Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Mubarikiwe sana ninapo zisikiliza hizi nyimbo nakumbuka maisha tulio ishi inchini Tanzania ,katika kambi yawakimbizi Ulyankuru,katumba, na Mishamo.
Kwa kweli kahi ikitawala watu hufurahi, asanteni sana Kaminula kwaya
mungu awabariki waimbaji wa mungu nyimbo zinatubariki sana
Ujumbe mzuri sanaaa
Mlakoze cuti, mnanikumbusha mbali sana😭😭😭😭😭😭
Nikiwaona tu nakumbuka siku ya Harusi Yetu mbarikiwe
Wimbo unatukumbusha kutenda haki, MUNGU atusaidie
Intro 0:00-0:48Haki Huinua Taifa 0:48-5:02Twakushukuru 5:02-9:15Stephano 9:15-12:47Igizo 12:47-13:39Bara Letu Afrika 13:39-17:45
Mungu awabariki popote mlipo watumishi wa Mungu! Nyimbo zenu na hasa wimbo huu ni ushahidi tosha ninyi ni waumini na watu wema. Barikiwa sana.
Nakumbuks mbali sana
Mungu awabariki
Haki kweli
Namuona Kaka Remmy barikiwa saana
Hivi wapo hai hawa watu mpaka sasa?
@@Mwakamele naam bado wapo hai kwani walikuwa miaka ya 90s ni wachache sana ambao waliokufa
Amen
Niliusikia huu wimbo zaidi ya miaka kumi iliyopita. Nafurahia kuupata hapa youtube. Hii choir Kaminula ingali iko hai? Inapatikana wapi nchini Tanzania?
Mubarikiwe sana ninapo zisikiliza hizi nyimbo nakumbuka maisha tulio ishi inchini Tanzania ,katika kambi yawakimbizi Ulyankuru,katumba, na Mishamo.
Kwa kweli kahi ikitawala watu hufurahi, asanteni sana Kaminula kwaya
mungu awabariki waimbaji wa mungu nyimbo zinatubariki sana
Ujumbe mzuri sanaaa
Mlakoze cuti, mnanikumbusha mbali sana😭😭😭😭😭😭
Nikiwaona tu nakumbuka siku ya Harusi Yetu mbarikiwe
Wimbo unatukumbusha kutenda haki, MUNGU atusaidie
Intro 0:00-0:48
Haki Huinua Taifa 0:48-5:02
Twakushukuru 5:02-9:15
Stephano 9:15-12:47
Igizo 12:47-13:39
Bara Letu Afrika 13:39-17:45