KAMATI YA BUNGE YA MIUNDOMBINU YARIDHISHWA UJENZI WA 'MSALATO AIRPORT’ NA BARABARA YA MZUNGUKO...
Вставка
- Опубліковано 9 лют 2025
- Kamati ya Bunge ya Miundombinu imeipongeza Serikali ya awamu sita kupitia Wizara ya Ujenzi kwa muendelezo mzuri na kasi ya ujenzi wa Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Msalato na Barabara ya Mzunguko wa Nje Dodoma (Outer Ring Road).
Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Miundombinu Selemani Kakoso wakati kamati hiyo ilipokagua maendeleo ya mradi huo.
Kazi nzuri sana hongera kwenu wizara
Tunachokiomba muweke njia ya metro au commuter railway itakayo ingia msalato airport pamoja na kuboresha miundombinu husika za barabara