GB 64 AFUNGUKA NENO 'SANDA' KWENYE JEZI YA SIMBA, KILA MTU LAZIMA AVAE SANDA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 жов 2024
  • Jezi mpya za simba

КОМЕНТАРІ • 69

  • @ceasarj6761
    @ceasarj6761 2 місяці тому +36

    Walioielewa jezi nyeupe kama mimi gonga tujuane hapa

    • @LassonDominick
      @LassonDominick 2 місяці тому

      Yaaani nihatari!! Hii timu itaniua maana sio kwa raha hizi! Nabado apo mechi hazijaanza weeee😂😂😂🎉❤

    • @MuridiMakame
      @MuridiMakame 2 місяці тому

      A

  • @MichaelMdenye
    @MichaelMdenye 2 місяці тому +6

    Simba ubaya ubwela uwaka show show lazima afe mtu timu ilio jaza wazee simba nguvu moja kama una penda simba like apo

  • @israelmunuo7938
    @israelmunuo7938 2 місяці тому +5

    Gb 64 wewe ni mashine ya kuongea ,hatari sana💪🦁

  • @ProYuzza-d4y
    @ProYuzza-d4y 2 місяці тому +1

    Huyu mwamba anajua sanaaa unyama sanaaa ❤❤❤❤

  • @BellaTuyi-hd7tw
    @BellaTuyi-hd7tw 2 місяці тому +2

    Mm binafnsi jezi zote nzuri.
    Ila mm nikienda dukani lazma nichukue Bluu.. SIMBA nguvu MOJA 💪 hatujawahi kubahatishanga sis levo zetu sio za Africa to mbali dunian kote🦾
    ✍️ Mabetu &Co

  • @RashidiMkongewa
    @RashidiMkongewa 2 місяці тому +1

    Jamani sanda tena ngoja yanga waje wamizike

  • @mubarakbawazir3952
    @mubarakbawazir3952 2 місяці тому +5

    Toka 1965 maskuli tukicheza mpira , Huwa tukitoka kipindi Cha michezo mwalim wamichezo haya jiengueni sanda na yanga
    Pia nakumbuka gazeti ngurumo ikiwa mechi ya Sunderland vs Yanga ilikuwa iktumia sanda vs yanga tulizeni sisi wakongwe wa kabumbu

  • @kamazimamuganyizi6932
    @kamazimamuganyizi6932 2 місяці тому +6

    Uelewa mdogo anaesema sanda

  • @Khatib-xp6fp
    @Khatib-xp6fp 2 місяці тому +2

    Jezi ni kali kwa mwenye macho ila neno sanda lina maana nyingi bora waliondowe

  • @MeshackSandarya
    @MeshackSandarya 2 місяці тому +2

    Jamani uzi wetu mzuri kinoma tunàwaomna uongozi wa kampuni ya sundarend uendelee kututengenezea jezi nzuri uongozi wetu wa simba tuendelee na ushirikiano na sunderland

  • @habibuabuu9609
    @habibuabuu9609 2 місяці тому +1

    Jezi au sanda

  • @avitusmichael5
    @avitusmichael5 2 місяці тому +1

    Mmejinunulia Sanda mapema hongereni Kwa kuujua msiba wenu na kujiandalia mazishi mema wananchi wanakaribia kuja kuua

  • @tintz3157
    @tintz3157 2 місяці тому +3

    Uzi wa kwenda haupingwi

  • @aishamrisho6860
    @aishamrisho6860 2 місяці тому

    Ovyooooo😄😄

  • @FredricktheonestShayo
    @FredricktheonestShayo 2 місяці тому +3

    64 una akili sana

  • @MohamedRuhombo
    @MohamedRuhombo 2 місяці тому

    Iyo ndio Simba wengine waigaji tu

  • @jamalmanishi7282
    @jamalmanishi7282 2 місяці тому +2

    Wewe ni mwamba GB 10000

  • @ZachariaMwita-bu7rw
    @ZachariaMwita-bu7rw 2 місяці тому +2

    Jezi ni nzuri hata hilo neno sanda limedzainiwa vzr

    • @LassonDominick
      @LassonDominick 2 місяці тому

      @@ZachariaMwita-bu7rw hahahahha nihatari! Umewakata maneno jamaa😅😅😅😅

    • @ZachariaMwita-bu7rw
      @ZachariaMwita-bu7rw 2 місяці тому

      @@LassonDominick watu sijui ni ushamba unawasumbuwa, kwanza tukiachana na yote sio jezi zinazo cheza uwanjani

    • @LassonDominick
      @LassonDominick 2 місяці тому

      @@ZachariaMwita-bu7rw yaani jamaa wanabishi hata mambo yakweri!! Ukimuambia SANDA nikifupi cha SANDALAND wanabisha! Hao ata ukiwaambia SAMIA ni Rais wa jamuhuri ya muungano wa tanzania watakataa2

  • @dennisngonyani1795
    @dennisngonyani1795 2 місяці тому

    ANAYEVALISHWA SANDA LAZIMA AZIKWE

  • @bensonmgaya5693
    @bensonmgaya5693 2 місяці тому +2

    Maana ya sanda Kila timu itaonja mauti subiri msimu uanze

    • @seciliamchalo5627
      @seciliamchalo5627 2 місяці тому

      Mmh kila timu nyie wenyewe mliojivika mtaonja umauti ya kwenu hayo

  • @AbdallahMaanje
    @AbdallahMaanje 2 місяці тому +3

    Hilo neno limefupiswa,kama (selemani sele,,) (abdallh dula,) Rajabu roja, )(josephat Jose)( Lawrence Lau) shida Iko wapi?

    • @BellaTuyi-hd7tw
      @BellaTuyi-hd7tw 2 місяці тому

      Mwenye hakili kaelewa kwa ufafanuzi huo.. mwanalunyasi mwezangu❤
      ✍️ Mabetu &Co

    • @huseinbusaba5064
      @huseinbusaba5064 2 місяці тому

      Safi sana kaka

  • @MkaliZuberi-rt3gb
    @MkaliZuberi-rt3gb 2 місяці тому +1

    Iyo nyeupe jezi kali duniani kuwai kotokea

  • @hastatz
    @hastatz 2 місяці тому +1

    Neno sanda ni jina halisi la sandaland ambae ni mzamin anaitwa sanda

  • @NasoroHassan
    @NasoroHassan 2 місяці тому

    Ko Simba ipo kwenye sikuyamwisho ime vaa sanda

  • @ErickSospeter-no1fc
    @ErickSospeter-no1fc 2 місяці тому

    Msubiri kuzikwa ,,,,tar 8 ndo mtakuwa kweny jeneza maan sanda tayar mnazo

  • @TomasiklistophaMwinuka
    @TomasiklistophaMwinuka 2 місяці тому

    Ubaya ubwela Santa mwaka huu kunawatu watavalishwa sana

  • @AishaSalum-r7m
    @AishaSalum-r7m 2 місяці тому

    Kumbe sanda jmn mpak naogopa jmn 😊😊😊😊

  • @Mathaolomi
    @Mathaolomi 2 місяці тому

    Kila mtu avaa sanda

  • @DenisMalima-cq9hp
    @DenisMalima-cq9hp 2 місяці тому +2

    Subiri ufungwe sanda.

    • @LucyMdoe
      @LucyMdoe 2 місяці тому

      Mbona ya kwenu ina rangi ya nyuki mbona hamuingolei

  • @MkaliZuberi-rt3gb
    @MkaliZuberi-rt3gb 2 місяці тому

    White jezi kali ya mwaka duniani mzima

  • @Hamad-iy4xt
    @Hamad-iy4xt 2 місяці тому

    Tunauguza utalii au nimeckia vibaya

  • @TheresiaFransic
    @TheresiaFransic 2 місяці тому

    Xafi xan gb hatuvai jez zeny mafuvu ya wat wa zamn

  • @michaelkasilabwa3096
    @michaelkasilabwa3096 2 місяці тому +1

    😂utopolo shida

  • @Rajabuhamadi88
    @Rajabuhamadi88 2 місяці тому

    Sisi ndio simba ubaya ubwela

  • @StanslausZakaria
    @StanslausZakaria 2 місяці тому

    Toeni hapo matangazo 😅😅😅😅😅 kwenye jeezi zenu makolo

    • @BarikiOmbay-i6q
      @BarikiOmbay-i6q 2 місяці тому

      Nyoko mkazindue Yale makaburi yenu nyoko were🐸🐸🐸🐸

  • @JuhudiKasanga-yq5ks
    @JuhudiKasanga-yq5ks 2 місяці тому +1

    Sanda fc rasmi toka kolo fc

  • @josephstephano2781
    @josephstephano2781 2 місяці тому

    Tatizo huyu mzee habadilishag jezi

    • @nassathuman
      @nassathuman 2 місяці тому

      😂😂ukorofiii tu

    • @Leeeeeeee-96
      @Leeeeeeee-96 2 місяці тому

      ilitaka acae ya yanga au toa meiko nyuma uko 😂

  • @Nicodemashangi-z3o
    @Nicodemashangi-z3o 2 місяці тому

    sanda inakosa gani kwa binadamu?

  • @DoreenMlay-e8g
    @DoreenMlay-e8g 2 місяці тому

    acheni ushamba kwenye amna kwaiyo mnavaa sanda mkiwa hai lakini haitauzika wewe nani anaetamani kufa acha ujinga wewe

  • @JUSTNEMITOMINGI
    @JUSTNEMITOMINGI 2 місяці тому +3

    Jezi yenyewe sanda

  • @DoreenMlay-e8g
    @DoreenMlay-e8g 2 місяці тому

    ushamba umekukaa

  • @Nicodemashangi-z3o
    @Nicodemashangi-z3o 2 місяці тому

    sanda haina tatizo lolote kabisa

  • @piussimtala5111
    @piussimtala5111 2 місяці тому +1

    Huyu jamaa haeleweki

  • @JninjaH2R
    @JninjaH2R 2 місяці тому

    S A N D A 😂😂😂😂 JEZI ZA KWENDEA MSIBANI

    • @lonesomekabora5547
      @lonesomekabora5547 2 місяці тому

      Waliovaa Uzi umeandikwa Fila walikua wanaenda wapi?

  • @DoreenMlay-e8g
    @DoreenMlay-e8g 2 місяці тому

    wajinga ndo waliwao

  • @abdallahhamisiiddi4513
    @abdallahhamisiiddi4513 2 місяці тому

    Wakristo hawavashwi Sanda hacha uongo malienge mkubwa

    • @prosperjuma905
      @prosperjuma905 2 місяці тому

      Nani kakwambia wakristo hawavishwi sanda?

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 2 місяці тому

      VP WEWE UNATAKA TUSIKUVISHE TOPOLOOOOOOO

  • @Nicodemashangi-z3o
    @Nicodemashangi-z3o 2 місяці тому

    sanda haina tatizo lolote kabisa