👌👌Moha just wapee vitu zao n usahau n uyo Maggie
After all the humiliation bado tu na huyu Maggie u got a life it's to much
You lied that ur an orphan...to seek sympathy from people This also script 🤢🤢
@@Lorah340??????
@@Lorah340 huyu si mlezi wake jameni mbona unaongea hivo?
@@Lorah340moha didn't lie yes it's true he is an orphan....huyu si mamake mzazi
@@Lorah340 ni mama mlenzi
Mama moha is a nice person you are really appreciated for being there with your son for this difficult times may God bless you.
God knows everything that's going on now he gonna make you shine and people gonna respect you
😢hawa watu wanajikweza lkn Moha usijali imeandikwa katika bibilia anaye jikweza atashuswa tu😢🙏
Jay please come and help moha at this hard time this is to Much 😢😢😢
Aki
Sawa tu matajiri, Utajiri wenu unahesabiwa na Mungu......Lord come and manifest your self in the life of Moha
Psalms 35:19-26
19 Do not let my enemies laugh at me; they hate me for no reason. Do not let them make fun of me; they have no cause to hate me.
20 Their words are not friendly but are lies about peace-loving people.
21 They speak against me and say, "Aha! We saw what you did!"
22 Lord, you have been watching. Do not keep quiet. Lord, do not leave me alone.
23 Wake up! Come and defend me! My God and Lord, fight for me!
24 Lord my God, defend me with your justice. Don't let them laugh at me.
25 Don't let them think, "Aha! We got what we wanted!" Don't let them say, "We destroyed him."
26 Let them be ashamed and embarrassed, because they were happy when I hurt. Cover them with shame and disgrace, because they thought they were better than I was.
Amen 🙏
Pride comes before a fall...moha take this as a motivation....wanao kudharau siku moja watakusalimia kwa heshima....they will kneel for your forgiveness one day
Am really waiting for that day karma will teach them a lesson very soon
Can this proud family see what Bahati is doing Diana at the moment🎉. It's just patience for God to take you to another season. Moha you serve a living God. May his favor and Gods mercies locate you. Amen🙏🙏🙏
Amen
Maggie and your family shame on you 😢
Mamangueeeee Moha mola halali all will be well one day hakuna alizaliwa nazo so ur day will arrive... imenishusa vile hao wana dhali walipada njuu wewe hukupanda .....Mungu ni wrtu sote , Mohaa mungu yuko I just felt nikama son wangu ambiwa hivyo na kama mzazi Mohaa mola atakubariki mpaka ushagae.
Moha utumboo kwenda uko.kwan huyu ndio Dem peke kenya moha unapenda kulia sana ama ni kwA sababu. Dem ako na pesa tafuta pesa yako moha wachana na pesa ya huyu Dem nakumbuka ukisema huyu Dem kwao wako na pesa kama ni pesa tafuta pesa yako 🙏🙏🙏🙏🙏🙏na mungu atakumbariki na Dem mwingine 🙏🙏🙏🙏
True ana penda kulia Kila wakati akuwe mwanaume 😅
Anaboo sna hyu moha na yy kma mwanaume saii angekua ashamove on angeachana na hyo dem sasa atakua analia lia mpka lin surely madem wenye mapenzi ya kwel na mali safi wko sio hyo maggie anakaa na sura ngum
Nashanga na yy na UA-cam inalipa
😂😂😂hii meso ndio nilikuwa natafuta , c aachane na huyu dem na apeane vitu zao ama ataki content iishe😂
@@princess1792😅
Moha poleee , don't cry , God is always there for you, kiburi itawaisha , God fight for moha ,
Congrats mama moha❤❤God bless you mummy❤❤❤endelea kusimama na mohaa mum❤
Madharauu ya hali ya juu sana moha don't worry God will gaurd in jesus name huyu maggie atakukumbuka forget moha plz wasichana wengine utapata wako.
Maggie is a good girl but the mum is a wizard and she really loved moha..
Surely someone can really understand Maggie still love moha
Hii family sio nzuri hawajui kuna mungu mbinguni,moha kumbuka aliye wabariki ndiye aliyekunyima so jipe moyo mungu yupo
Sooo immature of her to try and hurt his feelings. If the relationship ends, move on. Otherwise you look like the bitter ex.
God above all... Moha take heart please watavuna walichopanda.
People can still help regardless of what has been said.we still care for you
This made me shed tears ,moha God is there for you ,,
Poverty is not permanent 😢😢😢😢😢
If a parent can speak that wee ndio nimejua Kuna wazazi huku inje,,,magie and your family pesa huisha moha take heart bro ndio blessings zimeanza into your life
Jesus had everything and he was so humble on this earth.
Mama Maggie, leo ni Moha kesho ni wewe, vitu huisha ,pia nguvu yenye mkonayo ni Mungu, pia anaweza hichukua tena....Maggie, na wewe umemaliza shule, hacha tuone kama kazi utapata....hii Madharau
Moha when downfall nocks on your doorstep the rise beginning onspot God has an open door for you
This is too much...moha take heart one day you will make it in jesus name 🙏 HE is GOD of wonders soon you will be a testimony
Mama moha if you argue with a fool you become one. Stop it let moha move on. The more you air out this issue on social media, the more it escalates. Stop it
Kwel aky hyu mama saii ananiboo mbna asiachane na hyo maggie waende zao tu maggie alisema hamtak moha moha na yy akasema hamtak sasa shida iko wap kuabishana tu
Kazi ni kujianika tu
True
My brother, please give all that belongs to the ,the mockery is just too much .
Continue resting in peace mama moha 😢😢this is too much
Mama who 🥺
@@millicentmildred8998yeah she lost her mum through accident
@@monicasaumu6707when
@monicasaumu6707, is she or he? I'm just asking for a friend
Maggy no problem,moha patiana too God has a reason bro we got u❤❤
Maybe God wants to bless moha on his own. Hii pesa ya kina Maggie huenda ikwa sio ya halali. The way that boy has pride weee it's on a another level
This is so painful 😢
Eii moha, aftet all that humiliation you still have strength to kneel before the lady. .wacha wachukue Mungu atakishughulikia Moha. Mama moha Mungu akubariki na awajalie mema mnawiri
😭😭 💔 this is so painful and heartbreaking at the same time
Awa wanatupima tu
This family should know that God is not human ,and wat goes around comes around,moha unapendwa huku njee acha Hawa wanasema nani atakupenda I personally love u so much I feel ur pain may God see u through bro🙏🙏🥰🥰
If clout chasing was a person 😂😂😂😂
Mama moha she is a good lady en humble no situation is permanent ,moha we are hear for you
How I pray that Mama Maggie should know that she has just gotten a curse for her children. The internet never forgets and tomorrow is known to no one.
Lord teach us humility.