Chadema watangaza mazito kuhusu maandamano kuzunguka nchi nzima na kauli ya No Election

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 лют 2025
  • #tanzania #chadema #samia #lissu #ccm #mbowe #uchaguzichadema #uchaguzi2025 #drslaa #chademaleo

КОМЕНТАРІ • 28

  • @MwakaHappy
    @MwakaHappy 16 годин тому +3

    Tupo pamoja bado tuns imsni na chadema tunaimani na mwenyekiti msihofu msiogope tupo nyuma yenu viva viva chadema

  • @elishuaisaya4176
    @elishuaisaya4176 18 годин тому +1

    Ahsante sana technology

  • @sasha-ri7tf
    @sasha-ri7tf 17 годин тому +1

    NYINYI NI WAZURURAJI KAMA NDUGAI ALIVYOMWAMBIA LISU NA KUMKATA UBUNGE PAMOJA NA POSHO ZAKE 😂😂😂.

  • @eliakazilo6078
    @eliakazilo6078 14 годин тому +1

    Serikali iwe imara.wametumwa kuleta vurugu.dawa ni ile ya jpm tuu..wanataka vita hawaa

  • @ThomasGai-kz5cu
    @ThomasGai-kz5cu 17 годин тому +1

    Mkizunguka na tusipowakubalia mtafanya nn?

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 13 годин тому

    Watanganyika tuko tayari misukule isitutishe humu tumechoka mno

  • @SALIMUsafuko
    @SALIMUsafuko 9 годин тому

    CHAMA CHA WAHUNI WANAOTEKELEZA SERA ZA WAZUNGU ETI UCHAGUZI HAUTAFANYIKA NYIE MAFALA SANA SI AFADHALI WASEME ACT KULIKO NYIE MASHOGA

  • @Allyiddsud
    @Allyiddsud 10 годин тому

    Polisi piigeni mtu yeyote wakuleta ujinga wa mahandamano . Ndio mahan nilisema chadema kwasasa linaongozwa na wauni . Serekali iwemacho nailingege kwa sasa. Mama anangaika kuleta watsli eti wao , wanataka kuvuja amani na utulivu wa mchi. Wakiingia tu barabarani polis chueni magari mpya yale , muwangie maji yakuwasha . Na kuwapiga kam mkapa alivyo wanyosha chadema kigoma

  • @beinafuu6219
    @beinafuu6219 12 годин тому

    Wewe ndo uwelewi mbona unapenda kuandika uwomgo.wao uchaguz hawataingia.sasa uwelewi nimi hapo.leta. hoja zinto na za msingi

  • @AntonyGenon
    @AntonyGenon 9 годин тому

    Tunaojielewa tupo tutakuungamkono lisu kwa maandamano ili kuikomboa nchi yetu. Kama traole wa bukinafaso alifanikiwa Sisi kwani ni tushindwe kuyatoa mafisadi

  • @Allyiddsud
    @Allyiddsud 10 годин тому

    Kama lisu na lema mnaka mahandamano leteni familia zenu mje ya.mchi. waje wandamane. Alafu mune chamtemakuni. Polisi apo ndipo mtawajua vizur. Wengine wenu mingu itaisha kabisa. Mtarudi kwenu ulaya.

  • @ThomasGai-kz5cu
    @ThomasGai-kz5cu 17 годин тому +1

    Kwa hiyo maandamano ndo yataleta uchaguzi huru? Hivi matakwa ya wananchi ni yale yanayotolewa na chadema? Huna uwezo wa kuwaongelea wananchi na huna uwezo wa kuzuia uchaguzi.

  • @SALIMUsafuko
    @SALIMUsafuko 9 годин тому

    Labda mkaandamane ubelgiji sio hapa TZ au leteni watoto wenu wajaribu kuandamana ndio mjue hii nchi haipelekeshwi na wajinga

  • @rasnchimbi
    @rasnchimbi 17 годин тому

    👇🏿
    #KATIBAMPYANISASA! #TUSIKUBALITENAKUSHIRIKICHAGUZIBILAKATIBAMPYA !Hiyo ni kushiriki Dhambi!✍️🏿

  • @OmaryRajabu-g7r
    @OmaryRajabu-g7r 18 годин тому +1

    LISU UNACHOTAKA UTAKIPATA WATANZANIA SASA SI WAJINGA HATUTAKI TENA MAANDAMANO LISU UMENUNULIWA NA MABASHA WAKO HUKO UBELGIJI

    • @ZaidAKissinza
      @ZaidAKissinza 17 годин тому

      Una hakika gani na hayo unayoyasema? Tafadhali sana usitukane wenzio, je unadhani anayejuwa matusi ni wewe tu? Na wenzio wana matusi ya kiwango cha lami usije ukajificha na wenzio wakianza kukuporomoshea matusi kama majabali. Acha hizo bro.

    • @joanitamedard5105
      @joanitamedard5105 17 годин тому

      Jamaa mjinga sana ​@@ZaidAKissinza

    • @yaronaWilliam
      @yaronaWilliam 17 годин тому

      Huyo ni wewe si Watanzania, sungumzia nafsi yako tu!

    • @ezekielkiduge8730
      @ezekielkiduge8730 16 годин тому

      Watanzania kama wataendelea kufanya chaguzi zenye giliba kama hizi basi watakuwa wajinga

    • @AnnaFelix-p1z
      @AnnaFelix-p1z 13 годин тому

      Omary ACHA ujinga wakati anaagizwa wewe ulikuwawapi inamana nawewe uliagizwa pamoja nae wewe ni shaidi

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 13 годин тому

    Kwani wewe lifisiemu katiba siyo ya mafisi

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 13 годин тому

    We mbogboga tafuta ugali wako sie tutatafuta. Katiba

  • @willymdeka6034
    @willymdeka6034 18 годин тому +1

    Ujinga niache kutafuta ugali wa watoto wangu nikaandamane sijafanya ujinga huo

    • @joanitamedard5105
      @joanitamedard5105 17 годин тому

      😂😂😂mawazo Yako yanaishia kwenye ugali tu eti na wewe ni MWANAUME!?

    • @asacconlinemedia5343
      @asacconlinemedia5343 17 годин тому +1

      Wewe endelea kutafuta ugali wa watoto wako, Acha wanaume watafute future ya nchi

    • @AnnaFelix-p1z
      @AnnaFelix-p1z 13 годин тому

      Wewe tafuta ugali lakini ipo siku utashindwa kuula ugali uwo maana usalama wannchi ni Wana Sasa mungu anawatumia Wana Siasa