KHAMBAY NI TUNU YETU WANA BABATI TUIHESHIMU # TUNAJUA UNAFANYA MAMBO MAKUBWA - TOIMA # NZWALILE
Вставка
- Опубліковано 9 лют 2025
- AMETOA MSAADA WA FENICHA ZA MIL.20 KWA AJILI YA SEKONDARI 8, SHULE YA MSINGI 1, NA OFISI 1 YA WAZAZI BABATI MJINI.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM Wilaya ya Babati Mji Mkoani Manyara Emmanuel Khambay ametoa msaada wa fenicha za meza 30 na viti 50 vyenye thamani ya sh.mil.20 Kwa ajili ya kuzipatia shule 8 za Sekondari na shule moja ya Msingi, Ofisi 1 ya Jumuiya ya Wazazi Wilaya pamoja na Ofisi Moja ya Wazazi Tawi la Majengo Singe.
" Ikumbukwe kuwa Mwaka Juzi maadhimisho ya wiki ya Wazazi kitafa yalifanyika Mkoani Manyara, wakati tukiendelea kwenye kilele wajumbe wa NEC kupitia Jumuiya ya Wazazi ambao walipangiwa kutembelea maeneo ya Mji kwetu wa Babati tuliweza kufika katika Ofisi Chama ya majengo Kata ya singe nao walituwleza uhitaji wa fenicha , basi wale wajumbe wa NEC wakanioq JUKUMU kama Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi wilaya husikanikahakikisha fenicha inapatikana kwa ajili ya Ofisi hii, Kwa hiyo Mh.Mwenyekiti wa CCM MKOA Leo hii pia utakabidhi" amesema Mwenyekiti Khambay.
Good