Kwa mahitaji ya T-shirt au Product za Kikosi Kazi piga namba +255 622 037 937 asante kwa sapoti yenu (for Kikosi Kazi Hoodies, Tshirts Caps call us +255 622 037 937 thank you for the love) #KikosiKaziKazini
khalifa nenda ukasome Dini yako.achana Na Habar za Dini Mseto.Mungu haimbiwi mziki,Hataniwi,hashirikishwi,hafanani na chochote.Mziki ni saut ya shetan.Allah atuongoze
Hiingoma. Wanangu kk niwaambie kitu mmewapa maswali mengi Sana weusi,, yaani Waisikilizapo watakuwa wakiirudia nakujiuliza ninyie kweliii au mmetungiwa na uwongozi waili kanisa mlio shutia hiividio ili mfikishe ujumbe kwanjia ya muzic,,, kiukweli mmejipanga saan kwa hii song
ni jambo kubwa sana kuona wasanii wanaimba nyimbo za kusifu na kumshukuru Mungu, hivo tujue ni wakati muafaka kuacha matendo yetu mabaya na kumcha Mungu na ukaka katika kweli yake na kushika amri zake maana yote ni ubatili lakin neno la Mungu litadumu milele.
Kazi nzuri sana, nimeiskiliza mara ya kwanza kwa headphones, nikatoa nikarestart kwenye spika, majirani wamesogea kuja kusikiliza na kueleza hisia zao na niwazee... hii siku ishabarikiwa tayari
We all know this guys can do more, thus why u have die hard supporters. For this song, I'm 100% sure that (mchele mchele) are listening on this song, They don't believe whats happening
Kikosi kazi best hip-hop en rap group of all time... request kwenu tunaomba muachie ngoma mingi kama group tupo kusupport guys. Gonga like kama unaamin hakuna kama kikosi kazi bongo
kundi langu bora la hip hop ndani ya bongo yni wu tang clan hawa hapa big up wanangu sana embu fanya mpango wa kusema kias gni tishert za kk hood ili twende sawa
Honestly P Mawenge, May GOD Proceed to Bless you and Keeping you ALIVE.As days goes on WOTE wanaokuchukulia Poa Your Proving them Wrong.UMEUA hatari nkahisi may Be Nyimbo ilikua yako Kisha mkaigeuza ya Kundi, kwenye arrangements KIKOSI Technically mmefanya Good Move kwa kumuweka P aanze amedraw attention kubwa doe the viewers.P Usilewe sifa ukaishia kuwa wa kawaida kama wengine ambao currently nkiskia wametoa nyimbo hata si shtuki.GOD Bless you all KK na ntavimba mtaa with your Clothing lines
Kwa mahitaji ya T-shirt au Product za Kikosi Kazi piga namba +255 622 037 937 asante kwa sapoti yenu
(for Kikosi Kazi Hoodies, Tshirts Caps call us +255 622 037 937 thank you for the love)
#KikosiKaziKazini
Mm ambaye niko kenya ntazipataje?
🔥🔥🔥🔥
Price
Nagundua weeewee ni upendo unapenda watu🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿 mstari wangu wa rohoni
Kikosi Kazi Kazini KK BEST EVER
Azma ametisha sanaaaassaas
Hii Inaonyesha Kitu Kikubwa Sana,Hatujabagua Nyumba Ya Ibada Kwa Imani Zetu Tofauti Tulizonazo Ila Wote Tumechana Tukiwa Sehemu Moja!!🔥🔥🔥🔥🔥💪🏽🔥💪🏽
Dingi wewe ni muslim unae elewa situation...kunwengine wanlopokaga big up xana bro
Kikosikazi nawakubali sana kila mtu amenyoka vizuri nyimbo haichoshi ✌
khalifa nenda ukasome Dini yako.achana Na Habar za Dini Mseto.Mungu haimbiwi mziki,Hataniwi,hashirikishwi,hafanani na chochote.Mziki ni saut ya shetan.Allah atuongoze
@@أبوفيصل-د3ش fact
@@أبوفيصل-د3ش Hapa we umekuja kufanya nini!?
Jamaa wametishaaa
P-Mawenge flow is classic, yupo calm sana na anaenda na beat vizur sana. The most underrated in that crew
Ila mawenge ndo kaflow poa
Kikosi kazi (kazi kweli mnajua broo
Nakubal San kikosi kaza
Noma na nusu mmetisha KK ndo habari ya mjini
Mansulii💥💥💥💥💥💥💥
Kikosi kazi kazini juuuu kama una kubari like Kam zote
Beat kali sana,
verses kalis sana,
flow kali sana,
very concious
mnajua nyie jamaa
This is real hip hope... Tunahitaji madini mengi zaidi sio vijana Mchele Mchele azma, underground King na Azma Salute Kwenu
💪💪💪
Dah nouma sana
Komaen wanangu naona kitu kipya mambo mapya beat Kali ngoma Kali sterio singasinga mansulii mbish one azima respect wanangu p the mc zaidii
💪💪💪💪
Hip hop inajijaza taratib katikadira. Sante kwaujumbe wenyemashiko.
Naona KIKOSi KAZi mmeamua kutubu KWA MUNGU kutokana nakile mlicho wafanya WEHU SI SISI
Nimeipenda IYOO😘
Dude la kimataifa kw kweli
Hiingoma. Wanangu kk niwaambie kitu mmewapa maswali mengi Sana weusi,, yaani Waisikilizapo watakuwa wakiirudia nakujiuliza ninyie kweliii au mmetungiwa na uwongozi waili kanisa mlio shutia hiividio ili mfikishe ujumbe kwanjia ya muzic,,, kiukweli mmejipanga saan kwa hii song
Dop!
#shout out to you kikosi kazi,, mmeua Sana
@pmawenge
@azma
@mansulii
Verse zenu kalisana
@
💪💪💪
Kikosi kazi tunawakubali kinoma axee nmesikiliza kwanza ndo nkacomment mmetisha sana
Heshima kwenu wafalme zangu siku zote nipo nyuma yenu najifunza kitu from bujumbura apa
Hip hop ni mziki mzuri
Asante baba hujaniacha nipotee njia//Fungu saba sijaleta nisamehe pia.
#azma. Noma sana.
Wote mmeua hatari.
Naam💪💪
Verse ya azma iko deep Sana! Inagusa Sana!
majaribu hayaniishi shetani ni mshenzi sana
Mansuli🔥🔥
Big big big murshup........ M alwayz huwaga nawish moto huu uendelee then mziki mzur utawale✊✊✊✊✊✊
more to come 🔥
Blessed brothers mmefanya nijitafakari upya nothing without God
Ngoma Kali sanaaa 👊 👊🇹🇿🇹🇿🇹🇿
ni jambo kubwa sana kuona wasanii wanaimba nyimbo za kusifu na kumshukuru Mungu, hivo tujue ni wakati muafaka kuacha matendo yetu mabaya na kumcha Mungu na ukaka katika kweli yake na kushika amri zake maana yote ni ubatili lakin neno la Mungu litadumu milele.
Kwel hawa ni kikosi kaz ngoma ni kali kinoma big up brothers
Mungu awalinde KIKOSI KAZI kazi nzuri sana 👏👏
Kikosi Gospel🔥
Hii song hauitaji kuumiza kichwa inaeleweka kbisaaa 👇
🔥🔥🔥🔥🔥 ♡♡♡♡
kubwa Sana hii mmefanya unyamaaaaa mwingi sana yes god first nimeipenda hii ✅✅✅
naamn mziki wangu unakua tunaomba msiache kuendelea kutufulahisha mashabiki zenu
gonga like kama upo pamoja nami
Kikosi kaZi mbele kwa mbele support kama kawaida mungu awape nguvu nakubali sana #
Once again P amechinja kabisa...Bonge la ngoma muko vizuri mabaharia 🙌🏼💯🔥
ZaiiD #LookingLikeFuture...Dope Track aisee.
Stoo ya Hip Hop inazidi kusheheni kila msosi tunaohitaji. Kazi Kazi #KikosiKazi
Respect
Yeah men,kazi nzuri sana like hiphop is back.
Kwa huu muungano tumepata Hip hop best gang....Utamaduni music best Tz hip hop Id.
Pwaaaaaaaaaa bonge LA dudeeeeeeeee
Tshet mnauza maeneo gan wanakikosi changu
Mamae ngoma kali sn alafu nd n ujumbe, nimeona wapinzani wametoa juzi kati km iyi ila c kali km iyi, wakali wng ktk iyi ngoma n Mawenge na Uno🙏
flow za hatari .... kikosi kazi kipo kazini ...
Tupo vizuri KIKOSI KAZI bonge moja la JOINT
asante kwa sapoti share na wengine ngoma ifike mbali
Nikisanga
Kaz nzuri San,BOB sterio Tisha sana,Uno Tisha sana Nik Mbish Makin sana rhyez zenu ni nyundo from Nondop
UMOJA WENGU NDO NGUVU AMJAWAI KOSEA 🙏🙏🙏
Like kwao 💪wanaongeza Ubunifu kwenye hip-hop industry 🙌🙌
Kikosi kazi iwekwe kwenye mtaala wa elimu, watoto wakiwa shuleni wafundishwe kuhusu kikosi kazi
Ebwana P kawafunika wote humu
Kazi nzuri.. kikubwa zaidi kumkumbuka Muumba wa mbingu na ardhi maana dunia njia
Kazi nzuri sana, nimeiskiliza mara ya kwanza kwa headphones, nikatoa nikarestart kwenye spika, majirani wamesogea kuja kusikiliza na kueleza hisia zao na niwazee... hii siku ishabarikiwa tayari
🤣🤣🤣👏👏 hawa wajama Noma sana
Au sio
😂😂😂
Hip hop ya bongo ina elimu sanaa
P mawenge, mwingi wa habari
Nomaa 😀
Fundiii
hakika amefanya vizuri
Kweli kweli
Tuanze support kazi zao kwa nia
Hii inateka wana kama sisi tunao hustle daily thanks more love from +254🙏🙏🙏
Mansuliiiiiiii.....😂😂😂😂
Leoo nimesikia 16 barz... Flow za hatariii Mnooo
Sinza star🔥🔥🔥🔥
Oya wee mmetisha kinoma noma#kikosi kasi"TT empire"
Mawenge ametisha sana humu ndani 🙌
Ngoma fulani ya kinyama... Kideo fulani kikali
#kikosikazikazi💣 sijawahi kuwa na mashaka nao..
asante kwa sapoti share na wengine ngoma ifike mbali
mnajuaaaa...kikosi kazi weka mbali na watoto
Kazi nzuri
KIKOSI KAZI
Hik ndo kzaz kpya xyo kle knacho endekeza mitepexho.
P mawenge shkamoo🙏🙏🙏
Eee Mungu nijalieee eeeee Amen!
Tamadun mnaua Sana wanangu good music
Ngoma kali sanaaaa
Napiga magoti na kusali
Kikosi kazi for Life✊🏾✊🏾
UNJU GANG. NAWAKUBALIIIII KIKOSI KAZIIIIII
Eti kuna dada anauliza songa naicho kitambi chako tutawezana 😀😀😀
😂😂😂
😂😂😂😅😆 kuwezana tenaa
Daaaaaah that y nawaelewa sanaaaa hivi tshirt shi ngapi ili niwape support
Ukitoa Verse ya Mme wangu Nimeielewa Verse ya Mansu Li Stereo na Azma.. God Keep Holding U Strong #KK All the Great Come Ur way Guys...
Mme wako nan?
Je Ni The incredible au kimbaombao ama Nikki mbishi okay sawa nadhani Ni p the mc
Mmeo p mawenge???
Hii imekaaa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙏🏽🙏🏽🙏🏽
We all know this guys can do more, thus why u have die hard supporters.
For this song, I'm 100% sure that (mchele mchele) are listening on this song,
They don't believe whats happening
powerful✊
Kabsaaa
Respect Kikos-Kaz/Mansul Katishaa
itoshe tu kusema mbarikiwe sanaaaaa, mmeifanya nafsi yangu ifanye connection na Mungu wangu kila bars
Kikosi kazi best hip-hop en rap group of all time... request kwenu tunaomba muachie ngoma mingi kama group tupo kusupport guys. Gonga like kama unaamin hakuna kama kikosi kazi bongo
P mawenge fireeeee
kundi langu bora la hip hop ndani ya bongo yni wu tang clan hawa hapa big up wanangu sana embu fanya mpango wa kusema kias gni tishert za kk hood ili twende sawa
Hapa ndo mmeonyesha kuwa mnaiwenza hi ngem
hip hop 🔥🔥🔥 Songa
Songa lazima achekeshe hivi ni kwaniniiii 😂😂😂😂 mmetisha sana
MAMBO VP BROTHER
@@smgfamilygroup2414 kama kawa
Songa mala nyingi hata mm huwa ana nifurahishaga sana
Aliyeirudia hii ngoma kuitazama zaidi ya Mara tano tujuane hapa..#kk_kazini
the best mcees represents real hiphop from tanzania big sana kikosi kazi nakubali amuangushagi🔥🔥🔥🔥🇹🇿
Huy kita the pro producer tunaye mtaka kweny hiphop bongo aendelee kukaza
Kikosi kazini you know wariris... 💥☇💥☇💥
dah... wakuu wa hip hop......
mungu awabariki
MA, GREATEST's oF hIp-HoP
Izi kaz iwe muendelezo aisee,i like this
Nomaaaaa Sanaaaaaaaaaaaa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Hamjawahi kosea namiin nasubur kitu bora zaid ya...
Bonge ya ngoma aseee thumb up...
Kikosi Kazi Kazini🔥📌
Nakubali wananguuu
Azma🔥🔥🔥
Honestly
P Mawenge, May GOD Proceed to Bless you and Keeping you ALIVE.As days goes on WOTE wanaokuchukulia Poa Your Proving them Wrong.UMEUA hatari nkahisi may Be Nyimbo ilikua yako Kisha mkaigeuza ya Kundi, kwenye arrangements KIKOSI Technically mmefanya Good Move kwa kumuweka P aanze amedraw attention kubwa doe the viewers.P Usilewe sifa ukaishia kuwa wa kawaida kama wengine ambao currently nkiskia wametoa nyimbo hata si shtuki.GOD Bless you all KK na ntavimba mtaa with your Clothing lines
Dah, i wish i was featured kwenye hii song. I just appreciate these guys!
#KikosiKazi
Kazi kazini.....✍️✍️💪