Viongozi wa ODM wapendekeza gavana James Orengo kuwa kinara wa chama hicho

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 вер 2024
  • Baadhi Ya Viongozi Wa Chama Cha Odm Sasa Wanampendekeza Gavana Wa Siaya James Orengo Kuwa Kinara Wa Chama Cha Odm, Nafasi Ambayo Inashikiliwa Na Raila Odinga. Katika Kikao Na Wanahabari Viongozi Hao Wakiongozwa Na Mwenyekiti Wa Chama Cha Odm Kaunti Ya Nairobi George Aladwa, Wametaka Usimamizi Wa Chama Cha Odm Ambao Utakutana Wiki Hii Kufanya Uamuzi Kuhakikisha Kuwa Uongozi Mpya Wa Chama Ni Dhabiti.

КОМЕНТАРІ • 17

  • @kebasomoraraa
    @kebasomoraraa 7 днів тому +4

    Support ⭐ 💪. It is time to take a new approach. Electing young, fresh leaders who have not been part of the political establishment offers a chance to bring new ideas and energy to our country's leadership. As the youth, we have remained untainted by corruption, and with your support, we can make our nation great again. Let’s unite for a brighter, more prosperous future under youthful leadership.

  • @HonLameckMokaya-c9n
    @HonLameckMokaya-c9n 7 днів тому +3

    Arati anatosha kuwa kinara wa chama kikuu njini Kenya ODM🍊🍊

  • @ketamuainvestments2030
    @ketamuainvestments2030 7 днів тому +3

    Orengo is old guard, Babu Owino or Sifuna

  • @TrendingNewsTv-k6j
    @TrendingNewsTv-k6j 7 днів тому +2

    Babu should be the leader. What has Orengo done for the people at the ground.

  • @HAGGYD
    @HAGGYD 7 днів тому +3

    Babu owino toshaa

  • @catherineikovwa3401
    @catherineikovwa3401 7 днів тому +2

    Sifuna or bob owino are the best people

  • @kennedyotieno6031
    @kennedyotieno6031 7 днів тому +1

    Babu owino🙌

  • @omokemorara8656
    @omokemorara8656 7 днів тому +2

    ODM has been reduced to a tribal party

  • @MashdepoisonMash
    @MashdepoisonMash 7 днів тому +2

    Hawa wataachwa kwa mataa na Baba,coz yeye akikosa au seat,atarudi na party ingine yeye na ruto naio ndo itakua fire

  • @djteknixxkenya5152
    @djteknixxkenya5152 7 днів тому +3

    BABU OWINO

  • @richardgachoya2211
    @richardgachoya2211 3 дні тому

    Dont give that guy the machine gun😂😂😂😂😂😂😂

  • @totodavis1949
    @totodavis1949 7 днів тому +2

    Hapa naona watu wendi wanaota babu akitaka vizuri atafute chama chake

  • @hawiben2420
    @hawiben2420 7 днів тому +1

    Kinara wetu sasa ni President DR. William Ruto. Hatuwezi ongozwa kutoka Siaya miaka yote. Wameshindwa kwa miaka mingi, Ruto ndiye Mungu amempa suluhu na ndiye tunayetambua sasa. Mwanzo huyo Orengo, alikataa hii huusiano mwanzo ata Mbadi akamkemea. Mbadi au Wanga wanaweza kuwa naibu wa Rais

  • @kefaaboki6387
    @kefaaboki6387 7 днів тому +1

    Why Orengo and he is almost 80 years old?

  • @Elibuk
    @Elibuk 7 днів тому +1

    Odm will be a nyanza party dapk will rule western kenya

  • @johnsonWatuka
    @johnsonWatuka 5 днів тому

    Kwendeni huko waluo wajinga