Asente Sana Lucas lumbasi kwanza kabisa dhambi ni mbaya likini hukitumbu hunasamehwa hasira ni mbaya huonkoza mtu kuhuwa badaaye majuito mungu ni mwema Dada huko hai hili ushuhuda jamii shetani hako kazini usiku na mchana kupoteza watu wa mungu kaa kwa yesu
Aby,ww ndo ulikuwa mjinga hapo,ulikuwa niunyamaze kimya usome chuo ukimaliza uombe fear urudi nyumbani,na hela zako kibao ufanye mambo yako .uangalie mune mwwngine akuoe ufate maisha yako na Gabrael wako namaisha mapya .
Amazing story Lukas lumbas And the writer ❤❤❤❤it started normal and now it's very interesting to listen to and keep people wanting to know the end🔚 of the story
Wasichana wa siku hizi huwa wanajitafutia shida wenyewe, hayo yaliomkuta huko ulaya angerudi kwao,ila akaona anze kudanga wakati yy ni mke wa mtu, angerudi nyumbani akaelezee kilicho mkuta, Ameshikwa na laana ya Gabriel
Story nzur sanaaa nimependa jins aby alivyofanya katika story hii na pia nilichokipend zaid ni kuhus hatma yake na mume wake mwingne ambay ni Roberto,ila nmecheka sanaa ulivyokuwa unaimba 😅
Nmependa everything kuhs aby nmetokwa hd machoz jmn huyo dada anapty meng lkn n shupavu San n nmependa jinsi anavo nyanduana n wapenz wke wot alio kuw nawo jmn anafaidi huy dada ooooh jmn 🥰🙈👌❤️❤️❤️❤️❤️
Ila Aby alijitahidi sana,mimi zingekata zamani mno,hata nisingeongozana nae hata kusafiri kwani dalili mbaya zilishaonekana zamani mno,sema usongo wa kwenda nchi za watu ndiyo ulimtia nguvu😅
Ila pale kwenye kuuwa siyo powh wanaume mkumbuke tuna siraha😂 mkituweka ndani mkidai mnatumudu utashangaa unapewa ya kichwa tunaomba🙏🏻msijue siraha zetu zingine 😅
Kwakweli alizidi nayeye, kwanini asiseme ukweli,kumsingizia mumewe kuwa amemkuta bikra kumbe uwongo, kwani kukutwa na kosa si ubinadamu tu huo?ana laana ya Gabriel
😂😂hiyo zawadi ya bikra hutolewa na mume,sasa wewe uweke damu ya ngombe bila hata mapatano na amekuambia useme ukweli wewe unaongopa,ni roho ngumu ya aina yake 😂😂
Eeeeewaaaaaaaaaa kitu kingine kipya na lumbas wetuuuuuu 💗💗💗💗 let's start to listen this story ❤️❤️💞🥰
Kka lumbasi asante kwa simulizi nzuri
ABY mwanamke wa shoka duh ee bwanawe umetisha
We nimejua kwaba kuteleza siokuanguka nikujieka poa nakudza safari tamu sana God bless
I found love in u weweeee imenikosha yani adi raha simulizi imenifunza mambo mingi sna ubarikiwe mkaka
Very nice strori Aby hogera kwa ujasiri❤❤❤❤❤
Nimechelewa ila nimefika ❤❤kitu cha motoooo😂😂
Wow nice 💕💕💕💕💕💕💕👍
Nimeupenda wimb
story nzur sana lucas nimeipenda sana na nimepata funzo kubwa sana asante sana
Wow my favourite 🤠 Lucas much love 💕🥰
Asente Sana Lucas lumbasi kwanza kabisa dhambi ni mbaya likini hukitumbu hunasamehwa hasira ni mbaya huonkoza mtu kuhuwa badaaye majuito mungu ni mwema Dada huko hai hili ushuhuda jamii shetani hako kazini usiku na mchana kupoteza watu wa mungu kaa kwa yesu
Nzur xna
Hallow lukas Allah akutangulie kwa lila jambo akuzidishie maisha ana kipato pia aby ametueshimisha wanawake kwa ujasiri wake
@@LUCAS_LUMBASI😅😅😅😅 message send and derived😂😂
❤❤❤❤ Asante sana ABY
Lukas rafiki yetu una sauti nzuri saaana ktk simulizi
hongera sana aby
😂😂😂😂jmn et nataka kutishwa na mimi ili nilale😂😂😂
Weweeeeeeee sapi nduru kwa lucas jamani thank you for amazing story be bless walahi
@@lucaslumbasi7876 hahahaa amazing sound and nice story
❤ brother tunakupend sn ujawahi kutuangusha
❤🎉🎉❤nzurii sana
❤❤❤❤❤ waaah sema kucomment b4 kusikiza😂😂😂😂😂
Zz
Nime penda ihi❤ but the End Imenipa kichekesho Mno😂😂😂😂😂
Ni kweli hizi simulizi zinatufunza sana❤
Jamn mungu atusaidie hiii Dunia sasa,
Lucas lumbas weweeeeh moto sana
Kaka lukas bana😂 unaimba kabisa kama upo bawifi 😂😂😂😂 wewe noma
😂😂😂😂
😂😂😂 tunayo
Sauti jmn😂❤
Jamani na iyooo saut acha bas kunifrahisha❤😂😂😂😂
Inglish ya Lucas ni tam 😂😂😂❤❤❤soooo sweet
Umeona eh😍😍
@@marrygasirigwa9309 aywaaa my dea
Nice story 🥰🥰🥰🥰🥰
Mwana wa lumbas ❤❤hii sauti😂😂🎉🎉unasimulia vizuri sana unanifanya nipende mapenzi ya simulizi yapo kiuharisia mapenzi nayachukia😢😊😊😊
@LUCAS LUMBASI 🤣🤣🤣🤣umejuwaje
Usichukie kupenda kwa sababu ya mtu ambaye hakuwa mtu sahihi kwako, kuna siku utampate mwenye mapenzi ya kweli
@@donaldchacha nashukuru sana kwa ushauri mzuri
Nice story thx
Asante sana lumbasi mafunzo ni mengi tu apo ila wasikilizaji wenzangu hii tabia ya kwa mpalange ni vitu real life na madhara yake ndio kama ayo😢
Good job Husbabii ❤
Wakwanza like zangu💃💃💃💃
Taratibu bc lucass😂😂😂kuimba jmni
Weewe Aby kweli huja fundwa kwenu mdomo mrefu loo muongo jee wewe bkra ya uongo
Aby,ww ndo ulikuwa mjinga hapo,ulikuwa niunyamaze kimya usome chuo ukimaliza uombe fear urudi nyumbani,na hela zako kibao ufanye mambo yako .uangalie mune mwwngine akuoe ufate maisha yako na Gabrael wako namaisha mapya .
Sooo nice story
Thanks mr Lucas for the educative good storie for sure Abby passed through alot. May the almighty God bless you.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂jamani
Jamani mapenzi nyie mbna sija pata wazati
Wow❤❤❤😊
Nime penda sn hayo mahusiano ya ady n funzo
Asanteer luca
Amazing story Lukas lumbas
And the writer ❤❤❤❤it started normal and now it's very interesting to listen to and keep people wanting to know the end🔚 of the story
.
Lukas Asante ❤❤❤❤
Mtungaji kaweka kuwa wanaishi ulaya lkn mazingira ni maisha ya watu wanayoishi Africa.
Wasichana wa siku hizi huwa wanajitafutia shida wenyewe, hayo yaliomkuta huko ulaya angerudi kwao,ila akaona anze kudanga wakati yy ni mke wa mtu, angerudi nyumbani akaelezee kilicho mkuta, Ameshikwa na laana ya Gabriel
Aby ndo kanikosha kwenye changamoto alizo pitia
Funzo
Wooooow ❤😊
Vko
Mashoga kuna funzo lenyu hapa
Gabriel amenirundisha miaka 5 nyuma kitu abacho stakagi kukumbuka ambacho mpka leo hii kimeniweka mbali na familia yangu😔🥲
Pole
@@shamsaalrahbi7593 asante dear dear
Oh God 😢 pole sana vero.....
@@marrygasirigwa9309 😊😊😊
@@lucaslumbasi7876 😅😅😅😅
Mapenzi ya dhati hayajawahi kufa ingawaje mitihani yake nimingi yenye kuvunja moyo misuko suko kibao na mwishowe manusra kifo ,
Waooooo anko j
Story nzur sanaaa nimependa jins aby alivyofanya katika story hii na pia nilichokipend zaid ni kuhus hatma yake na mume wake mwingne ambay ni Roberto,ila nmecheka sanaa ulivyokuwa unaimba 😅
Duh eti shimo 😂😂😂😂
Yawezekn nisikila vibay @LUCAS LUMBASI 🤣🤣🤣🤣💝💝💝
Amazing story ❤
😂😂😂 mhmm,sijui unatamani kuolewa na London au na Ryan,😂😂😂nimecheka,nikubahatisha kwa jambo kubwa hivyo😂😂
Kama imerudiwa layan kama shoga hv
Na hapa haachwi mtu na vile uliolewa na London😂😂😂😂
Kweli wewe Aby mwehu huogopi inchi ya watu kweli huja fundwa kwenu huna busara unge kuwa nasubra unge gundua mengi
Weee kuweza 😢😢😢
Gabriel ndo basi tena pole kwa Gabriel
Hadithi nzuri na Tamu ila jitahidi kupunguza (adds) plz n nyingi
Asante kwa ushauri sweery❤
Aby wach sasa nitulie nimemaliza mitihani sasa
❤❤❤❤❤❤❤❤
😢😢
❤
Am later 😂😂 it’s okay
Omg aby ww n kiboko yao
Nmependa everything kuhs aby nmetokwa hd machoz jmn huyo dada anapty meng lkn n shupavu San n nmependa jinsi anavo nyanduana n wapenz wke wot alio kuw nawo jmn anafaidi huy dada ooooh jmn 🥰🙈👌❤️❤️❤️❤️❤️
❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
Wimbo umenikosha
❤❤❤❤❤
😅😅😅
Asilimia kubwa ya wanawake wengi wakishahamishwa hisia yote hukata
Ila Aby alijitahidi sana,mimi zingekata zamani mno,hata nisingeongozana nae hata kusafiri kwani dalili mbaya zilishaonekana zamani mno,sema usongo wa kwenda nchi za watu ndiyo ulimtia nguvu😅
Ila pale kwenye kuuwa siyo powh wanaume mkumbuke tuna siraha😂 mkituweka ndani mkidai mnatumudu utashangaa unapewa ya kichwa tunaomba🙏🏻msijue siraha zetu zingine 😅
Silaha gani 😂
Lakin Aby ana makosa,kwa nin adanganye kitu kikubwa hivyo?heri wangeshirikiana kudanganya pamoja
Kwakweli alizidi nayeye, kwanini asiseme ukweli,kumsingizia mumewe kuwa amemkuta bikra kumbe uwongo, kwani kukutwa na kosa si ubinadamu tu huo?ana laana ya Gabriel
Po❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
❤❤❤❤❤❤❤amen amen 🙏🙏
😂😂hiyo zawadi ya bikra hutolewa na mume,sasa wewe uweke damu ya ngombe bila hata mapatano na amekuambia useme ukweli wewe unaongopa,ni roho ngumu ya aina yake 😂😂
❤❤❤
❤❤❤❤❤
❤❤❤❤
❤❤❤❤