🔴

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 86

  • @MatildaLazaro
    @MatildaLazaro 2 місяці тому +1

    Mm napenda sana ally kamwe anabusara japo nipo simba

  • @hafsalucky1088
    @hafsalucky1088 2 місяці тому

    Ally Kwamwe uko vizuri Sana busara nyingi❤

  • @RashidRajab-oz5ec
    @RashidRajab-oz5ec 2 місяці тому +9

    Mimi ni mnyama lakini kamwe alikua Ana fanya kazi yake vizuri young Africa than manara

  • @BabaNuraty
    @BabaNuraty 2 місяці тому +13

    Ali we ni mtu mmoja busara mungu akuzidishie

  • @feisalally9354
    @feisalally9354 2 місяці тому +2

    Dah hayo ndo maisha Yana mwanzo na mwisho ila Ally ulipambana na umetimiza wajibu wako kwa %100 .Kesho yako itakua Bora zaidi insha'Allah.natumai daima utakua mwanafamily WA jeshi la kijani 🫲

  • @AdveraJames
    @AdveraJames 2 місяці тому +2

    Ally kamwe please you deserve to be Afisa habari wa Yanga don't go

  • @NeemaMdachi
    @NeemaMdachi 2 місяці тому +4

    asanteee ally kamwe wanasimba tunahitaji urudi azam tv mambo kumi yanakusubili

  • @ZenahZenah-w3u
    @ZenahZenah-w3u 2 місяці тому

    Ally kanwe nampenda sn jaman.

  • @dr.edmundbmgeni486
    @dr.edmundbmgeni486 2 місяці тому +2

    Hongera Sana Ally Kamwe Kwa kazi nzuri. Umekuwa mtu wa maana sana Kwa club na naamini bado upo ndani ya Yanga Kwa sababu Kuna mambo mengi makubwa yanakuja na yanakuhitaji.

  • @EdwardElikunda
    @EdwardElikunda 2 місяці тому +2

    Jamani wanayanga tusimkubali manara amekuja yanga kutuvuruga, wamwache ally kamwe wetu

  • @dr.edmundbmgeni486
    @dr.edmundbmgeni486 2 місяці тому +3

    Watu wataongea Mengi but Ally Kamwe anakwenda kwenye majukumu mengine ndani ya club na bado atakuwa idara ya habari. Wiki hii najua kutakuwa na BIG ANNOUNCEMENT. Go YANGA🔥🔥🔥🔥

  • @dr.edmundbmgeni486
    @dr.edmundbmgeni486 2 місяці тому +1

    Yanga TV on the Way

  • @dr.edmundbmgeni486
    @dr.edmundbmgeni486 2 місяці тому +1

    Najua Kuna jukumu lingine kwako. Watu hawajui tunakwenda kuzindua Yanga TV soon. Hii ni miingoni mwa ndoto Yako na naamini hili ndilo unalokwenda kulifanya ndani ya Yanga. Hii code wanaoelewa ni wachache sana. Shine Ally Kamwe and live long

  • @AshaMbaraka-cb5ix
    @AshaMbaraka-cb5ix 2 місяці тому

    Njoo Simba au Azam ,achana na mzungu uyo ,uyo anaitwa lopolopo, watashindwana tu na yanga kisa mdog wake,kamwe nakupenda mwanang,na wanakupenda mno, achana na yanga

  • @anthonywilliam6510
    @anthonywilliam6510 2 місяці тому +1

    Asante sana Ally

  • @JUU-lw2je
    @JUU-lw2je 2 місяці тому +6

    Mimi yanga ila.simpendi Manara hana busara bora angebaki tu Ally

  • @DulandulaDullan
    @DulandulaDullan 2 місяці тому

    Sijapenda

  • @DeborahSaitoti-oy7fm
    @DeborahSaitoti-oy7fm 2 місяці тому +2

    Mi simba ila ally nampenda sana

  • @johnraphael2258
    @johnraphael2258 2 місяці тому

    Hongera sana kaka Kwa kwaulipotutoa na tulipo hongera sana ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @saimonmlay4295
    @saimonmlay4295 2 місяці тому

    Anaenda Kaiser Chief😢

  • @Kuminamoja1995
    @Kuminamoja1995 2 місяці тому +4

    Sio kweli kabisa kamwe ally yupo Yanga 💚💚

  • @AshaMbaraka-cb5ix
    @AshaMbaraka-cb5ix 2 місяці тому

    Una busara sana hekima manara hawezi kufana na na we wewe mwiko

  • @tawsi-yc3nk
    @tawsi-yc3nk 2 місяці тому +2

    Daah nimeumia sana 😢😢😢😢

  • @GetrudeJohn-m5h
    @GetrudeJohn-m5h 2 місяці тому +3

    jamani ali wangu 😭😭😭😭

  • @Evance-op4jw
    @Evance-op4jw 2 місяці тому +1

    siwaamini alyy kamwe siyo wa kutoka yanga kirahisi hivo

  • @SubiraMohammed-ks6qg
    @SubiraMohammed-ks6qg 2 місяці тому +6

    Nimeumia sana jamani ata sijui kwanini

  • @philoteuslwena3082
    @philoteuslwena3082 2 місяці тому +1

    Njoo simba kakaa plz njoo simbaa

  • @sirielsamweli
    @sirielsamweli 2 місяці тому +1

    Nimeliaaaaaaa Ally Kamwe ushawishi wako, kujivunia kwako yanga ilikuwa motisha hadi kwa wachezaji. Leo unaondka yanga😢😢😢😢😢

  • @williamjonas-bf6nj
    @williamjonas-bf6nj 2 місяці тому +1

    Mimi ni Simba dam dam ila nimeumia

  • @FlominaNokwe
    @FlominaNokwe 2 місяці тому +1

    Jamani nimeumia sana

  • @muhidiniwadhifa3600
    @muhidiniwadhifa3600 2 місяці тому

    Ahmed Ally fanya kitu jamaa asiondoke mm ni simba dam ila jamaa yupo sw

  • @saidkanduru9747
    @saidkanduru9747 2 місяці тому

    Njoo kwenye kizazii cha gen z wenzako unyaman

  • @dr.edmundbmgeni486
    @dr.edmundbmgeni486 2 місяці тому +1

    Wiki hii hutaisikia Simba Bali ni Yanga tu

  • @joycekilango8382
    @joycekilango8382 2 місяці тому

    Du nimeimia sana kwanini Ally

  • @DoryGeorge
    @DoryGeorge 2 місяці тому +3

    Hpnaaaaaaaaa

  • @rehemamejja8342
    @rehemamejja8342 2 місяці тому

    Cha matusi kaja..manara

  • @yosefamlumbe7044
    @yosefamlumbe7044 2 місяці тому +1

    Haka kajamaa kanafiki kanafulahi kinafiki

  • @amisamaurid1882
    @amisamaurid1882 2 місяці тому +2

    😭😭😭😭 ntakumiss xana kaka

  • @rehemamejja8342
    @rehemamejja8342 2 місяці тому

    Manara kivurudga

  • @simbahmsini
    @simbahmsini 2 місяці тому +1

    Ameondoka Ali Kamwe muungwana ambaye hakuwahi kuutweza utu wa watu,kaondokea Buza ambapo mara nyingi wamekuwa wakidhalilishwa na kutolewa mifano mibaya na Manara kila anapotaka kuzungumza Hali Duni ya watu au kumkosoa mtu kisa anakaa Masaki.
    Watamleta hayawani asiyekuwa kuwa vibe la soka lipo uswahilini na ndipo kwenye mashabiki wa kweli huko

  • @adamutilar3147
    @adamutilar3147 2 місяці тому

    Manara atoke fala yule

  • @saidyussuf-my8ew
    @saidyussuf-my8ew 2 місяці тому +1

    Dah ali kwanini

  • @SaidCannal
    @SaidCannal 2 місяці тому

    Ally Kamwe ni zaidi ya wote,,Huyu mwingine hayupo kwenye msemaji bali asira na mipasho km ya mziki wa taarab nadhani Yanga radha imeondoka ktk sekta hiyo

  • @FiniasBugobola
    @FiniasBugobola 2 місяці тому +2

    Ally Baki tu bana

  • @AirinSumeno
    @AirinSumeno 2 місяці тому

    Mimi naona hawa utopolo wanafanya kiki

  • @user-qe2lb9ns8h
    @user-qe2lb9ns8h 2 місяці тому +1

    😭😭

  • @christopherdaniel7279
    @christopherdaniel7279 2 місяці тому

    Sio kila ukipotezacho ni hasara

  • @AlfredyAlexander
    @AlfredyAlexander 2 місяці тому +1

    Atumtaki haki manara,

  • @minazsaid2470
    @minazsaid2470 2 місяці тому +6

    Ally unaondokaje hafla hivi bado tunakuhitaji hatujatosheka na wewe

  • @ZulekhaBaksh-ii4fk
    @ZulekhaBaksh-ii4fk 2 місяці тому +2

    Kwa nini Allly bado tunakupenda

  • @josephassenga5602
    @josephassenga5602 2 місяці тому

    Huy jamaaa anaitumika yanga kwa moyo mi km akiondoka itaniuma

  • @jameslaurian
    @jameslaurian 2 місяці тому

    Manara hatukutati hata TFF hawakutaki pia

  • @AloyceThobias
    @AloyceThobias 2 місяці тому +2

    Ali kamwe acha bax Bado tunakupenda

  • @carolinambalamwezi4216
    @carolinambalamwezi4216 2 місяці тому

    Huyu jamaa code zake ngumu, kwahiyo Raster man ni Bugati au kibu, Huyu asiachwe kwani ana kismati cha ushindi subiri utufikishe final club bingwa jamani Daima mbele

  • @Abdul-oc1ul
    @Abdul-oc1ul 2 місяці тому

    Hawa wfny kz hawana timu

  • @rehemamejja8342
    @rehemamejja8342 2 місяці тому

    Kaogpa kesi magoma

  • @shithyomar3828
    @shithyomar3828 2 місяці тому

    What happened really I don't understand how?

  • @kessysenga8700
    @kessysenga8700 2 місяці тому

    Bora dogo Ally Kamwe ungeendelea kubaki kuliko huyo manara n Simba huyo

  • @MalifezaMajidi
    @MalifezaMajidi 2 місяці тому

    Ali usitoke yanga tunakuhitaji jamani hatakama sio usemaji.

  • @himanmwalwala7569
    @himanmwalwala7569 2 місяці тому

    Sio anatafuta Kiki

  • @Abdul-oc1ul
    @Abdul-oc1ul 2 місяці тому

    Azam chukuweni mwamba huyu

  • @kalebphilip3426
    @kalebphilip3426 2 місяці тому

    Mpeni Kaz ya kufagia pale jangwan

  • @omarcarlos4595
    @omarcarlos4595 2 місяці тому

    Manara si mtu sahihi kwasasa,Huyu kijana alionesha ubunifu mkubwa na sio wa mitusi mitusi na mbwembwe kama yule jamaa

  • @DonathaLaizer
    @DonathaLaizer 2 місяці тому

    No😢

  • @kassidpandu866
    @kassidpandu866 2 місяці тому

    kiboko wako Buggati yupo Subiri aje akutume

  • @AshaNchira
    @AshaNchira 2 місяці тому

    Machizi nyieeee

  • @PatrickNyanghungo-p7s
    @PatrickNyanghungo-p7s 2 місяці тому

    Hivi nikweli anaondoka.nanikwanini aondoke

  • @FredAkondowe
    @FredAkondowe 2 місяці тому +1

    Bado naamin nafasi Yako ipo

    • @tawsi-yc3nk
      @tawsi-yc3nk 2 місяці тому

      Hata mie naamin hivyo jaman

  • @KhamisHamad-ts8pp
    @KhamisHamad-ts8pp 2 місяці тому

    Pamela anakusubili ulipewa km zawad

  • @LeyKingo
    @LeyKingo 2 місяці тому +1

    No

  • @SaleheKijazy
    @SaleheKijazy 2 місяці тому

    Ww nenda tuu pimbi ww mna pishana lkn Ahmed ally ni yule yule

  • @AlfredyAlexander
    @AlfredyAlexander 2 місяці тому

    Atumtaki manara

  • @GidioniNdanyoga
    @GidioniNdanyoga 2 місяці тому

    Anaondokaje semaji letu

  • @SuleimanMuhammed-g7q
    @SuleimanMuhammed-g7q 2 місяці тому

    Aende hana lolote

  • @AtkaSuleyman
    @AtkaSuleyman 2 місяці тому

    Nini shida

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 2 місяці тому

    Acha uongo wewe acha weee

  • @rachelsimon2876
    @rachelsimon2876 2 місяці тому

    Si unyamaze wewe mwandishi

  • @JummaSammata-ny5xf
    @JummaSammata-ny5xf 2 місяці тому

    Hii propaganda tu

  • @Snells2001
    @Snells2001 2 місяці тому

    huyu mwandishi ni muongo anataka content tu za mtandaon

    • @ToshNester
      @ToshNester 2 місяці тому

      Manara is back

    • @JUU-lw2je
      @JUU-lw2je 2 місяці тому +1

      Manara anaongea pumba sana aisee tena keshakuwa mzee aachie vijana kazi

  • @jovinusmutabuzi4647
    @jovinusmutabuzi4647 2 місяці тому

    Ally kutongangania cheo ni hekima sana.
    Kafanya kazi nzuri tumeona.
    Kuna jambo nimeliona sijuhi kama niko sahihi.
    Timu na uongozi wakiwa South Africa, maharaja kalipa faini 10m. TFF ikamfungulia.
    Nilidhani ange subiri rais wa yanga atangazie umma kwamba manara kafunguliwa.inaonekana Manara ananguvu sana kuliko Rais au helewi mamlaka na taratibu za uongozi .
    Kamwe alipaswa kumkabidhi ofisi kabla hajaanza kuongea.
    He seems to be a bull in china's shop.
    Azibitiwe Mapema.Naona yanga inakwenda ki science zaidi .we need brains