Uchambuzi wa Muro, Qudabash kuhusu kundi la Yanga Ligi ya Mabingwa

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 жов 2024
  • “Young Africans…anaanza pia kujenga tabia hiyo ya kuwa giant” maneno ya mchambuzi wa soka Godlisten Muro akichambua matokeo ya droo ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL)
    Abdulkadir anasema AS Maniema wameenda kujifunza katika michuano ya Ligi Mabingwa Afrika.
    Yanga imeangukia kundi “A” ikiwa na TP Mazembe ya DR Congo, Al Hilal ya Sudan na MC Alger ya Algeria.
    #DrooKombeLaShirikishoAfrika #CAFCC

КОМЕНТАРІ • 15

  • @davabackup7767
    @davabackup7767 2 години тому

    Yanga DAIMA MBELE NYUMA MWIKO 💚💛🇹🇿

  • @FredMwamgogwa-td6ni
    @FredMwamgogwa-td6ni 15 годин тому +4

    Hilo kundi la kina Orlando moto utawaka.

  • @Mosesy_Bright
    @Mosesy_Bright 14 годин тому

    SIMBA BIGWA 💯❣️👑🔥🔥🔥🔥💯🌏I LOVE YOU ❤️SIMBA BIGWA 💯❣️👑🔥🔥🔥🔥💯🌏

  • @emanuelanderson4483
    @emanuelanderson4483 16 годин тому +2

    YANGA alicheza final na USM ALGER
    na sio MC ALGER

    • @josephsangawe7666
      @josephsangawe7666 12 годин тому

      Zote zimemfunga yanga goli 4 usm Alger 2016 na mc Alger 2017 fuatilia ndugu

  • @PeterWilbard
    @PeterWilbard 12 годин тому +3

    Kumbe hawa wajinga utopolo huwa wanatudanganya wamechukua UBINGWA mara 30, duuuh!! Kwa wale wanaosikia KIGIRIC naamini mlisikia wakati wanatangazwa kwenye upangaji wa MAKUNDI kwa CAF wanazo kumbukumbu za mara 25 TU. Aisee ni aibu kubwa kwa watu wazima kudanganya wenzao 😅

    • @mudylipawaga5362
      @mudylipawaga5362 3 години тому

      Kama yanga mala 25 je Makolo c mtakuwa mala 10😂😂😂

    • @PeterWilbard
      @PeterWilbard 2 години тому

      @@mudylipawaga5362 Unajua wewe huna hoja ila ubishi wa kijinga tu unataka.Rudia ya matangazo ya draw ya MAKUNDI then ndiyo uje na hoja. Yule kiongozi wa watangazaji ilikuwa ikitajwa timu hapo anaelezea na kusoma history yake toka imeanzishwa.

    • @MhinaKulewa
      @MhinaKulewa Годину тому

      Wale ni wachambuzi ambao hawakuongea wakiwa na usahihi. Wenye takwimu za Yanga ni Tff, na uzuri Kwa Sasa vitu viko wazi

  • @YusuphJilala-r4e
    @YusuphJilala-r4e 13 годин тому

    Kuwakanda tuuuu😅😅😅😅

  • @daggerslick
    @daggerslick 16 годин тому +1

    Number li one uno😂

  • @FootballHighlights-zv5bc
    @FootballHighlights-zv5bc 3 години тому

    Yanga anacheza makundi mara ya 2 na sio ya 3