Asanteni san watu wa Mungu #NI WEWE# Ni wimbo wenu zawadi yenu nimeitoa kwenu kwa moyo mweupe kabisa .nanyi mmeipokea kwa mikono miwili kabisa ..barikiwe sana jamani.
@@apostlepaulraphael Ubarikiwe pia myimishi wa Mungu mzito tena ukaitwe kheri @ mataifa yote baraka zako zikakujie kama mvua ya mawe ukajaziwe zaidi ya kushindiliwa ..Ameen.
@@apolinarymdimi9840 asante San pastor wangu pia wewe umefanyika baraka sana @ watu wengi MUNGU wa Mbinguni akuinue zaidi ya mawingu Askofu wangu.ameen
Ameni, Mungu akubariki sana amekupa karama ya kuponya watu mioyo, ubarikiwe sana kaka, wakati mwingine uwe unatujuza kwa mambo mazur yenye utukufu wa Mungu ili tuunge mkono kuanzia changz la video nzur kama hii, Mungu akubariki sana sana❤
@@HappyCrocodileHiding-fe8zm Ameen San mtuumish wa Mungu .nashindwa sijui nikushukuru @ lugha gani ..OK Ila Mimi niseme tu Mungu akubariki sana siku nyingine ntakushirikisha baraka hiyo ameen.
@@Daudiguleha ubarikiwe pia nawe kamanda wangu ulichokifanya kwenye hii video kimenipa nguvu ya kuendelea mbele nimeona moyo wako wa kujitoa barikiwa San na Mungu. Ameen.
Michaeli ayubu unaweza
@@JosephMaganga-wl3cn ua-cam.com/video/WPwOhSBHOZs/v-deo.htmlsi=9ivgpt0aK6tArrhw..ameen ubarikiwe Man of God.
Asanteni san watu wa Mungu #NI WEWE# Ni wimbo wenu zawadi yenu nimeitoa kwenu kwa moyo mweupe kabisa .nanyi mmeipokea kwa mikono miwili kabisa ..barikiwe sana jamani.
J.pili hii Mungu akakugungulie kila kilichofungwa na Adui @ jina la Yesu .sema Ameen
Kazi nzuri, ubarikiwe
@@jfmaziku ameen ubarikiwe pia nawe Man of God
Ubarikiwe sana na Yesu
@@apostlepaulraphael Ubarikiwe pia myimishi wa Mungu mzito tena ukaitwe kheri @ mataifa yote baraka zako zikakujie kama mvua ya mawe ukajaziwe zaidi ya kushindiliwa ..Ameen.
ApostPaul Raphael mtu mzito ..ubarikiwe sana..halafu kingine ila iwe siri yako tu..Mungu akupe Mkemwema @ majira yake ..ameen😂😂😅❤
Safi sana kazi nzuriiiii
Barikiwa San Mr Sinda. Najua tuko pa1 San 🎉
Balikiwa mtumishi wa MUNGU KWA kazi nzuli MUNGU akuinuwe kwa viwango vikubwa🙏🙏
@@MarryMussa-mc4ol ameen saaaana ubarikiwe pia Mwimbaji mkubwa
Barikiwa sana kaka kwa kazi nzuri
@@MrMiracle-x5k barikiwa pia MTU mzito
Unaweza kaka
Asant kaka pia nawe unaweza pia
Well done kijana
@@mariamyusuph8892 oooo waoo mamuu ..thank u my familyua-cam.com/video/WPwOhSBHOZs/v-deo.htmlsi=VLhyqXgynoiBI0jN.
Wimbo mzuri sana nimependa nitafute nikusaidie kufikusha mbali namba zangu pale kwa yutube yangu
@@mashabikiwaharmonize thank u man of God..
Mwanangu nisimamie una chakula chetu !!!
@@apolinarymdimi9840 asante San pastor wangu pia wewe umefanyika baraka sana @ watu wengi MUNGU wa Mbinguni akuinue zaidi ya mawingu Askofu wangu.ameen
Ameni, Mungu akubariki sana amekupa karama ya kuponya watu mioyo, ubarikiwe sana kaka, wakati mwingine uwe unatujuza kwa mambo mazur yenye utukufu wa Mungu ili tuunge mkono kuanzia changz la video nzur kama hii, Mungu akubariki sana sana❤
@@HappyCrocodileHiding-fe8zm Ameen San mtuumish wa Mungu .nashindwa sijui nikushukuru @ lugha gani ..OK Ila Mimi niseme tu Mungu akubariki sana siku nyingine ntakushirikisha baraka hiyo ameen.
Its you
#NI WEWE# Haswaaaa
Asanten sana kwa pongezi zenu watu wa Mungu mbarikiwe San na Mungu wetu ..AMEEN.
mungu akubal kamanda wangu umejitaindi san
@@Daudiguleha ubarikiwe pia nawe kamanda wangu ulichokifanya kwenye hii video kimenipa nguvu ya kuendelea mbele nimeona moyo wako wa kujitoa barikiwa San na Mungu. Ameen.
@@michaelayubu9456 asante kamanda mungu akuinuwe usi ishiye hapo tu natamani uendelee zaidi
ua-cam.com/video/WPwOhSBHOZs/v-deo.htmlsi=9ivgpt0aK6tArrhw
Hii link imefanyika uponyaji wa roho za wengi san