Wewe wacha ujinga brow, mgukaa ,kangeta , alele, kiza bonu, lare yote hio kwa jumla huitwa miraa, kwa jina la kueleweka huitwa mairungi brow. Mboga ya mchicha, mkunde, sukuma week, carbage mnavu zote hizo kwa jina la jumla, huitwa mboga brow, pata kujifunza brow, swali nakuuliza kati ya kuku na jogoo yupi kazaa mwengine??? Ama wewe wapenda nyama ya kuku au ya jogoo???
Chanzo cha kijana kutumia pombe bangi na venginevyo n sababu ya mgokaa coz ukila mgokaa hulalli je utafanya nn kuoata usingizi inabdi utumie kilevi chengine so mgokaa watu wa mombasa wamekataa uzeni kwenu mbona mulazimishe kuuza kwa watu
Pengine mtume mohamed arudi au yesu,,ndio wataweza kugawanya pwani na Eastern. Kwani bila pwani kenya 🇰🇪 haija kamilika brow..pata kuelewa mikoa minane ikiùngana ndio inaitwa KENYA 🇰🇪 brow. Hapo ulipo upoh, nadhani umelewa, nini maana ya KENYA 🇰🇪 brow. GAMEOVER
Tanzania hakuna kutafuna miraa mbona watu wanaishi wacheni ujinga wenu mimi nimekula sana mira migokaa kusema kweli hakuna faida yeyote niliharibu pesa nyingi sana sana niliwacha miaka sita sasa lakini meno yangu yameharibika najutia sana kutafuna hayo majani
Wachana nauongo mreaa na Muguka in toxic substance hakuna cha balance wala cha mama ake balance hii iko na effect .kweli unaweza kula Muguka or Miraa ushibe
Vijana wa mombasa shida yao kubwa, inayo wasumbua, ni kuchanganya vileo. Utapata vijana, anatumia mugukha ana vuta bangi anakula ugoro, anavuta brown sugar baadae anakwenda kuzumua na pombe ,kichwa ni hichohicho kimoja..kwanini mtu akili isiruke??? Mbona huko Embu vijana sikama huko mombasa???
Acha wachanganye vieo vya pwani hivyo vya embu na meru pelekeni county zengine mbona mnalazima ya pwani why are you focing issues 😂😂😂 Kwani pwani ndio kuna pesa pekeake kwengine ni makaratasi?
This meeting of the president and his remarks must be presented as contempt of court. How did he discuss an issue that was in court. He has done it to influence the courts to rule in one sides favour
Mbona unaleta watu wa embu while wawezi sema ukweli ....hapa eldoret vijana wameingilia hiyo matawi ata hakuna kazi wanafanya wanakaa wenda wazimu 😢😢then sijui hawa wanasema nn woria wasomalia hii vitu imewafanya hadi wameoza meno inaisha kwa mdomo na hawakai kama wako sawa then hawa wanasema nn ????
Shida za mombasa ziachiwe watu wa mombasa they are the ones who knows the effects of the drug.GO to rehabilitation centers and see for yourselves the effects
WAPIGANIE KULETA KAZI KWA JAMII KWANZA... UKWELI NI KWAMBA MGOKAA UMEHARIBU BIASHARA ZENGINE..... IKIWEMO UNGA. HII NI MOJAWAPO YA KUTAKA VIJANA WARUDI KUTUMIA UNGA KWA WINGI, TAFAUTI NA SASA... VIJANA WAMETOKA KWA UNGA... NA KUTUMIA METHODINE NA MGOKAA... ISITOSHE HAPA WALE WALOATHIRIWA KUTOFANYA BIASHARA NA MALI YA WALE ILIOSHIKWA INAFAA WALIPWE HAKI ZAO. DAWA ZA KULEVYA ZIPO NA ZINAJULIKANA, WAWACHE KUFANYA WANANCHI WAJINGA AU HAWAJUI KINACHO ENDELEA.
Even their speeches leaves a lot of questions.
Mulikaa na wazir wakilimo ama wazir wafya
mwashirima hao watu hawa wezi kuku elezea kitu cha maana,hao ni wafanya biashara tu
Thank you Bro ukweli ndio huo.
Wanafaa kuwa wote hao wakichonga ndio waonyeshe good example kwa wachongaji ambao wanawatetea
they are lying straight on our faces ….i lost 3 tooth due to miraa and muguka … had to quit .....am now better off without it
Mugoka na miraa si kitu sawa...acha kupoteza watu
Wewe wacha ujinga brow, mgukaa ,kangeta , alele, kiza bonu, lare yote hio kwa jumla huitwa miraa, kwa jina la kueleweka huitwa mairungi brow. Mboga ya mchicha, mkunde, sukuma week, carbage mnavu zote hizo kwa jina la jumla, huitwa mboga brow, pata kujifunza brow, swali nakuuliza kati ya kuku na jogoo yupi kazaa mwengine??? Ama wewe wapenda nyama ya kuku au ya jogoo???
Miraa na mugoka nivitu tofauti sana..
Kwan n lazima muuze mombasa?si mutafute soko kwengine.
Yes freedom of doing business
@@kimathi7118 not where the business is not wanted
@@kinara5365 the business is actually wanted, the demand is there,
@@kimathi7118 the demand for bhang, cocaine and heroine is there. Is that business actually wanted? What kind of reasoning are trying to apply here?
Nataka kuuza bangi bara Ruto asinisumbue wala asiniingililie maamuzi yngu mwambieni nataka jbu au mnirushie No. Yale nmkol
ukiachilia miraa ju ni business, then fungulieni madawa yote ya kulevwa. eti Wabara ndio wengi Mombasa uyu mama ata ako emotional
Kwani ni sheria gani ilitumika ku piga pombe marafuku au kufunga ma bar kirinyaga?
It's OK miraa is good eat it with those who want it don't force others
Chanzo cha kijana kutumia pombe bangi na venginevyo n sababu ya mgokaa coz ukila mgokaa hulalli je utafanya nn kuoata usingizi inabdi utumie kilevi chengine so mgokaa watu wa mombasa wamekataa uzeni kwenu mbona mulazimishe kuuza kwa watu
Acheni kulazimisha tanzania hakuna miraa na mgokaa na maisha yanaenda 😢😢
Naigawanywe pwani na kenya yaishe
Pengine mtume mohamed arudi au yesu,,ndio wataweza kugawanya pwani na Eastern. Kwani bila pwani kenya 🇰🇪 haija kamilika brow..pata kuelewa mikoa minane ikiùngana ndio inaitwa KENYA 🇰🇪 brow. Hapo ulipo upoh, nadhani umelewa, nini maana ya KENYA 🇰🇪 brow. GAMEOVER
Ww mpumbavu wacha kutaja mitume apa Muhammad na Issa awausiki na kugawanya kenya na pwani
Ni sawa mugokaa sio mmbya mbona musiuze kwenu
Tanzania hakuna kutafuna miraa mbona watu wanaishi wacheni ujinga wenu mimi nimekula sana mira migokaa kusema kweli hakuna faida yeyote niliharibu pesa nyingi sana sana niliwacha miaka sita sasa lakini meno yangu yameharibika najutia sana kutafuna hayo majani
Hauko sawa
Mnafurahia kizazi cha Mombasa ,kilifi na Taveta vikiangamia
Uuzeni penye inahitajika,wapwani wamekataa
SEMA wewe na mamayako
@@kimathi7118komaa ww sio wa mombasa, uzia huko kwenu muwaue kina kimani wa citizen 😊
@@kimathi7118 wapwani tumekataa. angalia comments wenye wako na machungu kama utaona mpwani. wote wabara
@@kimathi7118na mama yake sio😂😂
Kwanini ung'ang'anie kuleta Mombasa.Biashara ni popote.Uzeni kwenu
Wachana nauongo mreaa na Muguka in toxic substance hakuna cha balance wala cha mama ake balance hii iko na effect .kweli unaweza kula Muguka or Miraa ushibe
Yes yes yes yes yes
kila mtu ana afya yake huwezi mpangia mtu akila hawezi kupata madhara ongea ukweli hakuna watoto hapa 😮
its our culture if u dont eat dont eat simple
Kwani si gauze huko kwao tuu ,hii ina maana pwani wana kula sana kuliko huko kwa, they make more profit at cost province than there county's
Hawa ni wenye biashara achana nao ,, Hawana manufaa yeyote kwa kenyan youths
Hakuna kitu kizuri wataeleza hao
Instead ya kuangalia afya ,, mnaingiza siasa in this ,, ad nacada knows about this,, it's a drug ... Kauzeni basi kwingine...
Muguka ni Majani chai sio miraa😂.
Silazima uuzwe Mombasa peleka takataka kwengine bali nakula mugokaa inaharibu pia mazingira
Uliza madakitari au watahalamu wa health watuambie ukweli
Rygy G akipambana na pombe,mbona hawakusema kitu?
wacheni kuleta sisa kwenye hili jambo,
Your kids go to school because you don't allow your kid to consume Muguka.
Meaning coastal people allow their kids to consume
Ama waweke insurance ya meno wauzaji wa mukoka wakikataa must be banned
Awa wana zungumziya miraa sio mugoka
okay wacha hata hio miraa isije
Sawa governor 😂
basi uzeni huko kwenu
Ignorance is a bad thing, educate yourself
I was thinking, those want to chew to just travel to meru and embu
Vijana wa mombasa shida yao kubwa, inayo wasumbua, ni kuchanganya vileo. Utapata vijana, anatumia mugukha ana vuta bangi anakula ugoro, anavuta brown sugar baadae anakwenda kuzumua na pombe ,kichwa ni hichohicho kimoja..kwanini mtu akili isiruke??? Mbona huko Embu vijana sikama huko mombasa???
Acha wachanganye vieo vya pwani hivyo vya embu na meru pelekeni county zengine mbona mnalazima ya pwani why are you focing issues 😂😂😂 Kwani pwani ndio kuna pesa pekeake kwengine ni makaratasi?
Citizen wacheni ujinga huyo mwenyekiti aliongea kiurefu madhara ya mugokaa ww unaikata na haja taja madhara
Mtu asiwadanyange mkuka na Miraa sio poa,,Mimi niwa uko na najua sio poa..no difference btw drugs na Miraa...
This meeting of the president and his remarks must be presented as contempt of court. How did he discuss an issue that was in court. He has done it to influence the courts to rule in one sides favour
state capture. what ruto wants, ruto gets
Pandeni mahindi mtuletee tununue. Kwan lazima miraa?
Maraa Muguka ni hurahibu, ni addicted toxic substance. Basi kuleni nyinyi wamero , msipeleke pwani
Wewe usikule, wanaonunua wako na akili timamu, sio wajinga
,,,mokokaa na mwiraa harifai kutumiwo na banadamwo
basi mukule wenyewe hizo kwani lazima mombasa ?
Swali langu ni kwani Nini Mombasa?? Kwa Nini lazima na Pwani,,..?? We should wake up..... Is it the only county in Kenya out of 47
Wewe usikule, wanaonunua wako na akili timamu, sio wajinga
Wanaopanda wakule wenyewe
Wewe usikule, wanaonunua wako na akili timamu, sio wajinga
Kama wanatusi wanunuaji wa miraa Mombasa sio lazima wauzie mogokaa mombasa
Plz.meru.people.use.your.mgonga.like.sukuma .and.cook
Wewe usikule, wanaonunua wako na akili timamu, sio wajinga
something not right they been paid look how passionate they are only coz of mogukaa waah pesa make people sell there soul
Mbona unaleta watu wa embu while wawezi sema ukweli ....hapa eldoret vijana wameingilia hiyo matawi ata hakuna kazi wanafanya wanakaa wenda wazimu 😢😢then sijui hawa wanasema nn woria wasomalia hii vitu imewafanya hadi wameoza meno inaisha kwa mdomo na hawakai kama wako sawa then hawa wanasema nn ????
Tangu ipingwe ulaya wasomali wameanza kufanya kazi divorces zimepungua
@@munaelmimohamed9912 walai hiyo vitu ni mbaya nimeona wengy wakipotea hivyo
Shida za mombasa ziachiwe watu wa mombasa they are the ones who knows the effects of the drug.GO to rehabilitation centers and see for yourselves the effects
WAPIGANIE KULETA KAZI KWA JAMII KWANZA... UKWELI NI KWAMBA MGOKAA UMEHARIBU BIASHARA ZENGINE..... IKIWEMO UNGA. HII NI MOJAWAPO YA KUTAKA VIJANA WARUDI KUTUMIA UNGA KWA WINGI, TAFAUTI NA SASA... VIJANA WAMETOKA KWA UNGA... NA KUTUMIA METHODINE NA MGOKAA... ISITOSHE HAPA WALE WALOATHIRIWA KUTOFANYA BIASHARA NA MALI YA WALE ILIOSHIKWA INAFAA WALIPWE HAKI ZAO. DAWA ZA KULEVYA ZIPO NA ZINAJULIKANA, WAWACHE KUFANYA WANANCHI WAJINGA AU HAWAJUI KINACHO ENDELEA.
Wapeni watoto wenu wale kma hakuna madhara