Anatafuta sympathy kwa watu hana lolote alishika hela huyu zamani angeweza hata kuwa zaidi ya Diamond/Ali ukimtoa Harmonize wa juzi tu,sema yeye aliamua kuinvest kwa magomeni kwa macheni na ubuyu
Ila nyinyi vingereza vya nini??? Wakati lugha yenu kiswaili... Na vingereza vyenyewe hamujui aceni kuiga wa marekani... Afu wewe diva ulionesha kama njaa ni kitu kibaya ungali clouds ulikuwa unamtusi diamond sana kama sio type yako leo jiangalie uko wapi leo😂😂😂😂😂
Kiingereza kingi huku akiwa anaongea na watanzania ili wsmuonee huruma ongea lugha yao wakuelewe ili wakuhurumie we mzee,mnakumbuka shuka asubuhi halafu mnataka kulaumu watu aaah sio kweli hata kidogo
legend.my favourite...miss your flavour mtu mzima...all is not done!
Penda sana Q chief....for sure he has the voice
Anatafuta sympathy kwa watu hana lolote alishika hela huyu zamani angeweza hata kuwa zaidi ya Diamond/Ali ukimtoa Harmonize wa juzi tu,sema yeye aliamua kuinvest kwa magomeni kwa macheni na ubuyu
Man got the voice for really!!!!!
Q-Chillah 🔥🇹🇿🇦🇪 1999‐200000000...!!! Yaani wewe chillah,dull na ngwea mlinifanya nijue kuvimba town 🤣🤣🙌
Daah njaa mbaya Sanaa aisee wasanii wasio na kitu Wana yumba tuu huku kesho kule deem
Kwann msiongee kiswahili tukafahamu wengi
Nani mwengine ameona q chillah akijikuna miwani 😂😂
Tizama vizuri kajikuna kwandani kidole chakufatia kikaonekana kwenye kio kwainje.
angalia vzr tena vidole vimepita viwili kimoja kwa nje na kingine kwa ndani kisha hiyo glass chillah ameitendea aki...🔥🇹🇿🇦🇪
@@bennyasseralfred7139 doooh nyinyi wa tz wadaku kweli mumezooom ivo 😂😂🤝 all love anyways 🙏🏾
@@MultiKenyana mie nimeirudia mara mbili na kwa umakini zaidi nimeona fresh 🤣🤣🤣🇹🇿🇦🇪
@@hassanparamana2215 😂😂 🤝👊🏾👊🏾
🔥❤🔥
Chilla bana anarembua kama ana mtoto faragha
😅😅Wanapendana Hawa wasenge😅😅😅
Ila nyinyi vingereza vya nini??? Wakati lugha yenu kiswaili... Na vingereza vyenyewe hamujui aceni kuiga wa marekani... Afu wewe diva ulionesha kama njaa ni kitu kibaya ungali clouds ulikuwa unamtusi diamond sana kama sio type yako leo jiangalie uko wapi leo😂😂😂😂😂
unaongea unatia huruma vp ww mtoto wakiume
Uyu Kaka interview zake zinaboa kuchanganya lugha spend 🌚
Mi sijaona wala kuhisi chochote hapo maana baya lisilo nidhuru ni sawa na jema lisilo na manufaa kwangu
Sasa ambao atujasoma vingereza vyenu tutasikiliza wapi
Angel mtoto mzuri Fanya kama hauja waskia wala kuwaona vile maana baya lisilo dhuru ni sawa na jema lisilo na faida tu
Sasa nyinyi mnakuja kutongozana apa
Jamani naona q chila anajikuna kwenye miwani na kiswanglish cha showing
Ahahahahahahahahahahahahahahaghahaaaaaaaaaa
Diva anampagawisha chilla bhana!
Q chillah umenitukimbie konde gang
Hivi yule aliyeimba ulinizaa wewe ndio huyu
Ndie huyuu😄
Of of of of of 😂😂😂😂😂😂😂
Kiingereza sio lugha yenu ongeeni kiswahili
Kama haujui kausha usiwapangie watu namna ya kuongea walisoma nn sasa? Kaa utulie si tunapenda
Kazanisha sauti mtt wakiume ndo gani ivo
Ww dunia imesha kuacha ww
😄😄😄😘
Kkkk huyu Diva nae Malaya kweli
Kwani kule kwengine kulihamwa tayari?siyeye juzi alitusi salam na mondi
kwan umeambiwa kahama c anafanya interveu hapo
Hilo cheni cjapnd
😆
Yeye kaipenda
Q Chilla
Kiingereza kingi huku akiwa anaongea na watanzania ili wsmuonee huruma ongea lugha yao wakuelewe ili wakuhurumie we mzee,mnakumbuka shuka asubuhi halafu mnataka kulaumu watu aaah sio kweli hata kidogo
Utajisikiaje mtu Akikupangia Namna ya kuishi maisha yako. .?
Nawew kasome
Hhh
Miwani kama zombi
🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂😂😂😂
Bongo bhana