MNYIKA AFUNGUKA KIPIGO CHA POLISI/"NILIPIGA KELELE YA KUNIUWA"/"NILIPIGWA RUNGU KWENYE GOTI"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024
  • Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Mnyika akielezea kilichomkuta jijini Mbeya dhidi ya jeshi la Polisi, wakati viongozi hao walipofika jijini humo kwa ajili ya kongamano la siku ya vijana Duniani lililopangwa kufanyika tarehe 12 Agosti 2024. kabla ya jeshi la Polisi kuzuia.
    🔘JE, NA WEWE UNA HABARI?
    🔘WASILIANA NA MwanaHALISI TV (+255 767 400402),
    🔘WhatsApp (+255 692 318213)
    🔘Email: mwanahalisitvnews@gmail.com
    🔘KWA HABARI ZA KILA SIKU: mwanahalisionli...

КОМЕНТАРІ • 40

  • @emmanuelymganga5737
    @emmanuelymganga5737 21 день тому

    poleeh sana mkuu

  • @user-mf2ll7nz5g
    @user-mf2ll7nz5g 27 днів тому +1

    Mnadharau Jeshi letu

  • @MussaHassani-q8b
    @MussaHassani-q8b 20 днів тому

    Sf sana mnazinguwa

  • @donantbenatus7104
    @donantbenatus7104 26 днів тому

    Polen xna makamanda! Malipo n hapa hapa

  • @vitusjackson1354
    @vitusjackson1354 21 день тому

    Wanaofurahia wenzao wakipigwa poleni sababu maumivu anayajua aliyeumia

  • @SKY-fk3fz
    @SKY-fk3fz 2 дні тому

    Au kina kabudi maana wenye siasa za kizamani vizee

  • @user-sp2pp9yl8g
    @user-sp2pp9yl8g 28 днів тому +2

    UKIKAIDI LAZMA UPIGWE

    • @FikiriniMwaluko
      @FikiriniMwaluko 28 днів тому

      Fara yatakuja kuwakuta 2 kama sio leo kesho

  • @jeffhard5773
    @jeffhard5773 22 дні тому

    Swali langu kati ya nnyie mnao jiita chadema na hao ccm wanao jiita chama Twawala sijui tawala ni nani MAJAMBAZI Mbaka HAPO

  • @HajiKassimu-ww5oz
    @HajiKassimu-ww5oz 28 днів тому +1

    Upigwe buti za police leo uonge hivyo ukiwa mzima wa apya

  • @user-sp2pp9yl8g
    @user-sp2pp9yl8g 27 днів тому +1

    Wewe sio kiogozi Umeapishwa nanani?

  • @user-lr6qx9df4z
    @user-lr6qx9df4z 27 днів тому

    Huyu anasema kapigwa sana lakini naona hana jeraha la aino yyte kipigo gani ulichopigwa mbona huna jeraha la aina yyte hebu tuoneshe japo kijeraha kidogo tu sehemu uliyo pigwa hebu wacha usanii uwo kuongopea watu mitandaoni sasa umeumia wapi mbona upo sawa tu wacha usanii uwo

  • @user-lr6qx9df4z
    @user-lr6qx9df4z 27 днів тому

    Wanna siasa wa Tanzania wengi ni kama wasanii hivi kweli uchazee kichapo haswa na polisi kama unavyosema kweli uwe kama hivyo kweli huna hata alama yyte kama umechezea kichapo kweli mbona uko poa tu huna manundu na umesema umechezea kichapo unaongea kama hivi kweli wacheni usanii huo

  • @user-yt4si2th5k
    @user-yt4si2th5k 27 днів тому

    Tutii shria bila shuruti haya yasingetokea

  • @zacharianjanga
    @zacharianjanga 28 днів тому +1

    wapenda sifa ya kupambana na police

  • @user-sp2pp9yl8g
    @user-sp2pp9yl8g 28 днів тому +1

    MNAPOMTUKANA RAIS MNAFIKIRI MNAJIONA MABINGWA

  • @user-lr6qx9df4z
    @user-lr6qx9df4z 27 днів тому

    Hizo ndio siasa za kitanzania ni za kisanii tu

  • @atupegemwakahesya
    @atupegemwakahesya 28 днів тому

    Adhabu kubwa sana iwarudie na wao. Na wao waoje machingu kama binadamu.

  • @chrysanthushakaunga6560
    @chrysanthushakaunga6560 21 день тому

    Mwisho wa ubaya ni aibu malipo wanayaacha kwa vizazi vyao kalma italipa tu kama siyo kwako kwa mtoto wako au mjukuu au vitukuu

  • @mudhihirugara8845
    @mudhihirugara8845 27 днів тому

    Acha wawachape

  • @AbdilahiMwahu
    @AbdilahiMwahu 27 днів тому

    maelezo na picha vinatofautiana

  • @SuolFat
    @SuolFat 23 дні тому

    Huyu jamaa ni muongo sana

  • @bakaribakari167
    @bakaribakari167 27 днів тому

    Hujapigwa bro

  • @paulojohn5504
    @paulojohn5504 22 дні тому

    wewe achauongo kipigo cha polisi unakijua au unatania

  • @SelemanAlly-lz4sb
    @SelemanAlly-lz4sb 27 днів тому

    Wamekupigaa ulikua unakwepa Sana hukamatiki

  • @SelemanAlly-lz4sb
    @SelemanAlly-lz4sb 27 днів тому

    Huko nipo mlipo mchakachua msigwa saaf polis

  • @user-mf2ll7nz5g
    @user-mf2ll7nz5g 27 днів тому

    Uongo tu

  • @emmanueljohn7253
    @emmanueljohn7253 27 днів тому

    Bongo imejaa comedians yaani umepigwa sana na wala huna kijeraha na unarapu tu hapo

    • @ErickyKatunzi-gx3mi
      @ErickyKatunzi-gx3mi 27 днів тому

      Mzee unaviju vidono, karibu Kigoma, unaweza kupigwa na kuchomwa moto, kesho ukaamka mpya, bila hata uvimbe. Dawa kutoka Kongo kisu, panga jiwe moto, haviingii. Mzee muulize ntu wa Kigoma atajwa bua.

  • @user-sp2pp9yl8g
    @user-sp2pp9yl8g 28 днів тому

    NDIO MTAJUA HAMJUI MTAKOMA

  • @machintangachibwena5922
    @machintangachibwena5922 28 днів тому

    Waonge nyie hamja pigwa wala nini umepigwa hivyo hata kovu huna msenge wewe

  • @user-lr6qx9df4z
    @user-lr6qx9df4z 27 днів тому

    Hata sura inapendezaiyo kweli uchazee kichapo haswa wacha usanii uwo

  • @philipongenzatv
    @philipongenzatv 28 днів тому

    Unyanyasaji

  • @user-sp2pp9yl8g
    @user-sp2pp9yl8g 28 днів тому +1

    UTII BILA SHURUTI UNAPOTAKIWA KITUONI TIII AMRI HATA CUF WALIPIGWA NAKUPELEKWA UKONGA LIPUMBA AKAVUNJWA MKONO