Waziri wa leba Alfred Mutua awataka vijana kujisajili kwa kazi za nje
Вставка
- Опубліковано 21 лис 2024
- Waziri wa leba Alfred Mutua amesema serikali inafanya kila iwezalo kutatua changamoto ya ukosefu wa ajira nchini na hususan miongoni mwa vijana akiwataka vijana kutopuuza mpango wa serikali wa kuwatafutia kazi katika mataifa ya ughaibuni.
Huyu msichana continue congratulating government utajua tu hio kazi ni ya nini
Create an enabling environment for us to work here in Kenya not take us to other countries plz,
Trust this government at your own risk izo kazi zao zii heri tukufie huku kenya lies lies and more lies kelele za chura izo
Slave trade is back but in a more palpable manner.its serious n sad.
African leaders have been exporting africans to the rest of the world for over 500 years now😂😂😂hii sio kitu mpya
Ni wote pekee ama?
They are promoting agency work , you pay for everything
Kupeleka vijana wakawe slaves wa waarabu. Aibu gani serikali ya shetwani hii. Bure kabisa!