Sitafa Moyo nyimbo inanitia nguvu ninapo tengwa Na Ndugu marafiki Na kuniongelea Vibaya Na sema aliye niita .Yuko Na kazi aliyo Anza maishani mwangu lazima Atha itimiza 😢😢😢😢🙏🙏🙏
Sitafa Moyo nyimbo inanipa kutafakari wema wa Mungu kuna nyakati zilikua ngumu sana lakini Mungu akatuvusha hiyo hunipa nguvu ya kuendelea barikiwa sana mtumishi @Danny Bless kwa kuelekeza watu kwa Mungu
Focus ahead man of God... through your songs we're getting alot of healing powers.may our loving God grant you long life to do more and more..be blessed Danny.
“Always pray. Never loss hope” Sometimes we can’t avoid losing hope especially we encounter trial after trial, it seems like there is no end. I admit myself this past few weeks God tested us. I question God that time why and when will we experience happiness, because we’ve only experienced trials after trials, I felt tired at that time.
Mimi sitskufa moyo since 2020 tukimwaka materials ya kujenga nyumba hadi sahi hatujaahi anza hata foundations bekee hatujaahi kufa moyo God timing is the best
Hakuna wakufananishwa na huyu mungu hakuna na hatawahi kuwepo,umekuwa mwema kwangu tangia bwanangu awache kulea watoto amboa alinizalisha lkini mungu umekuwa baba ya watoto wangu unuliwe milele mungu wangu
Very nice,,, your songs have being blessings to me,,,, ninapozikiza hakika napata matumaini Fulani,, I love you man of God... May the lord give you more power to encourage us through your songs... 🙏🙏🙏
Hallelujah,hallelujah,very powerful,happy to see you on this mission again Man of God be strengthened by God,remember this is acall,keep up,praying for you always,you are just abig blessing in my life,was really stressed i didnt know what was going on with you,welcome back love you,🙏🙏🙏
Sijaona kama wewe mungu wewe nbaba wa karibu yangu sana wakati wowote nkuitapo unaitika na unanijibu sawasawa na hitaji la moyo wangu sitafa moyo kabisa maana mawazo unayo nwazima mungu nmazuri wala smabaya nakutegemea tu katika misha yangu
Amen brother,tumaini langu Kwa mungu halitadidimia Bali ntakuwa na nguvu juu yake krristo 🙏🙏stakufa moyo maanake mungu alinileta katika dunia hii na malengo yake🙏ijapokuwa mimi ni mnyonge najua Kuna uwezo wa kila jambo🙏🙏 tafadhali tuombeane kwa mazuri 🙏🙏
Barikiwa mtumishi wamungu ukimtazama huyu muimbaji yuko pekee anaimba lakini unaona upakao na anamaanisha kwa hivyo kumtumikia mungu si umati ni moyo jamani wapendwa tumtumikie mungu twende binguni Amina
Hua na download nyimbo zako naskiza nikifanya kazi everyday...but umetoa zile wimbo napenda download..😢😢😢sijui nitaskiza nini sasa nikiwa offline... anyways ubarikiwe sana man of God.🙏
Mbona huu wimbo hauko kwa boom play 😢😢😢😢nimeutafuta kwanzia juzi sipati 😢 because huwa download huko Mimi husikiza huko nikiwa offline please 😭😭 ni u Ukweli huna Mfano na Upendo wako ni wa Kweli ❤️❤️be blessed but uweke huu wimbo boom play please 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Wale ambao tumefiwa baba na mama zetu 😭😭 ila tumaini letu liko kwa Jehovah Mungu tukutane hapa tuseme sote: Sijaona, sijapata kama wewe Bwana 🙏
Hallelujah Hallelujah
@@MINISTERDANYBLESS Amen mpendwa tusimwache Yesu Kristo Bwana wetu. Umefanya siku yangu kuwa ya baraka, barikiwe mtumishi wa Mungu aliye hai.
Amen,mungu ndio wazazi wetu
@@cypriansteve6943 Mungu pekee hatuna mwengine🙏
It's well with us. He's grace is sufficient Amen 🙏
Sitafa Moyo nyimbo inanitia nguvu ninapo tengwa Na Ndugu marafiki Na kuniongelea Vibaya Na sema aliye niita .Yuko Na kazi aliyo Anza maishani mwangu lazima Atha itimiza 😢😢😢😢🙏🙏🙏
Sitafa Moyo nyimbo inanipa kutafakari wema wa Mungu kuna nyakati zilikua ngumu sana lakini Mungu akatuvusha hiyo hunipa nguvu ya kuendelea barikiwa sana mtumishi @Danny Bless kwa kuelekeza watu kwa Mungu
Amen amen hallelujah 🙌
Focus ahead man of God... through your songs we're getting alot of healing powers.may our loving God grant you long life to do more and more..be blessed Danny.
“Always pray. Never loss hope”
Sometimes we can’t avoid losing hope especially we encounter trial after trial, it seems like there is no end. I admit myself this past few weeks God tested us. I question God that time why and when will we experience happiness, because we’ve only experienced trials after trials, I felt tired at that time.
Amen. Amen. Hallelujah
Kazi ulioanza ninajua utaimaliza🙏🙏🙏🙏
Sitakufa moyo kabisa.Bado kuna tumaini kwa kuwa aishiye ndani yangu ni mkuu zaidi ya mapito yangu
Amina jina la yesu lina ngufu sana sijaona kama wewe bwana,,,,nafarijika sana ndani ya moyoni mwangu hooooo yesu
Amen amen hallelujah 🙌
Sijaona kama wewe Mungu wangu ,,sitafa moyo mungu wangu ako nami kila wakati,, ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu 🙏🙏🙌😭Dan
Amen amen 🙏
Mimi sitskufa moyo since 2020 tukimwaka materials ya kujenga nyumba hadi sahi hatujaahi anza hata foundations bekee hatujaahi kufa moyo God timing is the best
None like you lord, thank you for your mercy which is ever new every morning. Wanitowa mbali mungu wangu , Asante Amen.
Amen amen 🙏
Hakuna wakufananishwa na huyu mungu hakuna na hatawahi kuwepo,umekuwa mwema kwangu tangia bwanangu awache kulea watoto amboa alinizalisha lkini mungu umekuwa baba ya watoto wangu unuliwe milele mungu wangu
Amen Amen brother, nabarikiwa saana na nyimbo zako
Amen amen 🙏
Huduma hii iendelee kuwepo maana imetuponya wengi sana na imekuwa baraka muda wote
Nakupenda bure wekaka uko vzr
Niko na memory card 32 GB na iko almost kujaa maana imebeba nyimbo zako zoote
Ubarikiwe sana
Hallelujah,hakika hakuna kama wewe Jehovah Shamma, your so Good my God
Sitafa moyo MUNGU wangu 😢😢
Cjachelewa sana likes zenu tuinue hii ministry AMEN MAN OF GOD 🙏🙏🙏🙏
Hauna wakufananishwa naye,,, wow, I love God
Amen amen
Ubarìkiwa danny your songs really inspire me nakupenda tu bure mungu azidi kukuneemesha
True worship Please keep doing it.The songs are healing to manys.
Amen amen
God delivered me please thank you for ministering may God blessed you abundantly
Amen amen 🙏
Thank you Jesus mawimbi ni mengi Mungu wetu lakini usitusahau Mungu wetu
Amen amen
Very nice,,, your songs have being blessings to me,,,, ninapozikiza hakika napata matumaini Fulani,, I love you man of God... May the lord give you more power to encourage us through your songs... 🙏🙏🙏
Amen amen 🙏
Barikiwa sana ndugu yangu utapata taji kutoka kwa Mungu 🙏🏻
Sijaona kama wewe
Sijaona kama mungu , ooh , minister you've always been a blessing to me and One day I wish to minister like you
Amen amen 🙏
Ni kweli kabisa hakuna mwingine kama Yesu
May the lord connect me to this man of GOD
AHalleluyah hakuna kama mungu nikiwa wajir God is powerful
Mungu nikumbuke uniokoe na uniponye baba nikukimbilia wewe yesu nisiabike❤
Amen amen 🙏
❤ata Mimi sijaiona kama wewe bwana Yesu
Yesu hauna mfano YESU
🎉🎉🎉🎉❤❤❤ I say a billion amen almighty God bigger thanks
Amen amen 🙏
Aiii natamani sana nami niwee kaa danybless. Aky nyimbo zake zinaniguzaa sana nikiwaa cheptais market mt Eligon walai sijui tu nitampataje kwelii ❤❤
Hakuna kama ww Bwana🙌🙌
Amen
Kwenye hii safari niongoze Bwana maana kuna majaribu mengi 🙏
Amen amen 🙏
Amen. Mungu hauna mfano
Hallelujah Hallelujah
I love listening to your song's nikifanya job....
Amen amen
Sitafa moyo najua bwana ako na mimi
Blessed
Amen🙏🙏🙏sijaona kama wewe Mungu wangu
Bwana asifiwe
Amen hakuna kama yesu
Amen
HALLELUJAH HALLELUJAH GLORY GLORIFIED HIS NAME
Hallelujah
Akuna kama wewe bwana🎉🎉🎉🎉
Hallelujah,hallelujah,very powerful,happy to see you on this mission again Man of God be strengthened by God,remember this is acall,keep up,praying for you always,you are just abig blessing in my life,was really stressed i didnt know what was going on with you,welcome back love you,🙏🙏🙏
Hallelujah Hallelujah 🙌
Sijaona kama wewe mungu wewe nbaba wa karibu yangu sana wakati wowote nkuitapo unaitika na unanijibu sawasawa na hitaji la moyo wangu sitafa moyo kabisa maana mawazo unayo nwazima mungu nmazuri wala smabaya nakutegemea tu katika misha yangu
Sijapata kama wewe Mungu wangu
You are a faithful God. What you began in me you will bring to completion 👌👏. Be blessed minister.
Ni kweli Mungu wetu hafananishwi.
Hallelujah 🙌
Amen
Waiting
Happy always when we praise God
Amen amen
Amen brother,tumaini langu Kwa mungu halitadidimia Bali ntakuwa na nguvu juu yake krristo 🙏🙏stakufa moyo maanake mungu alinileta katika dunia hii na malengo yake🙏ijapokuwa mimi ni mnyonge najua Kuna uwezo wa kila jambo🙏🙏 tafadhali tuombeane kwa mazuri 🙏🙏
Amen Amen Mungu wangu wewe u mwaminifu sana kwangu kazi uliyoanza ya kujenga nyumba ya wazazi wangu najua utaimaliza 🙏🏻🙏🏻
Nice songs
Amen hakuna kama mungu wambinguni
All glory to God I really love your worship may God continue protect and more blessings Dan.
You're a blessing to my soul,my spirit is longing to stay in the presence of God
Sijaona kama Mungu kweli
Sijaona Kama weweee bwana 🙌
Hallelujah 🙌 👏 Nyimbo zako zanitia nguvu 😢😢😢😢matumaini ya maisha Ubarikiwe
Am really blessed
Thanks
ni wewe tu mwaminifu❤❤❤❤
Glory glory
Kusikiliza nyimbo zako hunipa tumaini katika maisha ata ninapotaka kufa moyo na kukata tamaa. Barikiwa sana
Barikiwa mtumishi wamungu ukimtazama huyu muimbaji yuko pekee anaimba lakini unaona upakao na anamaanisha kwa hivyo kumtumikia mungu si umati ni moyo jamani wapendwa tumtumikie mungu twende binguni Amina
Sijaona kama wewe baba, uliyenipenda katika udhaifu wangu
Mungu akubariki sana ktk huduma hii
🙏🙏🙏 Amen
Barikiwa sana ndugu kwa kazi njema ya kumtumikia MUNGU, usife moyo uko na taji yako Mbinguni🙏
Ubarikiwe my son
Amen
Sylvia ndio bwana hakuna kama wewe bwana wa mabwana❤
Hallelujah 🙌
Amen amen ubarikiwe sana
Amen 🙏🏾 powerful worship 🙏🏾
Amen 🙏🏾🙏🏾
Asante mungu wangu kwa upendo wako
Wow all the way from tiktok and lam really blessed, be blessed minister
Hakika hakuna kama mungu,afananishwi ❤❤❤ Glory to God
Irealy feel the holy spirit touching my heart when ever I listen to your songs may God bless you brother in Jesus name amen 🙏🙏🙏♥️♥️
Ooooh yes Lord sijaona kama wewe Bwana
Amen 🙏
Powerful
Amen Amen. Our God is faithful in every situation we go through. Yes.... Sitafa moyo
Your songs are touching.Glory be to God
Am blessed by you Danny ❤❤❤❤your songs inspires me alot❤️❤️❤️
I like this man aki ,,anafanya nikiwa napitia mambo mangumu Mimi huweka nyimbo zake aki
Amen❤❤❤❤❤❤
Ubarikiwe❤❤❤
Mungu hana mfano kila kitu kwake ni sawa
Amen this is a blessing worship song,it has given me strength in my journey of salvation
Hua na download nyimbo zako naskiza nikifanya kazi everyday...but umetoa zile wimbo napenda download..😢😢😢sijui nitaskiza nini sasa nikiwa offline... anyways ubarikiwe sana man of God.🙏
Sure I will never give up coz the lord lives today tomorrow and forever
All glory to God, I love your worship
Amen 🙏🙏🎉🎉
🙏
AMEN 🙏❤
Amen for the uplifting Spiritually inspired songs.blessed from Zambia
U really blesse me🎉🎉🎉🎉
Mbona huu wimbo hauko kwa boom play 😢😢😢😢nimeutafuta kwanzia juzi sipati 😢 because huwa download huko Mimi husikiza huko nikiwa offline please 😭😭 ni u
Ukweli huna Mfano na Upendo wako ni wa Kweli ❤️❤️be blessed but uweke huu wimbo boom play please 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿