The best song in 2024. I will stay put according to this song. You have made my fasting day worth today 🎉. Thank you❤ litter kitetechoir God bless you.
Omba kila saa na kweli Mungu anasikia maombi ya wateule wake. A song with a message of hope and peace to our hearts. Barikiwa wana kwaya. Watching you from NC USA 🇺🇸

The song is so touching . Kazi nzuri. OMBA....
BARIKIWA KITETE MAJIRANI ZANGU
Mbarikiwe kwa kutupa moyo ujumbe wenu umefika mbarikiwe sanaaaaaaaa!
Mungu awabariki
Barikiwa sana
amina kubwa sana kwa wimbo wenu mnatukumbusha kuomba
mnanikumbusha mbali sana kitete zaman mamaangu wakat akinikimbuaha kuomba yusuph kishegena from tbr taminel stand
Mmetoa ujumbe sahihi sana
kiukweel huu wimbo unanikumbusha mbal sana
Be blessed!
Omba,maombi pekee ndiyo silaha tulionayo
maombi ndio silaha yet. tuombe tusife moyo
Mungu awabariki