Wizara ya Ujenzi
Wizara ya Ujenzi
  • 621
  • 704 505
BASHUNGWA AMBANA MKANDARASI KASI NDOGO UJENZI WA BARABARA YA NYAMWAGE - UTETE
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa hajaridhishwa na usimamizi na kasi ya ujenzi wa wa barabara ya Nyamwage - Utete (km 33.7) kwa kiwango cha lami na kumuagiza Meneja wa Wakala ya Barabara (TANROADS) Mkoa wa Pwani, Eng. Baraka Mwambage kumsimamia Mkandarasi China Railway Seventh Group (CRSG) akamilishe kuleta Wataalam pamoja na Mitambo itakayomwezesha kutekeleza mradi kwa wakati na kwa mujibu wa mkataba.
Bashungwa ametoa agizo hilo Oktoba 24, 2024 Wilayani Rufiji Mkoani Pwani wakati akikagua maendeleo ya ujenzi wa barabara hiyo na kutoridhishwa na utendaji kazi wa Mkandarasi huyo ambapo hadi sasa utekelezaji wake umefikia asilimia 7.
Переглядів: 623

Відео

BASHUNGWA AKAGUA UKARABATI HOSPITALI YA WILAYA UTETE - RUFIJI
Переглядів 1392 години тому
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amekagua na kuridhishwa na ukarabati wa miundombinu ya Hospitali ya Wilaya Utete, Rufiji inayogharimu Shilingi Milioni 900 ikiwa ni dhamira ya Serikali ya Awamu ya Sita ya kuboresha utoaji wa huduma bora za Afya kwa wananchi. Bashungwa amefanya ukaguzi huo Oktoba 24, 2024 Mkoani Pwani na kueleza kuwa Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan anaendelea kubore...
KASEKENYA AWATAKA NCC KUZINGATIA MAADILI KULETA TIJA KAZINI
Переглядів 697 годин тому
Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya amewataka Watumishi wa Baraza la Taifa la Ujenzi (NCC) kuzingatia maadili na miiko ya taaluma zao ikiwemo kujiepusha na vitendo vya rushwa, ubadhirifu na matumizi mabaya ya madaraka katika utekelezaji wa majukumu yao. Akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa Baraza la Wafanyakazi la NCC jijini Dodoma, Oktoba 23,2024 Mhandisi Kasekenya amesema ma...
WAZIRI BASHUNGWA ATAKA WANANCHI WARUHUSIWE KUTUMIA BARABARA ZA BRT AMBAZO HAZINA MABASI
Переглядів 1,4 тис.7 годин тому
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemtaka Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila kukutana na Wakala ya Mabasi Yaendayo Haraka (DART), Jeshi la Polisi pamoja na Wakala ya Barabara (TANROADS) kuratibu namna ya kuwawezesha Wananchi kutumia miundombinu ya Mabasi Yaendayo Haraka (BRT) iliyokamilika kujengwa na haijaanza kutumiwa na Mabasi ya Mwendokasi ili kupunguza msongamano wa magari...
SERIKALI YASAINI MKATABA UJENZI DARAJA LA JANGWANI, BILIONI 97.1 KUTUMIKA
Переглядів 5877 годин тому
Serikali imesaini mkataba wa ujenzi wa Daraja la Jangwani lenye urefu wa mita 390 na barabara za maungio zenye urefu wa mita 700 katika barabara ya Fire - Ubungo kwa gharama ya Shilingi Bilioni 97.1 ambapo kazi ya ujenzi itatekelezwa kwa miezi 24. Mkataba huo umesainiwa leo Oktoba 22, 2024 Mkoani Dar es Salaam kati ya Wakala ya Barabara (TANROADS) na Mkandarasi wa Kampuni ya China Communication...
KASEKENYA AZINDUA BARAZA LA WAFANYAKAZI CRB
Переглядів 207 годин тому
Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya amezindua Baraza la Wafanyakazi la Bodi ya Usajili wa Makandarasi (CRB) na kuzungumzia umuhimu wa chombo hicho kuwa kiungo cha kuleta ustawi, tija na ufanisi mahali pakazi. Akizungumza katika hafla ya uzinduzi jijini Dar es Salaam, Oktoba 22,2024 Mhandisi Kasekenya amesema mahali popote ambapo Baraza la Wafanyakazi likifanya kazi kwa weledi mig...
HALMASHAURI MKIPIMA VIWANJA ‘ROAD RESERVE’ HATULIPI FIDIA: BASHUNGWA
Переглядів 1557 годин тому
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema kuwa Serikali haitalipa fidia kwa wananchi ambao wamepimiwa viwanja na Halmashauri katika maeneo ya Hifadhi za Barabara zilizowekwa kwa mujibu wa Sheria kwa ajili ya kuendeleza ujenzi na upanuzi wa miundombinu ya barabara katika maeneo husika. Bashungwa ametoa kauli hiyo Wilayani Kyerwa wakati akijibu hoja mbalimbali zilizotolewa na Mbunge wa Jimbo l...
BASHUNGWA AMKABIDHI MKANDARASI UJENZI WA BARABARA KYERWA - OMURUSHAKA (KARAGWE)
Переглядів 91116 годин тому
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemtambulisha kwa Wananchi na kumkabidhi eneo la mradi Mkandarasi Kampuni ya Shandong Luqiao Group atakayeanza ujenzi wa barabara ya Kyerwa - Omurushaka (km 50) kwa kiwango cha lami na kuuagiza Wakala ya Barabara (TANROADS) kumsimamia Mkandarasi huyo ili barabara hiyo ikamilike kwa wakati bila ya kusuasua. Hafla ya kumkabidhi Mkandarasi imefanyika Oktoba 18...
WAZIRI BASHUNGWA AONGOZA UHAMASISHAJI WANANCHI WA KARAGWE KUJIANDIKISHA DAFTARI LA WAPIGA KURA
Переглядів 265День тому
Waziri wa Ujenzi na Mbunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa ameongoza zoezi la uhamasishaji kwa Wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe kuendelea kujitokeza katika vituo vya kujiandikisha kwenye Daftari la Wapiga Kura ili waweze kutimiza haki yao kikatiba ya kushiriki katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika tarehe 27 Novemba, 2024. Bashungwa ameongoza uhamasishaji huo leo...
KASEKENYA AWATAKA VIJANA ILEJE KUJIKITA KWENYE MICHEZO
Переглядів 44День тому
Naibu Waziri wa Ujenzi na Mbunge wa Ileje, Mhandisi, Godfrey Kasekenya amewataka vijana Wilayani Ileje, mkoani Songwe kujikita kwenye michezo na kutumia fursa ya mashindano ya kombe la Kasekenya kuimarisha afya, ushirikiano na kukuza vipaji.
RAIS SAMIA AKAGUA UJENZI WA DARAJA LA J.P MAGUFULI, UTEKELEZAJI WAFIKIA ASILIMIA 93%
Переглядів 1,6 тис.День тому
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan amekagua ujenzi wa Daraja la J.P Magufuli (Kigongo - Busisi) lenye urefu wa kilometa 3 na barabara unganishi zenye urefu wa kilometa 1.66, linalojengwa kuunganisha Barabara Kuu ya Usagara - Sengerema - Geita kupita Ziwa Victoria ambao umefikia asilimia 93, Oktoba 13, 2024 Mkoani Mwanza. Ujenzi wa Daraja la J.P Magufuli...
DKT. MPANGO AWEKA JIWE LA MSINGI BARABARA YA KAZILAMBWA-CHAGU (KM 36)
Переглядів 1,4 тис.14 днів тому
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango ameweka jiwe la msingi Barabara ya Kazilambwa- Chagu na kusisitiza umuhimu wa wananchi kuzilinda Barabara na alama za Barabarani ili kuepuka ajali. Akizungumza na wananchi wa Ugansa wilayani Kaliua, mkoani Tabora, Oktoba 11, 2024, Dkt. Mpango amehimiza pia umuhimu wa walimu kuwafundisha wanafunzi matumizi sahihi ya barabara.
DKT. MSONDE AWATAKA TANROADS KUWAJENGEA UWEZO WATUMISHI
Переглядів 7414 днів тому
Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Ujenzi, Dkt. Charles Msonde ameutaka Wakala wa Barabara nchini (TANROADS), kuweka utaratibu wa kuwajengea uwezo watumishi wake ikiwemo kuwapatia mafunzo ya muda mfupi na mrefu kwa kada zote ili kuendana na kasi ya mabadiliko ya teknolojia. Agizo hilo amelitoa Oktoba 10, 2024 alipokuwa akizungumza na watumishi wa Wakala huo mkoani Tabora ambapo amesisitiza Wakala huo...
BASHUNGWA AITAKA TBA KUSHIRIKIANA NA HALMASHAURI UJENZI WA NYUMBA ZA KISASA ZA WATUMISHI
Переглядів 61414 днів тому
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemuelekeza Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Dkt. Charles Msonde kuusimamia Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) kushirikiana na Halmashauri, Manispaa, Miji na Majiji katika ujenzi wa nyumba za kisasa za Watumishi wa umma zenye gharama nafuu. Bashungwa ametoa agizo hilo Mkoani Pwani mara baada ya kufungua nyumba sita za Wakuu wa Idara na Vitengo zilizojen...
DKT. MPANGO AWEKA JIWE LA MSINGI KIWANJA CHA NDEGE TABORA
Переглядів 31914 днів тому
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango amweka jiwe la msingi mradi wa ujenzi na upanuzi wa Kiwanja cha ndege Tabora na kuzipongeza Wizara za Ujenzi na Uchukuzi kwa kazi nzuri wanayoifanya katika mradi huo. Akizungumza wakati wa hafla hiyo Oktoba 2024 Dkt. Mpango amezitaka Wizara hizo kushirikiana kikamilifu ili mradi huo ukamilike kwa wakati na thamani ya fedha io...
BASHUNGWA APIGA MARUFUKU KUZIDISHA ABIRIA NA UZITO KWENYE VIVUKO “ABIRIA MSIWE WABISHI”
Переглядів 19414 днів тому
BASHUNGWA APIGA MARUFUKU KUZIDISHA ABIRIA NA UZITO KWENYE VIVUKO “ABIRIA MSIWE WABISHI”
USHIRIKIANO WA TANZANIA NA JAPANI KUWEZESHA UJENZI WA FLYOVER MOROCCO - DAR.
Переглядів 2,2 тис.14 днів тому
USHIRIKIANO WA TANZANIA NA JAPANI KUWEZESHA UJENZI WA FLYOVER MOROCCO - DAR.
SERIKALI YASAINI MIKATABA UJENZI WA MADARAJA YALIYOATHIRIWA NA MVUA - LINDI | BILIONI 140 KUTUMIKA
Переглядів 21214 днів тому
SERIKALI YASAINI MIKATABA UJENZI WA MADARAJA YALIYOATHIRIWA NA MVUA - LINDI | BILIONI 140 KUTUMIKA
TAZAMA BASHUNGWA ALIVYOWABANA WAKANDARASI WANAOJENGA BARABARA YA MZUNGUKO DODOMA, 'IKAMILIKE 2025'
Переглядів 8 тис.21 день тому
TAZAMA BASHUNGWA ALIVYOWABANA WAKANDARASI WANAOJENGA BARABARA YA MZUNGUKO DODOMA, 'IKAMILIKE 2025'
RAIS SAMIA AAGIZA BARABARA YA SONGEA - NJOMBE - MAKAMBAKO KUANZA KUJENGWA UPYA
Переглядів 3,2 тис.21 день тому
RAIS SAMIA AAGIZA BARABARA YA SONGEA - NJOMBE - MAKAMBAKO KUANZA KUJENGWA UPYA
SERIKALI KUANZA UJENZI DARAJA LA MKILI NA MITOMONI MKOANI RUVUMA
Переглядів 24528 днів тому
SERIKALI KUANZA UJENZI DARAJA LA MKILI NA MITOMONI MKOANI RUVUMA
DKT. MSONDE AHIMIZA KASI UJENZI JENGO LA WIZARA
Переглядів 851Місяць тому
DKT. MSONDE AHIMIZA KASI UJENZI JENGO LA WIZARA
RAIS SAMIA AIPONGEZA AfDB, UTEKELEZAJI MIUNDOMBINU YA BARABARA NCHINI
Переглядів 169Місяць тому
RAIS SAMIA AIPONGEZA AfDB, UTEKELEZAJI MIUNDOMBINU YA BARABARA NCHINI
RAIS SAMIA AKAGUA UKARABATI NA UPANUZI WA KIWANJA CHA NDEGE CHA SONGEA, BILIONI 40.87 ZATUMIKA
Переглядів 570Місяць тому
RAIS SAMIA AKAGUA UKARABATI NA UPANUZI WA KIWANJA CHA NDEGE CHA SONGEA, BILIONI 40.87 ZATUMIKA
MKATABA UJENZI WA BARABARA YA IRINGA MSEMBE WASAINIWA | WAZIRI BASHUNGWA ATAKA KAZI IFANYIKE USIKU
Переглядів 131Місяць тому
MKATABA UJENZI WA BARABARA YA IRINGA MSEMBE WASAINIWA | WAZIRI BASHUNGWA ATAKA KAZI IFANYIKE USIKU
NAIBU WAZIRI KASEKENYA AWATAKA WANANCHI KUCHANGAMKIA FURSA ZA UWEKEZAJI UKANDA WA BAHARI YA HINDI
Переглядів 632Місяць тому
NAIBU WAZIRI KASEKENYA AWATAKA WANANCHI KUCHANGAMKIA FURSA ZA UWEKEZAJI UKANDA WA BAHARI YA HINDI
UJENZI WA DARAJA LA J.P MAGUFULI MBIONI KUKAMILIKA, BADO MITA 2 DARAJA KUUNGANISHWA
Переглядів 1,7 тис.Місяць тому
UJENZI WA DARAJA LA J.P MAGUFULI MBIONI KUKAMILIKA, BADO MITA 2 DARAJA KUUNGANISHWA
ZAIDI YA SHILINGI BILIONI 830 KUKABILIANA NA ATHARI ZA EL - NINO
Переглядів 200Місяць тому
ZAIDI YA SHILINGI BILIONI 830 KUKABILIANA NA ATHARI ZA EL - NINO
SERIKALI KUJENGA UPYA DARAJA LA MBWEMKURU NA NAKIU, LINDI
Переглядів 130Місяць тому
SERIKALI KUJENGA UPYA DARAJA LA MBWEMKURU NA NAKIU, LINDI
KASEKENYA AWATAKA WAKANDARASI BARABARA YA MNIVATA - NEWALA - MASASI KUONGEZA KASI
Переглядів 626Місяць тому
KASEKENYA AWATAKA WAKANDARASI BARABARA YA MNIVATA - NEWALA - MASASI KUONGEZA KASI

КОМЕНТАРІ

  • @AbdalanasibuFaraji
    @AbdalanasibuFaraji 3 години тому

    Mfano wa Magufuli

  • @ernestsinje9700
    @ernestsinje9700 День тому

    Barabara ya Keko kupitia veta vunjeni pembeni ongezeni barabara

  • @MohammedJaizan-yf5yt
    @MohammedJaizan-yf5yt День тому

    Hayo mambo ya kutaka asilimia yamekuwa ndio namna ya kutokea

  • @DanielKullwa
    @DanielKullwa День тому

    Management meeting...

  • @OdhiamboLazaro-y8o
    @OdhiamboLazaro-y8o День тому

    Unarudisha jam mjini

  • @wilfredmlaki822
    @wilfredmlaki822 2 дні тому

    Hapo mmeupiga mwingi safi sana

  • @phillipmatola6964
    @phillipmatola6964 2 дні тому

    Wewe sasa imekosa agenda katika mwendokasi...kuruhusu magari kwenye mwendokasi utaharibu kila kitu...

  • @mimiraia2531
    @mimiraia2531 2 дні тому

    Unatuambia matokeo ya 4R, kwani hatulipi kodi?? Nchi hii ina mambo ya ajabu ajabu sana

  • @mimiraia2531
    @mimiraia2531 2 дні тому

    Kulipaswa kuwe na njia 10; Nne za magari ya kawaida, moja BRT jumla njia 5 kila upande

  • @zobakazizi7637
    @zobakazizi7637 3 дні тому

    Hizo ni siasa....

    • @MubarakaCloud
      @MubarakaCloud 2 дні тому

      Acha ujinga bhas siasa zipi wakati mambo yanafanywa

  • @نوفل-س5ر
    @نوفل-س5ر 5 днів тому

    Tuwekeeni na nanihino apo

  • @Jackson-Novat
    @Jackson-Novat 6 днів тому

    Tunaomba na barabara za wilaya ya Missenyi kuelekea kata za Buyango na Ruzinga zijengwe.

  • @glorykastai3996
    @glorykastai3996 6 днів тому

    Safi kabisa Mungu awabariki viongozi wetu ,tunasubiri tuone na progress ya bandari yetu pia mradi wa DP World otherwise mnafanya kazi nziri sana pigeni kazi tunaiombea nchi yetu.

  • @deusbarnabas9060
    @deusbarnabas9060 7 днів тому

    Karagwe kyerwa Ongera sana! Asante wabunge wetu.

  • @HamunAli-q2u
    @HamunAli-q2u 9 днів тому

    Wilson mederengo tenelo yeyo engang,eng,

  • @lukasngeke7546
    @lukasngeke7546 10 днів тому

    Hongera sana Rais Samia,Mungu akubariki sana

  • @IreneLonjino
    @IreneLonjino 11 днів тому

    Kwani barabara ya kutoka Geita to kakola iliwakosea nn maama ni mbovu hatareee

  • @MusaMkembela-ex6ev
    @MusaMkembela-ex6ev 11 днів тому

    Mwakani tena

  • @MohamedRashid-py7ro
    @MohamedRashid-py7ro 12 днів тому

    Waweke na Kamela za daraja hilo

  • @am2323Diaspora
    @am2323Diaspora 13 днів тому

    In developed countries it you earn more you will be taxed more and no chance to still. If you do you risk your chance to go to prison. Earnings are put on average except few rich businessmen. Tanzania and Africa should be serious on corruption. Law enforcement should be to everyone

  • @mathewkanyungu2653
    @mathewkanyungu2653 14 днів тому

    "SERIKALI YA CHAMA CHA MAPINDUZI" Well said VP 👏👏👏👏

  • @Hamy1109
    @Hamy1109 14 днів тому

    “Massaging” is not proper word to use in an official communication. Waziri, kama lugha inakupiga chenga sio vyema kutumia lugha za watu.

  • @chumamasunga8855
    @chumamasunga8855 14 днів тому

    Makamu naye kila cku yuko Western, nchi kubwa hii mwambieni kuna mikoa mingi zaidi ya hyo ya magharibi pekee.

    • @nashonjoel20
      @nashonjoel20 13 днів тому

      Kanda ya Magharibi (Tabora, Kigoma na Katavi) palisahaulika kwa muda mrefu. Kigoma ndio imeona lami kwa mara ya kwanza awamu huu kuunganishwa na mikoa mingine.

  • @prosperidinya5864
    @prosperidinya5864 15 днів тому

    Mh. Waziri, siyo nyumba za watumishi tu, hata majengo yote ya serikali kama vile zahanati, shule, hospital na hata vituo vya afya.

  • @LuckymusyokiMueni
    @LuckymusyokiMueni 15 днів тому

    Flyover ni nyingi jengeni interchange ndio suluhu la kudumu

  • @LuckymusyokiMueni
    @LuckymusyokiMueni 15 днів тому

    Safi Sana waziri na ifanyike kwa haraka kama wakati wa jpm ,hata ikiwezekana haraka zaidi ya hapo,na ningependa zile nyumba ziko karibu na sgr ziko na mabati zimechakaa jengeni majumba nzuri nzuri kubwa kubwa dar iwe ya kisasa

  • @IbrahimMwinyi-mu5gp
    @IbrahimMwinyi-mu5gp 16 днів тому

    Wanasemaga hivyo hivyo vinaishia njiani

  • @ZadockKaaya
    @ZadockKaaya 16 днів тому

    Ongera sana waziri ila kunaseem kuna madudu yakutosha ujuituu,au labda ndochochote kinatokea Uko ndo maana amkagui?

  • @zobakazizi7637
    @zobakazizi7637 16 днів тому

    Barabara za Msoga Nsola vipi? Mbona haiishi?

  • @zobakazizi7637
    @zobakazizi7637 16 днів тому

    Hivi hii kufungua nchi maana yake nini? Ilifungwa lini? Mbona huu ushirikiano ulikuwepo tu tangu zamani? Kufungua nchi maana yake nini?

  • @ruhindacostantine2092
    @ruhindacostantine2092 17 днів тому

    Hongera sana mhe waziri nchi yeti inasonga mbele mpaka majiran wanataharuki

  • @njemamehuna9821
    @njemamehuna9821 17 днів тому

    Bashungwa kuongea anapata shida sana

  • @EmanuelyMbagalla-rt2vm
    @EmanuelyMbagalla-rt2vm 17 днів тому

    2021 mpaka sasa, mlikuwa wapi aisee. Huyo mkandarasi asipoongezewa muda na kazi iwe haijakamilika, itakuwa hasara kwa nani kama sio wananchi? Mtimueni kama vipi, msiwalee hao. Huyo ameshathibika uzembe, kata funua sasa, Tusonge mbele mpaka kieleweke.

  • @alfinmbilinyi5985
    @alfinmbilinyi5985 17 днів тому

    Yeah! Japan Iko vizuri pale tazara,buguruni na mchicha bila kupanga vizuri ujenzi wake foleni itaendelea tu.Hata ivo ni mipango mizuri pia pelekeni Sasa ujenzi wa lami nzuri kwenye makazi ya watu kama vile banguro mwembe kiboko,pugu, kifuru, segerea,kivule,Ili dar iwe kimataifa zaidi pia Dodoma Jiji la nchi liwe na fly overs pale jamatini.

  • @BagramenshZuma
    @BagramenshZuma 17 днів тому

    Miradi mizuri jama hii isicheleweshwe haswa tunaend AFCON 2o27 ikute miradi hii imekamilika itakuwa poa sana

  • @section8ight174
    @section8ight174 17 днів тому

    You are like a whole WEEK late 😂

  • @EmanuelMuna-w2q
    @EmanuelMuna-w2q 17 днів тому

    Mheshimiwa waziri Bashungwa, Ni kweli kuwa mmefikia milestone kubwa na nzuri sana kwenye ushirikiano wa kimataifa na diplomasia na nchi ya Japan katika sera ya miundombinu ya ujenzi, uchukuzi na mawasilisno. Ualiko wa wageni hawa wakubwa na mahimu sana toka seriakali Japan, wakiambatana na sekta binafsi na sekta za uma, unaonyesha ni jinsi gani serikali yetu hii kuu ya Tanzania ilivyojitolea kwa hali na mali kupanga, kujenga na kudhibiti miundombinu ya kisasa kabisa. Miundombinu hii ya kisasa itaweza kuliweka jiji letu la Dar es salaam kuwa jiji kubwa, bora, endelevu na la kisasa kabisa hapa duniani. Kwa kuweza kufanya hivyo ni kuwa serikali kuu imeweza kudhibiti malengo na maono ya dira 2050 ya viwanda, miundombinu, maendeleo ya miji yetu, majiji yetu na halikadhalika ukuaji wa wa uchumi endelevu kwa kuzingatia demokrasia huru. Hivyo, tafadhali sana endeleeni kufanya kazi na hawa marafiki wetu wakubwa toka Japan, ili kuweza kufikisha malengo yetu ya kimaendeleo tuliyojiwekea. Hawa marafiki zetu wakubwa toka Japan ni kweli wapo very serious katika ubunifu, usanifu, ujenzi na utekelezaji wa miundombinu migumu sana na ya kisasa kabisa, inayolenga malengo zaidi ya miaka 100 ijayo. Mimi mwenyewe katika shughuli zangu binafsi niliweza kusafiri na kufanya likizo kwa muda wa wiki mbili nchini Japan na niliweza kujionea mwenyewe maendeleo makubwa sana ya kiteknologia, nchi hii ya Japan iliyofikia. Hongera sana kwa mabalozi wa chi hizi mbili za Japan na Tanzania kwa kuweza kufanikisha maongezi haya ya kimataifa na kidiplomasia kuhusu Quality Infrastructure Dialogue yaliyofanyika jijini Dar es salaam, Tanzania. Mheshimiwa Waziri, Tafadhali shirikianeni na wajapani katika kufanya upembuzi akinifu, kusanifu, kujenga na kutekeleza miradi yote tuliyonayo katika majiji ya Dar es salaam, Dodoma, Arusha na Mwanza. Wapeni kazi wajapani. Wanaweza kutimiza dira na dhamira yetu (Vision and Mission) tuliyojiwekea. Hongera.

  • @modestwenceslaus9
    @modestwenceslaus9 18 днів тому

    ICD ya pale TAZARA maarufu kwa jina la Mchicha imeondoa kabisa umuhimu wa flyover ya TAZARA maana wa Malori yanayotoka na kuingia kwenye ICD hiyo yanasababisha foleni ndefu kwa Magari yanayotoka mjini kwenda Uwanja wa Ndege wa Julius Kambarage Nyerere.

  • @aleeoo7208
    @aleeoo7208 18 днів тому

    DHARULA like seriously mpaka bango linaprintiwa na kubandikwa this is sad

  • @malikkb6444
    @malikkb6444 18 днів тому

    Hongera serekali ila tunaomba kwenye makutano ya barabara zetu kuu za Dar tuweke interchange kwa kuzingatia miaka ijayo. Flyover sio long time solution

  • @benmuberwa2092
    @benmuberwa2092 22 дні тому

    Please establish a data bank, for the Tanzanian skilled workforce working on this project, for future utilization of their skills and experience. We made a very big mistake for not doing so during the construction of the Tanzania Zambia Railway Project, ultimately lost very valuable skilled workforce that would have been utilized in some of our local projects.

  • @jeremiaaugustino7187
    @jeremiaaugustino7187 22 дні тому

    safi sana MAMA..............Ile barabara ni ya zamani...nyembamba sio SALAMA

    • @adelinelyaruu3036
      @adelinelyaruu3036 22 дні тому

      Katika Karnes hii barabara ziwe nne both ways. Jumla nane. Dira ya maendeleo 2050 izingatie hii. Ajali ni nyingi mno

  • @jeremiaaugustino7187
    @jeremiaaugustino7187 22 дні тому

    TANROADS wawe wanapewa watu kama WAZIRI wetu.....watata

  • @stanymccary7136
    @stanymccary7136 23 дні тому

    Hovyo sana barabarani ya Hombolo Dodoma haijulikani itakuja kujengwa lini yani ni shida kwakweli

  • @yustomwaisomania2587
    @yustomwaisomania2587 23 дні тому

    An mnafanya kazi kwa mazoea sana mnatukera barabara njia nne Jijini Mbeya hakuna kinachoendelea mkandarasi kakimbia

  • @VisentJohn-r3r
    @VisentJohn-r3r 23 дні тому

    Anaona nimkandalas mzuri

  • @kambamazig02024
    @kambamazig02024 23 дні тому

    Uswahili na kufanya kazi kwa mazoea kumerudi kabisa, yaani wanabangaiza bangaiza tu.

  • @HappyatHome-bn8wm
    @HappyatHome-bn8wm 24 дні тому

    safi sana

  • @iskiji1240
    @iskiji1240 24 дні тому

    Miradi ya bongo haijawahi kamilika kwa wakati

  • @zobakazizi7637
    @zobakazizi7637 24 дні тому

    Hii wizara siyo ile tuliyoifahamu. Mkurugenzi wa Tanroads hafahamiki, haonekani, barabara ya nanenane tungi imelala, kituo cha daladala cha station ya treni morogoro walikwangua udongo tu..hakuna kinachoendelea.