Lucas Lucas mtoto wa Lumbas we kama unajua yn unajua na unajua Tena dadeq mm nlipta kukuskliza mda yn nipo +256 Watu walifika mda story zko wanazichukulia kama movie na wanapenda Swahili kinoma noum ume inspire watu kupenda kswahl congratulations LUCAS LUMBAS Endeleza lkn Nina ombi story za parts Zina maliza mda walau piga fupi fupi walau saa2&3 tukop1 🤝 wape I uncle Jay nae anajua sema we umepitiliza👏...
@@kaveresylvia9521 aahse is so fantastic jamaa anaadisia uwalisia fulan hv nawe unapata message kama n mvulana saut tofaut kama Dem hvhvo kama mzee hvhvo kama mtoto yn vle vle dadeq jamaa anajuaa
Sehemu iliyonivutia ni pale jamaa Mturuki baada ya zengwe kubwa alivyoamua kumsamehe mtarajiwa wake katika eneo lisilotarajiwa lililopelekea kurudisha tiketi
Moto sana❤❤😊😊😊
Goood jb

Umempenda Lucas 😂😂😂
@@kaveresylvia9521 aahse is so fantastic jamaa anaadisia uwalisia fulan hv nawe unapata message kama n mvulana saut tofaut kama Dem hvhvo kama mzee hvhvo kama mtoto yn vle vle dadeq jamaa anajuaa
Asnte kwa simulizi nzuri mm nmeipenda sana pia nimejifunza ktu
Napenda sana simulizi zake
Waaoow emmanuel nitakusikiza ngoja nimalize kazi za bosi kisha niupate mfa maaluum ulio tulia nikusikize
Karia❤❤❤ jina nzuri
Lumbas uyoooo
❤❤❤ hay
Mashallah nimeipenda sana simulizi hii siku izii hata stress sina na shinda UA-cam kusikiza simulizi mix❤❤❤❤
Lucas Lumbasi unaweza tena unaweza tenaaaa……..unasikilizwa Huku🇺🇸🇺🇸
Thanks mr lukas kwasimuizi nzuri nayenye mafunzo amkweli usimdharau mtu mana hakuna ajueaye kesho
Ahsante ndugu lukas
Kiukweli nmejifunza sana kupitia hihi simulizi
Napenda San kuskia Stori Huwa najifunza vitu vingi asant san luckax❤❤
Asante kwa simulizi nzuri from UK
Asente Sana Dada love husitarau mtu hujui kisho yake mungu hanajuiwa kisho yake husi jione Bora kulikuwa mingine. Kaa na watu vizuri thanks simulizi
🥰🥰🥰🥰🥰
Usimzarau mtu usiye mjua asante kaka lucas lumbasi❤❤❤🙏🙏🙏
Woow so amazing 🇸🇸🇸🇸
Wekaka nakupendaga sanatu
Mwenye alinikosha ni mirake
Nyie nyie ❤
Asante sana kwa simulizi zuri❤🎉
🇦🇪🙌 simulizi tamuuuu
Simulizi nzuriii 🥰🥰🥰
Ninejifunza usidarau usiyee mjua kwakwel❤❤
Afadhali wawe wengi tufurahie
Nimesikiliza hii simulizi nikiwa UAE Dubai nice ❤❤❤
Manbo
Waooo nice story thank you Mr Lucas &Mrs Babie Love
🥰🥰🥰🥰
Nimeipenda hapo lvia alivyosimamia msimamo wake
Nzuri sana ila hapo mwisho mmemsahau Bakari kwani nae alikuwa kwenye hii movie
Duuh huyu Melak kanipa pressure mwenzenu😂 simulizi nzuri balaa
😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉❤❤❤ Nice story Lucas
Wow😍
Wooow that's amazing story for really 🥰🥰🥰but unatuweka sana bila kutupa simulizi😢jmn tunaomba uwe unatupa simulizi kilasiku😂😂😂
Tam sana ❤❤
❤❤❤❤
Pamoja sana ❤❤
Pendo.amenifurahisha.kwa.sababu.amekuwa.namsimamo.❤❤
Nimekuwa wa saba jamani like zangu zinikute 🇧🇮
Tutumie Salam basi hongera kuwa 7
@@jennytugara9470 Asante jenny
@@jennytugara9470 ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
asante kwa simurizi zako lukas lumbas yn sauti yk tuu nikama naangaria movie
What amazing voice
Nice voice from lucas 😅😅😅😅😅😅
Lucas mutup sehemu yapili ya LOVE
Hapa leo umetuweza lumbasi heheeeee
Jamani sehemu ya pili ya This love
Sijachelewa sanaaaa😚😚
Bebe love❤apewe mauwa yake
Ndiyo ndiyoooo🥰🥰🥰
@@marrygasirigwa9309 😍😍
Sehemu iliyonivutia ni pale jamaa Mturuki baada ya zengwe kubwa alivyoamua kumsamehe mtarajiwa wake katika eneo lisilotarajiwa lililopelekea kurudisha tiketi
Hao watu weupe hawapend sana kusalitiwa ukikosea tu huwa hawalud nyuma
Nyie wanaume wabaya
Nice story ❤❤
❤❤❤❤❤❤
Sehemu niliyoipenda msimamo wake livia na kabla hujafa hujaumbika
Asante 💞💞
Number tatu jmn leo mecome mpema😍😍
Some people though unambembezaje mtoto wa wenyewe aje 😂😂😂 it can never be me nimekuwa gaidi hata tone la chozi ngoooo
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Usiombe kubarikiwa wa kwanza kwani siku wa mwisho baraka ikimfikiya huenda ikawa kumbwa kuliko yako
Jescah binti wa kimasai iliishia wapi tunaomba mwendelezo
❤❤❤❤
Waah.tuna injoi.tuu❤❤
1❤🎉
🥰🥰🥰🥰🥰❤❤❤❤👍👍
🙏🙏🙏🙏💗💗💗💗
Mh iyo kali
What amazing voice ,,🤗🤗🤗🤗
🥰🥰🥰🥰😝😍😘
family ya oscar wamejifunza wote😊
Hata esta alikua kijakazi lakini alibuka kuwa malikia na mke wa mfalme
❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Nice nice
Jamani tutasahau Love part 2 tuleteeñi
❤❤🇦🇪🇦🇪👌
💞🙏💞
Shida tu ulisahau bakari na shoga wako rose ujatuambia kama uliwai kuwaona
❤❤❤😊😢😮
Nice story❤
Pamoja sana❤❤
❤❤❤
❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉