Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Nakubali sana uchambuzi wako kaka Ramadhan mwaduke. Ahsante kwa uchambuzi bora.
Mbwaduke ndio kioo cha mpira wetu kwa sasa hapa bongo kwa uchambuzi,hawa wengine ni watangazaji tuu kupitia UA-cam.SIMBA NGUVU MOJA💪💪🔥👆
Mnyama simbaaa ❤
Uko sawa sawa
Upo sawa kwa uchambuzi
Mbwaduke nampenda sana namtabiria mheshimiwa rais aje mteue ampe kazi inayohusu hesabu
good work
Tanzania tuna hazina Moja kubwa nayo ni ya mchambuzi mahiri, aitwaye Mbwaduke! Wengine wanajitafuta, haya ni maombi yangu.tusilaumiane.
Huyu jamaa namuelewa sana hana uccm na uchadema yeye anachambua mpira 2
Kabisa kabisa
SAWA kabisa
Mbwaduke ni mchambuzi bora weka mbali na wale wachambuzi wazushi
Naomba ugombee urais wa TFF kaka naona kama utatufikisha sehemu nzuri sana
Ongera sana icho kidude sasa sauti Iko pow
Pia inaweza kua hatari vilevile❤❤❤
Nixe
Inatakiwa ukawe video analyst wa timu mojawapo ya Kariakoo
Kuna wale chawa badala ya kufanya uchambuzi wao wamekomaa na umbeya eti za ndaani😅😅
Uko viburnum mchambuz
❤❤
a unakariri
Kwa sifa hizo mukwala aanze
Tumekusikia tutaifanyia kazi
Huyu sasa ndio mchambuzi sasa
Ubaya Ubwela😅