Mmh sa atakua wapi? Au kamezwa na wanyàma? Mungu amsaidie awe salama jmn mbona ivo...kama katoroka basi urudi nyumbani mdogo wangu maana wazazi hii inawaumiza sana Joel rudi tu
Huyu mtoto mbona kama Ana Asili ya kizungu au baba yake siyo mwaafrika uenda kafuatwa na ndugu zake ukiangalia sura yake iko tofauti kabisa na has wazazi wake nyie mnaonaje,ni mwafrika kweli huyu uenda kaenda ulaya huyu
Yasikitisha wallahi mmmmm mungu wangu
Mi nashauri msambaze picha zake mikoa mbalimbali kama yupo ataonekana tu eeh mungu tuonyeshe mtoto huyu alipo baba hujashindwa nakitu .
Mmh sa atakua wapi? Au kamezwa na wanyàma? Mungu amsaidie awe salama jmn mbona ivo...kama katoroka basi urudi nyumbani mdogo wangu maana wazazi hii inawaumiza sana Joel rudi tu
Mungu tuonyeshe Joel alipo tu
Pole kwa mzazi
Huyu mwanafunzi atakuwa mtaani mi naona atafutwe mikoa yote labda hawakwenda naye kusema mlima unapoteza watu siamini
Poleni sana