Amen nimeelewa nilikuwa na ndoto kuhusu sufuria cheusi ila niona mamangu wakambo,ndugu yangu wa kiume wakiwa na hiyo sufuria nikaichukua na kuirusha chini kwa uchungu saana nilipoichukua kutoka kwa mikono Yao,hivi ndugu yangu na mamangu wanajua hatima yangu je wao ndio chanzo Cha mateso yangu haya juu nateseka saana
Nitajinasua aje kama hai wawili tena walikaa chini na kuongea kuhusu kifo chsngu na mwanangu hiyo ndugu yangu alinipigia simu na kuniambia kuwa mamangu wakambo alimwambia kuwa nitakufa pamoja na mwanangu,ila Nina kuomba niombee kila ukiomba niondolee utawala na manuhio ya shetani na haya mashambulizi,msamah lazima nitawapa
MIMI NIMEOTA NIMEIBIWA MABEGI YANGU NIKIWA NYUMBANI NILIPOANZA KUTAFUTA MABEGI YANGU SIKUYAPATA NILIKUTA MASSUFULIA KWENYE MSITU IVI YANANI FEHEMA WAKATI NINATAFUTA MABEGI YANGU NA SUFURIA ILE YA MWISHO ILIKUWA INAMABUU NINI MANA YAKE PASTOR
Nimeota kuna mwanaume fulani alikuwa anauza sufuria nyeusi na imetoboka chini akaniambia anauza 500 nikamuambia aniuzie kwa 300 ikawa ashone kwanza pale palipo toboka ina maana gani mtumishi
Amina

Wasamehe na kumwomba Mungu rehema
Nitajinasua aje kama hai wawili tena walikaa chini na kuongea kuhusu kifo chsngu na mwanangu hiyo ndugu yangu alinipigia simu na kuniambia kuwa mamangu wakambo alimwambia kuwa nitakufa pamoja na mwanangu,ila Nina kuomba niombee kila ukiomba niondolee utawala na manuhio ya shetani na haya mashambulizi,msamah lazima nitawapa
@@vivienaumaabonyo9908 +255768275795 piga simu nikuombee
Bwnaa yes asifiwe Meota sufuria zote mpya ziko tat zimebeban maan yake nn 😢
Kuota safuria limeinamishwa juu chini
MIMI NIMEOTA NIMEIBIWA MABEGI YANGU NIKIWA NYUMBANI NILIPOANZA KUTAFUTA MABEGI YANGU SIKUYAPATA NILIKUTA MASSUFULIA KWENYE MSITU IVI YANANI FEHEMA WAKATI NINATAFUTA MABEGI YANGU NA SUFURIA ILE YA MWISHO ILIKUWA INAMABUU NINI MANA YAKE PASTOR
Nimeota nimebeba mtu ns baiskeli ilikuabinaeda mbio sana ilikua kama automatic bike