Huo ndio muziki sio hizi kelele za sasa hivi eti wanaita wanashusha ngoma, hizo ndio zinaitwa ngoma muziki haswa wa wanamuziki, hao wengine ni wasanii tu.
Jamaa kweli unajua muziki, wengi hupenda nyimbo zile maarufu, huu Rayon Soleil umeimbwa haswa, wale kinadada wanaoitikia wanaimba, hawapayuki, wacha bwana, kuna sehema Bozi anaimba Ale alino ooo maaaa,Jasi sanga ya jesse ooh, jimbe ya madora
Bozibozi ana kitambo hadi leo nasikiliza nyimbo zake
Tunakupenda sana Bozi...karibu sana mtaalam wa musiki.
Wakongo ni ndugu zetu ❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
Japokuwa nilikuwa mdogo ila huyu Babu ni Legend sana, enzi hizo hata akina Awilo longomba bado bado hahahaha😅😅
Mapenzi hayana kiapo boz+ twanga ngoma kali sana
Wtt wa 2000 kaeni pembeni
😂😂😂😂
Huo ndio muziki sio hizi kelele za sasa hivi eti wanaita wanashusha ngoma, hizo ndio zinaitwa ngoma muziki haswa wa wanamuziki, hao wengine ni wasanii tu.
Boziboziana 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Mimi naijua ile inaitwa, mapenzi hatana kiapo
Napenda ngoma yake inaitwa RAYON SOLEIL
uko sahihi naisikiliza daily kwenye gari yangu
Jamaa kweli unajua muziki, wengi hupenda nyimbo zile maarufu, huu Rayon Soleil umeimbwa haswa, wale kinadada wanaoitikia wanaimba, hawapayuki, wacha bwana, kuna sehema Bozi anaimba Ale alino ooo maaaa,Jasi sanga ya jesse ooh, jimbe ya madora
@@abou.salimu1795 Ale alino ooo maaaa,Jasi sanga ya jesse ooh, jimbe ya madora mamaa
NIMEKUKUBALI ABRAKADABRA MALEMBE MALEMBE PAPAAA UMEMUHOJI VIZURI
Hawa kina dymond wakae kushoto kabisa wanabwekabweka tu kama mbweha
@@dismaslalubare4196 Ndio maana wakaitwa wasanii, na sio wanamuziki, maana hawana vyombo vya muziki
Nazali nini papa bozi
vremaa...
Vraiment!