Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Simba yangu inshaallah mungu wajilie Simba wafike Salma warudi na ushindinUBAYA UBWELA
All the best team zetu pendwa Simba na Yanga!nendeni mkapambanie Taifa letu!
Kila la kher simba yetu ushindi nilazima tunaimani mungu hawezi kutuacha
simba nguvu moja
Mungu awatangulie muendako ikheri mfanikiwe Simba nguvumoja
All the best timu yang
Mungu awe nanyi katika safari yenu mufike salama chama langu, ubaya ubwela uendelee kuwa kipa umbele kwenu
Nampenda kocha Fadlu sababu yuko rafiki na wanahabari kinyume na makocha wengine akiwemo yule wa wapinzani wa Simba
Mungu isaidie simba iweze kushinfa
Mungu ibariki simba
Kila la khery mnyama Simba sports club siku ya tarehe 12 Amiinna Rabillah Allah miinnah 🤲
Safari njema chama rangu pendwa❤🦁
Sio rangu ni langu jifunze kuandika na kusema vizuri kiswahili sanifu
Inakera sana kuona broken kiswahili......kijana ni "langu" na sio 'rangu'
safar njema wenye nchi naamin mtavuna point 3 mhim
SIMBA SPORT CLUB 😂😂❤❤WAKALI WA KARIAKOO
Safari njema mnyamaa
safari iwenyema
Safari jema chama langu simba nguvu moja
Less more than😊
Mpenja umepgwa huna muandishi hapo 😂😂😂😂😂😂
Mungu awatangulie mafande wetu
Nimefrahi kuskia. Barua yupo
💯
Poa safari njemaa
Safari njema wa pambanaji wa ubaya ubwela
Last game you won not you win!waandishi mnafel wap na Rass Simba yupo!mnashindwa kutofautisha wakati uliopo na uliopita jamani!!
Mkuu unafuatilia hadi mwisho wa nukta 😅😅😅😅😅😅😂
So Asec memosa ni Horoya ndiko ametoka kipa pinpin camara
👏👏👏👏👏👏🇹🇿🦁♥️♥️♥️♥️♥️💪💪💪💪🙏🙏
Hao jamaa kila siku wako airport kusubili au kusindikiza team😊
Mafia timu hao😅😅😅😂
Wanatembelea nyota zetu hao ngogwe
Kila lakher chama langu ubaya ubwela
Hivi yanga tatizo lao ni lipi ? SIku zote wao hujipendekeza tuuu! Saa zote ni kuzoa zoa ilipo Simba wakati wao si cho cho te? Siku zote lazima wajibanze kwa Simba mara watake kupanda ndege ya mama na Simba..? yanga waiache SImba.. sio level yao!
Simba yangu inshaallah mungu wajilie Simba wafike Salma warudi na ushindin
UBAYA UBWELA