WHO IS THE KILLER EP 77 IMETAFSIRIWA KISWAHILI
Вставка
- Опубліковано 9 лют 2025
- ⚠️ENJOY ANTI JAPANESE WAR
review in Swahili version by DJ YUSCO BOY ⚠️All the content on this channel is under legal license from various copyright holders and distributors. We ask you to please contact us if you believe there are any copyright issues via email info.muvikalikutokakwamrburudan@gmail.com
⚠️此頻道上的所有內容均已獲得各種版權所有者和發行商的合法許可。如果您認為存在任何版權問題,請通過-info.muvikalikutokakwamrburudan@gmail.com 與我們聯繫
Mungu awabariki wote tunao angalia Who is the killer km unaamini mungu ni kubwa kuliko kitu chochote like hapa
Yaan leo patachimbika gerezani 😂😂😂 anaeamini juge atashinda kes gonga like hapooo🤣🤣🤣🤣🤣
Si dhani kama atashinda kwa sasa 😢
@@OnorinaKiza😢😢😢 duh
@@RehemaCharles-i2t ndio dear kuna presentation hapo tulikua naona mwanzoni juge kama vile anatoroshwa na lufe uku lontahiyun anampiga risasi mkononi atujapaona my subiri tuone
Sidhani kama itakua sasa
Juge nimshindi
Jamni eeeh wangapi tuna enjoy kuona lijuge na lontahiyun wakipeana mkumbato 😂😂
Lontahiyun ndo yupi?
Huyo mjeda@@Mrszizo-d7t
Mimi hapa patamu kweli ❤❤❤❤😅😅
Kumbato mgandisho😅😅😅
@@eshamohd7268jaman wewee 😂😂😂😂
Mi pia nainjoi mkumbato wakamanda na lijuge aysee
😂😂😂😂
Woow asante Dj.
Tunaotamani muendelezo now gonga like
Umekawiza sana DJ letavitu episode ya 82
Nalia hapa kula sili wameniulia yudaman wangu 😢😢
Tunaoamini Yudamaa mdogo wake ni yule Zyaozyao aliepo hospital mdogo wake wakufikia na lontahiyun gonga like za kutosha😅😅
😂😂😂😂
nasemaje judaman mdogo wake yule muandishi wa habari 😢😢
Umehisi kama mimi,toka alivyo sema alipotezana na kaka yake moja kwa moja nikasema itakuwa kaka yake ni Yudamaa
Yah mm pia nahisi hivyo😮
Ndiyo kipenz
Dj dj leo wanip rah mim yan kiufup tu unastail atakakit kazur unatup rah jmn tunaomb muendelez 🎉🎉😢😢😢🎉🎉🎉🎉
Kazi bombastic xn dj chukua maua yko🎉🎉🎉🎉
Asante DJ wetu tupe mwendelezo basi yiwahishe maana imeishiya patamu
Youdama great job and sadness 😢😢😢😢😢😢😢😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤
Yusco please usituache njiani tupe muendelezo wa 78 tujuwe kesi haijaisha kivipi na kuna nin chaendelea wale wanaonelea kama mim tujuwane hapa kwa wengi ili yusco atutumia
KAZI safi DJ ❤🎉🎉🎉🎉
Asante sana kipenzi DJ wetu Mr burudani wewe unatukosha sana 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Mabomu yameisha huko mwaya😢😢😢
Waaah msha wahii kitambo❤❤❤❤❤
Dj songa mbele ❤❤
Je t'aime beaucoup 🇨🇩✌️
Dj asnte sana 2naenjoy walla 2pe basi 2furahi
Mh nimekuwa wa 5 leo 🎉🎉🎉
Dijei nipo nasubir mzigo uwo uwachiw nakubali kz yako san hem chukuwa mauwa yako kidg❤❤❤❤❤
Jamani pole mwenye mimba ya yudaa ma KAZI kwako kulea mimba pekeako
😂😂😂😂😂😂😊😊
Atatoka tutalea wote
😂😂😂
😂😂😂
Kazi nzr🎉🎉
muendelezo dj wangu jamani naenjoy sana yaani ❤❤❤❤
Dj asante 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 twende kazi leo niko huru warabu hawapo😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Enjoy mama😂😂😂
@AminaAbdallah-s9d asante my sister
Next please 🎉🎉🎉🎉
Dj ahsante kipenzy ❤sija wahi kuona movie zako zenye comment nyingi kama hii 😅😅👋
DJ wetu upewe wauwa Yako
Kidg afadhali tofauti na siku zote nachelewa looh kuna watu Awalali ukiingia wamejaa Kooh 😂😂😂😂😂😂
Wif za bureee mda wote tupo online😂😂
@@KhahirPat Eeeh Mafi shughuli shufi telephone basi Saaa🤣🤣🤣🤣🤣 Yallah Ruhi 🤣🤣🤸🙌
@Rahima-kv6mn 😅😅😅
@@KhahirPat 🤣🤣🤣🤣🤣
Sijuwi ni shukuru aje Mungu ajuwe kama niko nasifa nyingi za kumpa Mungu wetu😂😂❤❤🎉🎉
Naipend ❤❤❤
Ahaa DJ Leo vipande viwili 2 sio fea
Wwwo asanteee dj🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Asante san dj kwa kazi mzuri
Leta kitu Iko 🎉🎉🎉
👏👏👏👌
dj pls niendelezo jamani uwiiii pameishia utamu,,,,,ila nahisi ni babake binti🎉🎉🎉🎉
Nc
Mambo yanaenda moto
Yudamaaa achek na yeyote 😂😂😂 man sio kwa ilo jich
2pe ep78 jd plz pamenoga
Hii move kwel ni y 🔥
Dj ❤❤❤❤
❤❤❤ unastahili mr burudani 🎉🎉🎉
Safi san kamand loan wanajifany wajanj haw😂😂😂
❤🎉 dj achia vitu
dj achia ya 78🎉
Me namuona jugee akirudi tena gerezani😢😢😢
hakika yuda ma ni Kaka wa ziaoziao
TUMEKOMA DJ UTATUUWA BUMBAVU ZETU🤣
Yeeh.yudaman ni kaka ya nzihao nzihao
Naisi hivo
Dj tunaomb mwendelelez kabla msiba wa kamati ya loo mbaya haujaish nasi tushiliki😂😂
❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
❤
🎉🎉🎉🎉🎉
Dj wetu pameishia pazur jmn😢
🎉🎉🎉🎉😊❤
Kuna mtu ni mjane humu ndani leo😂😂😂
❤❤❤❤❤
Mbona 78 amuna au ndoo padoo ijatoka mbona naoba kama inacherew
Ndio kabsa yuda man mdog ake ni yule mwandish was habr😅
Kes haijaish tena 😮😮😮
Muendelezo dj
😂😂😂😂😂 wa mwisho jaman jamvi lickunjwe nimefika
Huyo ndo kamanda wa kweli 😢😢
Lontia ayuuh na juge ndo wenye sinema
Ndio ndio sterling
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤
Dj❤
Hahaha 😢 Mambo sio mazuri kutoka kwa jugée na wenzake 😢
Ad tuone mwsho ake
❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
Leta 78 baba yake binti anakuja na ushaidi ule wa kwenye kitabu😅😅😅
Watatu leo
EPISODE 82 BADO MAANA DAH
Safi sana ❤❤❤🎉🎉🎉
Ao kaka zao apo inaonekana wapo kulipiza kisasi
jamani
Jaman jitahid bs mi ntajinyonga kama sitopata hiy dawa
Imeisha patam
Panda Fish 🐼 🐟
Jamn Mr burudan usituache njian tupen mwwndelezo man kumefkia kutam
😢😢😢 yudama 😢
Dj tupe vi2 mbn 77 umeek dkk 5 😢
Miye namuwazia tu leejiugee na rontiayuni itakuwaje khatimah yao
Sijachelewa piy😂😂😂
Jamani yule mauaji ni mdogo wake na mwandishi wa habari dada yake totiayo au nakosea
Dj let vitu ya 78
Ujue nakupend dj kwa unav tupend mashabik zak
Na Mimi nimo
Wangapi wamefurahia Yuda Man kuumaliza mwendo?.kama umefurahia like na kama ujapenda gusa dislike tuone wepi watakuwa weng🔥🔥🔥
Huyo aliyempiga risasi yudoman ni mtu wa secerentali Mkuu wa police
Masikini Juge naona atarudishwa gerezani kwa jili ya kesi ya mauaji ya yule asikari 😢
Imeniuma ety yudama kufa man nili his mdogo ake kamanda huwenda yuda ma ndio kaka ake
Nani muuaji😂😂
Nyingine tena 😂
dhambi haziku wai kua haki siku zote malipo yake mauti
Tupe muendelezo
Mara paaap yudamaa ni kaka wa zinghoa
Hii move kwel ni y 🔥
Dj❤❤❤❤
❤❤❤❤
❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉