WHO IS THE KILLER EP 81 IMETAFSIRIWA KISWAHILI
Вставка
- Опубліковано 9 лют 2025
- ⚠️ENJOY ANTI JAPANESE WAR
review in Swahili version by DJ YUSCO BOY ⚠️All the content on this channel is under legal license from various copyright holders and distributors. We ask you to please contact us if you believe there are any copyright issues via email info.muvikalikutokakwamrburudan@gmail.com
⚠️此頻道上的所有內容均已獲得各種版權所有者和發行商的合法許可。如果您認為存在任何版權問題,請通過-info.muvikalikutokakwamrburudan@gmail.com 與我們聯繫
Alhamdulillah ni siku nyengine tena thnakutana kwenye jamvi letu ninaiman sote tumeamka wazima km Kuna wagonjwa Allah awape shifaa
Aaamiin kipenzi
Amina 🙏
Amn
Amiiin
amiin
Dj basi zitowe nyingi nyingi, kama tano sita ivi Kwa siku hata kumi 😂😂😂 ni movie bomba sana siichoki kuitizama.❤
Jmn wangp tunakuw tunasumbiliy hii mov kil sk tunakesh gong like km ww nikm mm🎉🎉🎉
Movie Kali sana hongera dj 🎉🎉
Hii movie ni kali kwa sababu Moja au mbili kubwa
Hakuna anaependa kuishi jela hata kama amefanya kosa
Wengi wao tunapenda tuone maisha ya jela tukiwa nje tu
(Mungu atufungulie)
Imejaa mapenzi ya uhalisia kabisaa ndo ndo maisha yetu tulio wengi
DJ tunaomba mwendelezo bas maana ulisema bodo ep chache naomba bas utupe tuangalie❤❤❤
Asante sn Mr burudani muv ni nzur sn yn huchoki kuangalia kiukwel tuekee vipande vingi ving inapendeza sn❤❤❤
Kazi nzuri dj mwendelezo please ❤❤
❤❤❤❤❤ dj wetu leo usituonjeshe bn weka hata 10 jaman
Kweli movi Kali Lia DJ muendelezo 82 services
Nani kama mimi ambaye anafikiriya nijisi atamariza wicknd bira juge❤❤❤❤❤😢😢😢
Mko vizuri kill nikijitahidi nice wakwanza nachelewa dj nakufata nje yabox
Dj leo tupe mambo hat 7 kipenzi chetu
Kazi nzur dj mungu azid kukufa afya na uzima❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Asante 🎉🎉🎉🎉 dj
Asante sana Mr burudani tunakupenda 🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Ahsante dj lete mwendelezo
DJ tunaomba mwendelezo bas ep 82🎉🎉❤❤
Tunasubiri mwenderezo ep 82 tupe nyingi tunahamu nayo kbs who is the killer ipo saw kweli kbs tuburudish❤❤❤
Tunakupenda Sana dijei tuletee bas mwendelezo
Jamani dj mwendelezo mista burudani atulali tunasubiri mwendelezo
Jamani leo nimewai ila watu mnalala umuumu,,nakpnd dj kz nzuri sana❤❤❤❤
Saf San dj🎉🎉🎉
Asante du wetuuuuuu kwa kazi yak 'nzur
Asante kaka kazi nzuri sana ❤
Move kali sana
Mwendelezo bs dj
Dj mwendelezo 🎉🎉🎉🎉❤❤❤
Dj muendelezo 🎉🎉
Mwendelezo dj please 🙏
Sijachelewa bd twakupenda dj wetu❤❤
Mwendelezo dj
Tunaomba muendelezo tunaomba ❤❤❤❤❤❤ ❤
🚶♀️🚶♀️🚶♀️sogeeni basi mmejaa kila kona nikiwakanyage je😂😂😂
Mwendelezo 82
Asantebsanabdj awuchelewi sana kipenzi chetu nakupenda bure. 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤😂😂😂
Asante DJ wetu tuko pamoja Melly from DRCONGO 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉Yooooooooooooooo Asante Mr burudani 😊
Jughee uko fit kpnz dont giveup
Mwendelezo jaman
tunaomba mwendelezo bac dj
Mngurumo wa Mr burudani na tupo mitamboni kama kawaida. Tupe mambo Dj
Dj Kaz yak nzuri san lin 82 eps🥹
dj nimekua na iman mbaya sijaona mov nyigine nzur au dj mzur zaid wewe tuu🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Asante dj 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Mr burudani nakupenda sana❤❤❤
Tunakupenda dj mungu azidi kukupa maisha marefuu yenye afya Amiin
Kazi nzuli mwendelezo 82
DJ unazingua tushushie mwendelezo
Ni kubaya🥰🥰🥰 Dj hongera yako
Mwendelezo plz dj
Dj nae ameamua kujichagulia Ana😂😂😂🎉🎉
Dj mwendelezo Kiko wapi 2naingoj🎉🎉🎉🎉🎉
Ww ni dj bora zaid mwaaa
Dj mbn leo upokimya sielewi
Dj tupe tupe jamn yan hii muvi ip bomb san
Huna baya Dj❤
Asante dj
Afu yudamaa ndo alikua kaka ake na yule mdogo wake longtyun cjuh itakuaje😱😱
uweee
😮😢
Sema hawa ushetani huo hawajuupend sema tuu malez walolelew mtaan na watu sio sahihi maskin😢
Uckute ht hakufa😅😅😅😅
@@AminaMwaipaya😂😂😂🙌
Dj tuma mwendelezo ❤
Mbona ukimya umetawala dj
Oyo dj wekanyingi kama maji movie 🍿🎥🍿🍿
Dj Yusco🎉🎉🎉🎉 mambo ni 🔥🔥🔥
nipeni like ata mimi bana dj muendelezo zaidi jamani mwamba wangu huna baya pamoja sana kipenzi
Dj leo kimoja hakitosh ❤😂😂😂😂
Dj Asante muvi nzuri jamani 🎉🎉
🎉❤😊
Jmn dj ndo umelusha moja tu 😢 aise hii move Naipend nataman isiishe❤
Muwendelezoo
Kiukweli napanda sana movie zko❤❤❤
Ukizipanda usisahau kuzitia mbolea na maji kwa wingi ili zisitawi vizuri 🤣🤣🤣
DJ tumekumiss❤❤
Huyu jamaa sauti tamu kweli yaani mtu ananogewa hadi basi, inaamsha hisia 😂😂😂 walahi. naomba initoke nakupenda DJ ❤
Shukuran Dj 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Dj mm napenda unavotafsir na move zak ni kali sanaaaaa🎉
jamn mbn umekaa kimya Tena 😢😢😢
Sante san dj nainjoy nikiwa kwa mwarabu leo mwarabu kanitibua akili yangu sipo saw😢😢😢🎉🎉🎉🎉
Dj nakupenda Bure❤ malizia ep zilizobaki bas
Move imetulia sn kiukwel hongera sn
Ila yuda man sidhani kama alikufa😊
Kabisa 😂😂😂
Jaman nzur mno 82
Dj wetu tunaomba mwendelez past 82 kuendelea kaka wetu mzr
Dj muendelezo🎉🎉
kwani wachina wanaanza kuota ndevu wakiwa na umri gn? mbona hawa wengine wakubwa lkn hawana ndevu wapo weupe😅😅😮
😂😂itakuwa wananyoa bhan
@AzizaAziza-w7k ndo hata weusi wa vinyoleo hakuna jmn yni weupe km kwapa la mtto
@babykisura1089 😂😂Sasa hata wao niweupi lakin kwahy kupat weusi sio rahisi
Move tamu wallah stamni ataiiishe haraka etii😢
Dj mwendelezo please 🙏
MRS YUUDAMAAA nimewah leo nimekuwa wa tatu daaa lakin nachangixha rambi rambi tunasafirisha mwili wa mme wang yuudamaa😢
Hhhh nlikua namchukia but dakika za mwisho sikutaka afe alaf nlihisi mara ndo kaka ake ziao ziao
Hadi mim sijapendaaaa alivyokufa ila nahisi kama hajafa😂😂😂😂😢
Ila me cjapenda we ni wakumsahau yudama kwa cku 1😭😭😭😭😭
@inathaPaul sijamsahau jmn nachangisha rambi rambi
Mmeo hajafa bhana au unataka kula pesa zetu😂😂
Mbn Leo umetoka Moja tu jamani😅😅😅
dj ongeza na uharakishe Kidogo tunasubilia Kwa hamu sana
Asante san❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
Mweny kujua jina la hii muvi jina original
Asante dj kwaburudani
Dj mbna mm napata epsd mwsho 81 sijaelew kit
Hii movie ni kiboko jmn uuh🙌🏻🙌🏻
Dj usituangusheee please tunaomba Muendelezoooo please 🎉🎉🎉
Hii movie bado san 😮😮😮😮
Mwendelezodj❤❤❤❤
Shukran dj kwa muendelezo
Usichelewe sana jamani
😂😂 kwa kwel shomb chak anna
Dj mwendelezo jamani
DJ wewe unampenda Anna utaenda China kwajili yake jamani DJ wetu amenasa😂😂😂😂😂