SALUM WA SUMBAWANGA(BIASHARA YA MISUKULE)_Part 3

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 22

  • @matildamartin7394
    @matildamartin7394 4 роки тому +3

    Okoka na imjue Yesu. Achana na habari za maji hayo.
    Yesu ni maji ya uzima

    • @tamaraeliz7114
      @tamaraeliz7114 4 роки тому

      Kabisa Amjue Mungu ndie aliye Umba mbingu na Nchi

  • @tamaraeliz7114
    @tamaraeliz7114 4 роки тому +5

    Mungu Akubariki sana Jactan unafanya kazi nzuri. Lakini huyo ndugu anafaa apate mafunzo ya biblia takatifu kwa wingi sana. Maana Yesu Alishinda Mauti. Maana Yeye tumaini lake ni maji yakutoka kuzimu. Swali langu ni je maji yakiisha atarudi tena kuzimu ama ni vipi? Ninamuombea Mungu asaidie apate Injili ya Yesu Kristo kwa sababu Injili ya Yesu mwana wa Mungu Aliye Hai yaani Mbingu na kuzimu ni vitu viwili tafauti. kabisa. Nitamuombea Mungu Umpatie Amani Ajue Mungu Wetu ni Mungu Aliye Hai. Barikiwa Amani na iwe nanyi

  • @rachaelmulinge8729
    @rachaelmulinge8729 4 роки тому +1

    Ahsante Sana kwa ushuhuda huu

  • @KweliyaKristo
    @KweliyaKristo 4 роки тому +1

    Yesu ni maji ya uzima.

  • @BerylSeer1
    @BerylSeer1 4 роки тому +1

    Thanks for the narrations

  • @sarahyvonne4580
    @sarahyvonne4580 4 роки тому +1

    Damu ya yesu ni maji toshaaaaaaaaa

  • @beatricen1228
    @beatricen1228 4 роки тому +2

    Jesus ana tosha🔥🔥🔥

  • @mwitamagesa1034
    @mwitamagesa1034 4 роки тому +1

    Hamna sauti

  • @kithia100
    @kithia100 4 роки тому +1

    Umetoka mbali tafadhari achana Na hayo maji. Mwamini Yesu maji ya uzma allow holy spirit to be in control .

  • @mabulamasunga7378
    @mabulamasunga7378 4 роки тому +2

    Unazidi kutupostia kitu hakina sauti. Bora uishie hapo hapo

  • @joylynenalija4795
    @joylynenalija4795 4 роки тому +1

    Huyu bdo hajaokoka bwana, anaamin sn hzo skalait kuliko Yesu,kwanza anahitaji ukomboz wa hali ya juu,kumbuka alizikwa huyu. Bdo anatumika kuzimu huyu,ona anavyosambaza hayo maji. It's another version ya uganga. Hamna mahali ambapo Yesu anatukuzwa ni kuzimu mwanzo mwisho.

  • @beatricen1228
    @beatricen1228 4 роки тому +1

    I cannot trust thet water I don't want to end up in Dubai az zombie

  • @stellamtenga24
    @stellamtenga24 4 роки тому +1

    Kwa kweli huyu Salum bado hajampokea Yesu. Bado anatumia nguvu za kuzimu. Hakuna kitu cha Mungu eti unakifuata na nguvu za kuzimu. Kwani si imeandikwa Mwanga na Giza havina Ushirika? 2 Corinthians 6:14 Damu ya Yesu inatosha. Jina la Yesu ni jina kibwa kupita majina yote. Eti Hamisi anauwezo mkubwa atakuona atazuiya unapoenda kanisani kuombewa. Wa Kristu kuweni makini na watu kama hawa

    • @joylynenalija4795
      @joylynenalija4795 4 роки тому +1

      Huyu bado hajaokoka,bdo anatumia spiritual powerz. Ampokee Yesu kweli kweli,na damu ya Yesu ndo itumike kumtakasa na si hayo maji. Huu ushuhuda anashuhudia nguvu za giza mwanzo mwisho hakuna mahali jina la Yesu linatukuzwa.

  • @engzuberir.akilenza1764
    @engzuberir.akilenza1764 4 роки тому

    Binafsi nina unsubscribe haiwekani mpaka sehemu ya 3 bado biashara ileile jamaa ameanza dharau.

  • @mariamfritsi9761
    @mariamfritsi9761 4 роки тому

    Pole sana.

  • @mariamidrisa1359
    @mariamidrisa1359 4 роки тому +1

    I dont trust this guy

  • @PromovertvTz
    @PromovertvTz 4 роки тому

    kwa mnaopata shida ya kusikia sauti,tumia headphones au sikiliza kwa pc/tv/radio yenye spika mbili.