BRAZILIAN CARNIVAL: Tamasha lenye MATENDO ya kumdhihaki MUNGU, kweli wameadhibiwa? Gharika yashuka

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 бер 2023
  • Unaipenda kazi yetu na ungependa kutuunga mkono? Sasa unaweza kutuchangia kiasi chochote kuanzia shilingi 500. Fuata link hii hiveticket.web.app/buy/6Ew6mE...
    Tunashukuru kwa kuwa Mwana SnS unayejali

КОМЕНТАРІ • 157

  • @ummymuya.2060
    @ummymuya.2060 Рік тому +9

    Sijui muaandaaji wa hii simulizi imani yako ni ipi ila kwa waumini hilo linawezekana kabisa. Kuna nyakati M/Mungu huwa anaturudi kwa matendo yetu mabaya. Kinachotakiwa ni kujifunza sio kusema eti ni upotoshaji. Duniani tunajisahau na tumezidi kufanya maovu yanayomkasirisha muumba, anatuadhibu kwa kila hali ila tumekuwa vipofu. Allah atupe tafakuri njema. Ameen.

  • @louangesid
    @louangesid Рік тому +4

    Kuna siku inakuja na isiojulikana Hasira za Mungu zitazidi na ataiharibu Dunia baada y’a bibi harusi wake kuchukuliwa . Dunia ita agamia. Jitahidi we bibi harusi🙏🏿🙏🏿

  • @geofreydonald3176
    @geofreydonald3176 Рік тому +22

    Great story 🙌🏼🙌🏼 keep shining Bundala… Mimi naomba unishike mkono nifanye kipindi cha michezo plz 🙏🏽🙏🏽🙏🏽

  • @hadjasaidmwinjuma418
    @hadjasaidmwinjuma418 Рік тому +1

    Mungu ni mmoja nauwezo wake nimkubwa...

  • @user-qs7lj7kj1k
    @user-qs7lj7kj1k Рік тому +9

    Subhanallah mungu tusahe sisi waja wako hatujui tunapo erekea 😭

  • @derickrozy3213
    @derickrozy3213 Рік тому +7

    SNS you guys are very active. Hongereni sana🔥

  • @poployalty9403
    @poployalty9403 Рік тому +4

    Frank Ranchimen anajitahidi Sana'a pongezi kwake kwa kazi nzuri #bundara umetisha kwa iyo sauti ....#SnS pongezi kwenu

  • @eugenejr.8844
    @eugenejr.8844 Рік тому +6

    Huku ndiko kunafanya nafuatilia SNS. 360° Great insights Sky.

  • @danielaugustino9617
    @danielaugustino9617 Рік тому +2

    Sns you’re the best , endeleeni Kutoa taarifa Za ukweli na Za kina

  • @ABUUZULLURAINFAHDYUSSUF
    @ABUUZULLURAINFAHDYUSSUF Рік тому +6

    والله المستعان adhabu haiko mbali kwa madhwalimu

  • @daprince7545
    @daprince7545 Рік тому

    Asanteni sana SNS , niliomba makala hii katika comment yangu moja. Big up kutimiza uzalendo wenu.

  • @yamusahmasoud9107
    @yamusahmasoud9107 Рік тому +4

    Sky ww ni teacher asiewahi kutokea Dunia hiiapa👏👏👏

  • @amuridox1590
    @amuridox1590 Рік тому +7

    Courage vraiment famille SNS FAMILY Sky

  • @sharifabahar9905
    @sharifabahar9905 Рік тому +12

    🙏 Allah tupe mwisho mwema mbona huu atari sana

  • @bodyprymond3984
    @bodyprymond3984 Рік тому +3

    Kakahii ikowazikabisa hawawatu wanamdhihaki mungu kiakilituu yaubinadam ukiangaliahili tamasha wamedhiaki diniyakikristu achawalipie kwailo

  • @hidayakisensi2747
    @hidayakisensi2747 Рік тому +3

    Niliisubir sana hii Kaka bundara hongera sana kwa Kaz nzur😍🤝

  • @chany9950
    @chany9950 Рік тому +7

    Imana ikumpere umugisha 🙏🏾🙏🏾 Sky love you soooo much from France 😘❤️

  • @paulcalistus7172
    @paulcalistus7172 Рік тому +30

    Sio upotoshaji kwasababu São Paulo nao walikuwa wanajiandaa kumdhihaki Mungu tena / Mungu amewaonesha tu nini anaweza kufanya

    • @florabuzoya3948
      @florabuzoya3948 Рік тому +2

      Very true

    • @herikaniugu
      @herikaniugu Рік тому

      Mafuriko hayahusian na iyo Carnival. Mbona juzi Israel wametaka kupinga mahubiri ya ukristo hawajapata majanga?

    • @markangel1588
      @markangel1588 Рік тому

      ​@@herikaniugu Kwa hivyo walipata kufanya tamasha la kumthihaki Mungu

    • @allahisone6386
      @allahisone6386 Рік тому +1

      ​@@markangel1588 swali zuuri

    • @isayamzaliwa9253
      @isayamzaliwa9253 Рік тому

      Ujinga uo

  • @agreymbwilo5874
    @agreymbwilo5874 Рік тому

    Kwa ufahamu wangu (Huenda sio mkubwa) Mungu alishaahidi kutoiteketeza tena Dunia baada ya Gharika la Nuhu. Hivyo naamini hili ghalika halihusiani na Carnival. Japo hua sisaport dhihaka dhidi ya Imani nyingine.
    Pili naamini utendaji kazi wa Mungu haupo katika kisasi au majibu ya papo kwa hapo. Kuna sehemu nyingi kwasasa yanafanyika maovu na madhambi mengi Na wanaoyafanya hatuwaoni wakidhurika kivyovyote.
    Na Kuna sehem Majanga yanatokea na hakuna maovu kiasi cha kusema wamestahili adhabu.
    So tuwaombee wanaBrasil Wapite salama kwenye hiki kipindi kigumu kwao.

  • @businessaccount1904
    @businessaccount1904 Рік тому +1

    thank you my brother sky nilikuwa na hisubiri sana hii

  • @eben_ezer8853
    @eben_ezer8853 Рік тому +17

    Was waiting for this here at SNS, now I can listen

  • @tabasamutv24
    @tabasamutv24 Рік тому +1

    Mm ni mfatiliqje mzuri sana wa channel yako ila kama unani disappoint, kaseme ufunuo wa yohana utaelewa kwanini

  • @foodbae124
    @foodbae124 Рік тому +3

    Finally nilikua naisubiri hii habari hapa sns

  • @alantonio855
    @alantonio855 Рік тому +1

    Ahsante sana Frank Lachman na Mr Bundala

  • @RandB_Channel
    @RandB_Channel Рік тому +5

    Wame azibiwa sawasawa kabisa hiyo mvuwa haikukuwa ya mchezo

  • @barrynzeyimana6270
    @barrynzeyimana6270 Рік тому +1

    Nadhani mnaongelea mitazamo ya watu wenye matokeo ya imani fulani. Mungu hakasiliki kwakua wewe umefanya hivi au vile. Mnachukua mungu kama kiumbe

  • @jjmedia484
    @jjmedia484 Рік тому +22

    Dalili za mwsho wa dunia 😭😭😭

  • @yasintamichael-bg9fk
    @yasintamichael-bg9fk Рік тому +2

    Tunajua wabrazil wanapenda starehe lakin wangefanya kiutofauti sio kwa kumpinga mungu 😢😢😢

  • @drimaxpro8948
    @drimaxpro8948 Рік тому +2

    Sky 🙌 u are the best

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 Рік тому

    Thank you Bro sky

  • @hussenlubibi6682
    @hussenlubibi6682 Рік тому +8

    jiulizeni kitu kimoja Wana sns.... kwanini hii habari haijawa kubwa? ni kweli camera hazijatazama? itoshe kusema ulimwengu huu unaagenda maalum; na ndio maana kutwa story ni ushoga tu na ushenzi, MUNGU atusimamie Dunia ndo imefika ukingoni tufanyeni sana ibada Jamani maisha mafupi sana....
    Leo ukiambiwa hadithia maisha yako hata uliwa hodari utaelezea Kwa dakika 3 na hapo wewe ni fasaha.

  • @samsonjfundy
    @samsonjfundy Рік тому +1

    Hapa sasa nimepata uhakika kama haya mambo ni ya ukweli,Mungu tujalie mwisho mwema

  • @zenassylvester125
    @zenassylvester125 Рік тому

    Tukiwaambia Yesu ni Mungu watu hawataki sasa wamemdhihaki kawaonyesha nguvu zake na shetani waliyedhani ana nguvu kashindwa kutia mguu mbele ya gadhabu ya Yesu kristo

  • @chunanachu2529
    @chunanachu2529 Рік тому +1

    Subhanallah

  • @nzeyimanamelanie2848
    @nzeyimanamelanie2848 Рік тому +3

  • @deborahrehema4066
    @deborahrehema4066 Рік тому +2

    Jamani Mungu aliwapa warning waka puuzia na walianza kumdhihaki na nvua ilianza small small wanawake kucheza it was just demonic event ile ya blasphemy against Jesus Christ was so painful, hasira ita waka very soon we are in end time ⏲️

  • @highthemetv7857
    @highthemetv7857 Рік тому +9

    Dalili za mwanzo wa dunia 🥺🙂

  • @amanijampion3045
    @amanijampion3045 Рік тому +2

    Tumepigwa na msimuliaji. Ko tetemeko la huko uturuki nako kulikuwa na carnival?

  • @NR-ll4sr
    @NR-ll4sr Рік тому +1

    👏

  • @IddyMustapha-tj4du
    @IddyMustapha-tj4du 9 місяців тому

    Umejarbu kubalans stor kadr ya uwezo wako umefanya Taft Kwa kadr ya uwezo wako ila Kuna ambao watasema huna Iman lakin mim naona upo kazn

  • @monicacyprian9137
    @monicacyprian9137 Рік тому

    Nilikua naisubr hii mno asante sky

  • @frankmutyaba2122
    @frankmutyaba2122 Рік тому +5

    Mungu tusamehe wanaadamu tumekiuka maadili yako na kutenda dhambi bila kuogopa 😢

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly Рік тому

    😢😢😢😢😢😢

  • @kelvinmhanga3052
    @kelvinmhanga3052 Рік тому +1

    duuuu mhh hii ni balaa

  • @emilianapaskal7319
    @emilianapaskal7319 Рік тому +3

    Nilikuwa nasubiri kutoka kwako, nashukuru

  • @wivinemwamini9110
    @wivinemwamini9110 Рік тому +2

    Watuwajuwe mungu joametu umba❤😂

  • @westside5542
    @westside5542 Рік тому +1

    Rio Carnaval is another form of pagan festival in modern time.

  • @sund2553
    @sund2553 Рік тому +3

    Bado Halloween liwakute jambo

  • @florabuzoya3948
    @florabuzoya3948 Рік тому +1

    Dalili za Mwisho hizi wanadamu wamejisahau sana acha ghalika liwapate tu maana ndio siku hiyohiyo Tamasha lilikuwa lifanyike

  • @onanarosse9657
    @onanarosse9657 Рік тому +2

    Sikuwa najua jambo hili kiundani zaidi ya kuona tu clip kwenye mitandao asante sana SNS hakika nyie ni bora.

  • @BigZhumbe
    @BigZhumbe Рік тому

    Cha ajabu ni kwamba Mambo ya Mungu na mambo ya shetani yote yanafanywa ni watu, wanaofurahi kudhihaki ni watu, wanaochukia dhihaka ni watu. Mungu na Shetani wametulia zao wanainjoi movie inayoendelea 😅

  • @michelinemapendo6652
    @michelinemapendo6652 Рік тому +3

    Nisikiza mwisho Mungu utupemwisho mwema

  • @amirikoshuma6022
    @amirikoshuma6022 Рік тому

    Sky my big brodher kaka naomba utuletee simulizi ya kutekwa kwa ndege ya air tanzania mwaka 1980 nakuomba kaka ifanye iyo stori

  • @janethegidius855
    @janethegidius855 Рік тому +7

    Mungu wetu huwa hadhihakiwi soma historia ya watu waliomthihaki mungu walikufa tuuuu

    • @johnthomonline297
      @johnthomonline297 Рік тому

      Mungu alihukumu dhambi ktk Kristo Yesu...hawez piga watu tena...

    • @kassimrajabu7805
      @kassimrajabu7805 Рік тому

      @@johnthomonline297 acha kujidanganya ww

    • @johnthomonline297
      @johnthomonline297 Рік тому +1

      @@kassimrajabu7805 Bila shaka wewe ni muslim na mimi ni mkristo kabla hatujafika mbali tayari tunao utafauti mkubwa wa kiimani..kuna jinsi unavyoamini Mungu ni tofauti na mimi...

    • @kassimrajabu7805
      @kassimrajabu7805 Рік тому

      @@johnthomonline297 kwahiyo ww unatenda dhambi ukiamini dhambi zako anazo Yesu au sio?!

    • @frankymsoffe9524
      @frankymsoffe9524 Рік тому

      @@johnthomonline297 kakaa

  • @reginasawe3356
    @reginasawe3356 Рік тому +1

    Karma is real

  • @idrisadalluc4498
    @idrisadalluc4498 Рік тому

    Yani nyinyi mungu munamfanyia zihaka eeh heeeh aya

  • @edsondc
    @edsondc Рік тому +2

    😓😓😓

  • @namnyakiabell3818
    @namnyakiabell3818 Рік тому

    SNS 🔥🔥🔥🥰🥰❤️

  • @MrishoRajabu-rx8zp
    @MrishoRajabu-rx8zp Рік тому +1

    heshima kwako jombaaa,,,,

  • @pendo956
    @pendo956 Рік тому +1

    walipata cha moto

  • @damariszuckschwert9489
    @damariszuckschwert9489 Рік тому

    What would Jesus say?

  • @Farajahelene23031
    @Farajahelene23031 Рік тому +1

    papa sns

  • @mishymorgani5828
    @mishymorgani5828 Рік тому

    Mungu anaupendo nakula mtu na nirafiki pia kwa kilamtu lakini hasira yake, eeeeeeeeh unaweza kusema Nani kaniloga kumbe ni wewe mwenyewe na matendo yako blazilian wamekipata chamoto yani mtu ajitoe kwakunia nzima, alafu uje umletee tharau, this is bad, very bad Acha Mungu aitwe Mungu katika hili

  • @Nyaruking1
    @Nyaruking1 Рік тому

    Sky 🌌 How did you know if not God 😢 …?

  • @trillhappybeautypoint9874
    @trillhappybeautypoint9874 Рік тому

    Jamaniiii Mungu anatisha walitoa wapi huu ujasiri?😢

  • @chuseboy
    @chuseboy Рік тому +1

    End of the world 😢

  • @veraisaria
    @veraisaria Рік тому +1

    Bro sky zunguka huko na kule kile walichokifanya ni hasira za Mungu japo hakuna ushahidi mambo ya Mungu au shetani hayana ushahidi lakini hao wapo

    • @westside5542
      @westside5542 Рік тому

      Ushahidi upo mku na umejaa tele fwatilia

  • @WilliamNamende-pc9ku
    @WilliamNamende-pc9ku Рік тому

    We muandishi kwahiyo unawatetea?mungu hazihakisi

  • @markangel1588
    @markangel1588 Рік тому

    Ufu 13:6 SUV
    Akafunua kinywa chake amtukane Mungu, na kulitukana jina lake, na maskani yake, nao wakaao mbinguni.

  • @Farajahelene23031
    @Farajahelene23031 Рік тому +1

    thank god the devil is lier karma was good for theme

  • @calsonjr-307jouner4
    @calsonjr-307jouner4 Рік тому +1

    Hawa jamaa watengwe 😅

  • @jonasjme
    @jonasjme Рік тому

    Unachokikwepa hapo ni yesu alidhiakiwa vibaya hapo umemzungamzia yesu na shetani, unapingana na kilichotokea ilikuwa ni dhiaka kubwa ausemi ivyo kwasababu ametajwa yesu? Akuna Jambo lolote unaweza kusema kuwa tamasha ilo ilikuwa ni dhiaka,lakini kaeni mkielewa wamepigwa kwasababu Mungu anasema usijifanyie sanamu n.k....!! Ilo ni pigo Mungu kwasababu walipewa taarifa kabla ya tukio ilo.

  • @Odogwu9667
    @Odogwu9667 Рік тому +2

    Ni Kweli Wamepigwa We Ulitaka Uhakika Gani Acha Walipe

    • @ummymuya.2060
      @ummymuya.2060 Рік тому

      Alitaka ushuke wahayi ndio aone kweli ni adhabu kw matendo yao! Ni sehemu ya kutojielewa kw kweli, inasikitisha... Eti upotoshaji!😏

    • @angelampema
      @angelampema Рік тому +1

      Huyu ni atakuwa ni Devil worshiper

  • @pastoraile7195
    @pastoraile7195 Рік тому +5

    Kaka fanya Kazi sana kuwa kama Ebuka from Nigeria end Dj sbu from South Africa please Fanya story kwa inchiii masikini utafatiliwa sana Mfano Burundi 🇧🇮 marawi rwanda 🇷🇼

    • @marievalence92
      @marievalence92 Рік тому +2

      Wewe, nawe Rwanda 🇷🇼 Rwandan wanahuwa watu kila siku congo sasa unataka wasemwe kwa lipi? Ebu tuache bwana,Burundi,Rwanda,na Uganda awana umuhimu kabisa 🤮

    • @rivermtus
      @rivermtus Рік тому +2

      Kwanini auja sema Tanzania Kwani Tanzania ni inchii tajiri ?

    • @janethegidius855
      @janethegidius855 Рік тому +2

      @@marievalence92 unaongea mambo usiyeyajua hata hujui politics unaongea ongea tu

    • @jojo-ne3oy
      @jojo-ne3oy Рік тому +1

      ​@@marievalence92 we Mbuzi nini ukome kusema kama Burundi na Rwanda hawana umuhimu we kikojozi umjo suuuuuuuuuu Makamasi yanjano wewe na ukome kabixa ukomazike

    • @marievalence92
      @marievalence92 Рік тому +1

      @@jojo-ne3oy. Inakuhuzi eeeeh yote hao niyenu mnakula sana damu ya wa congo siku moja itawatoka puani🖕

  • @angelamjumba8792
    @angelamjumba8792 Рік тому +1

    Nimependa msimulizi alivyopangilia makala yake

  • @luisojr3480
    @luisojr3480 Рік тому

    Bro sky hivi na lile tamasha la Jamaica Carnival linamaana gani

  • @AshaYusuph-xd1yd
    @AshaYusuph-xd1yd Рік тому

    Jmn na Indonesia Bali, wanafanya kama hvo 😢

  • @abdulwahidsuleiman
    @abdulwahidsuleiman Рік тому +1

    Napenda habar zko but kw hili sky umekosea unaeleza zaid nadharia za kufikirika kuliko uhalisia wa macho kilichoona
    Unaona kabisa kilichofanyw ni utukuzo wa shetan na ni dhambi kubw ila bado unalificha kw kisingizio cha utamadun bro hapa umekosea

  • @salvinahassan8778
    @salvinahassan8778 Рік тому

    Wewe mtangazaji hauna mda mrefu

  • @jeremiapeter683
    @jeremiapeter683 Рік тому +3

    Pigaaaa haooooo..waasheratii..pigaaaa...😏😏.

  • @fredymushy9674
    @fredymushy9674 Рік тому +1

    Ilo ni onyo tu

  • @nick1o7bang17
    @nick1o7bang17 Рік тому +1

    Kwaiyo watu wanataka fidia ya nn badala watafute namna ya kufuta iyo tamasha wanataka fidia kwan wameongea na yesu akawambia wachkue fidia
    Kufuta iyo tamasha ndo inatakiwa sio kuwaza pesa tu

  • @raymondmacha3164
    @raymondmacha3164 Рік тому

    Hizi habarii niliziona mda mrefuu sn mtandaoni ila sasa nilikuwa naisubiriii sna apa Sns .. Yan nikuwa napata moto kinyaama vp mbn hamuipigiii daaa. Sas apa Saf ndo naamin ni kweli... . Ila na nyie mmechelewa San😔

  • @lucyraymond9724
    @lucyraymond9724 Рік тому

    Sio upotoshaji ndio MUNGU amewaadhibu kwa hilo tamasha ambalo walikuwa wanalianda

  • @luisojr3480
    @luisojr3480 Рік тому +1

    Tuliokua tunaisubir hapa sns tujuane

  • @togetherwecansolve
    @togetherwecansolve Рік тому +1

    So kama Jambo hilo ni udanganyifu ninyi kama Wana SNS mbona hamuja gusiya au kugusia swala LA sanamu Ile ya yesu kuunguwa kwa moto au radi za mbinguni na hilo jee?

    • @kingiryn8656
      @kingiryn8656 Рік тому

      Sky kaishiwa story hajaipangilia vizuri

  • @mussanchimani4839
    @mussanchimani4839 Рік тому +1

    😭😭😭😭

  • @lucyraymond9724
    @lucyraymond9724 Рік тому

    Acha kudanganya watu na wewe acha kumdhihaki MUNGU

  • @kiswahiliswahili9489
    @kiswahiliswahili9489 Рік тому

    Nilivyosikiliza tu nimejua we uko upande gani

  • @exaudgasper4439
    @exaudgasper4439 Рік тому

    wakristo na waislam wamekua waokota vijimambo yaani mafuriko na namajanga yaasili mbona kawaida juzi tuhapa tetemeko limeharibu turkey iran nakwingineko hapo mungu alimaanisha nini?

  • @selestinsongola2787
    @selestinsongola2787 Рік тому

    Watu wakiambiwa mwisho w dunia huo hawaamin

  • @wolinet1
    @wolinet1 Рік тому

    uhuru ukizidi watu hufanya vitu vya ajabu

  • @davidlaiser8174
    @davidlaiser8174 Рік тому +3

    Sasa nawe umejaribu kubalance story.
    Sio kwa Mungu.Mwenyenzi Mungu ameumba kila kitu kilichomo haitaji kubalance story.
    Tuseme Sala ya Yesu
    "Baba yetu uliye mbinguni,jina lako litukuzwe,ufalme wako uje,Ameeen na sala inaendelea.

  • @shubebunyesi542
    @shubebunyesi542 Рік тому +2

    Mbona apa Arusha yametokea mafuriko ya hatali na kusababisha maafa je wao nao wamemdhiaki Mungu ? Kuna nchi apa duniani zinafungisha ndoa za njisia moja mbona nchi zao ziko shwari mi nafikili ni maafa kama maafa mengine coz kuna sehemu kama uturuki , Indonesia majanga na baadhi ya maeneo yanatokea majanga wala hatujawai kusema kuwa dini imedhiakiwa

  • @tarickmpemba6007
    @tarickmpemba6007 Рік тому +1

    Kaka umejisahau sana tena sana kuiweka khabar hii tukio la mda mrefu mno walilipoti leo

    • @jamilfuad6847
      @jamilfuad6847 Рік тому +2

      Ww uko sawa kwli

    • @tarickmpemba6007
      @tarickmpemba6007 Рік тому +2

      @@jamilfuad6847 dada angu soma zaidi ya mara tatu utaelewa namaanisha kachelewa sana kuiweka hii khabar habar ni ya mda mrefu sana tukio lina wiki mbili toka limetokea

    • @ismailykazumal
      @ismailykazumal Рік тому

      @@tarickmpemba6007 Sasa wiki mbili ndo kachelewa? Habari silazima uiandae alafu ndo atuletee sisi uwezi kurusha habari ambazo siyo zaukweli

    • @tarickmpemba6007
      @tarickmpemba6007 Рік тому

      @@ismailykazumal kaka bas taarifa ya khabar isingesomwa kwa wakat yale matukio kama ww waona hivo

  • @zenassylvester125
    @zenassylvester125 Рік тому

    Ilo ni onyo tu ila hukumu Yao ipo

  • @GracieTyno
    @GracieTyno Рік тому +1

    Mungu hataniwi,stupid people.

  • @leecode6135
    @leecode6135 Рік тому +1

    Hii ni miezi ya mvua hapa são Paulo wala haina chochote kuhusu ushetani kkkkkkk

  • @piustombili9921
    @piustombili9921 Рік тому

    Imefika mahali kama content sijaipata SNS basi siielewi

  • @officialdana5114
    @officialdana5114 Рік тому +2

    Mwana sns unatupotoshaaa

    • @breymbasa3451
      @breymbasa3451 Рік тому

      Unapotoshwa vipi kama una cm kubwa ni bora kufanya research ingia mtandaoni ukikosa njoo ukoment so unakataa kiwaki taarifa zipo Tena karibia wiki 2 zimepita

    • @leahzuu6468
      @leahzuu6468 Рік тому

      Mpuuzi we

    • @afrieagle8314
      @afrieagle8314 Рік тому

      Khaaaaa hv hujui Kama hiki kitu n kwel😅