Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Mola amrehemu Walibora....Mlezi wangu Hassan Mola akujaalie siku zote.
Usimulizi mzuri.sauti za dhati kwa mhoji na mhojiwa. Kumbukizi ya Wandase huja kwa haja mno
Ahh..huyu alikuwa gwinji kweli...hapa Kenya tulimpotenza ngwinji..
Sauti tanjika Mungu amurehemu
CHOZI LA MWANDISHI. Hassani 🙏
Namkumbuka Ken Walibora Shuleni kufafanua riwaya yake ya Kidagaa Kimemwozea.Mungu ailaze roho yake mahali pema.
Marehemu mtoto wa Mwalimu Allah amrehemu
Prof. Ken Walibora. Lala salama. Nakupeza Sana. Kila nikiskia sauti yako, machozi hunilengalenga
Hayati.
Ken my Man napenda stori ya otiii Kwa tumbo lisiloshiba
Sitonik alikuwa driver wetu wa bus mwaka 2006 - 2009
Kuondoka kwa Ken ni pazia kufungwa.Ndani ya nyoyo zetu,ameacha uyabisi na ufa usiozibika.
Mola amrehemu Walibora....Mlezi wangu Hassan Mola akujaalie siku zote.
Usimulizi mzuri.sauti za dhati kwa mhoji na mhojiwa. Kumbukizi ya Wandase huja kwa haja mno
Ahh..huyu alikuwa gwinji kweli...hapa Kenya tulimpotenza ngwinji..
Sauti tanjika Mungu amurehemu
CHOZI LA MWANDISHI. Hassani 🙏
Namkumbuka Ken Walibora Shuleni kufafanua riwaya yake ya Kidagaa Kimemwozea.
Mungu ailaze roho yake mahali pema.