UKWELI MTUPU.. Sikilza maneno ya mke wa Marehemu FREDY KILUSWA kwa uchungu sana.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 20

  • @HadijaSelemani-i2h
    @HadijaSelemani-i2h Годину тому

    Dah kiukweli mungemuacha tu huyo dada anaumia sana

  • @ZuuabuuZuuabuu120
    @ZuuabuuZuuabuu120 21 годину тому +5

    Ila wandishi waabali alitamani amuulize mala ya mwisho mlifanya mapenzi lini mana wanamaswali ya kijinga sana ila bst nibaati yko Niko mbli ningekutia mkofi

    • @happyluoga7493
      @happyluoga7493 19 годин тому +2

      😂😂😂😂eeeeh umesemaje we mkorofi umesababisha nimekukumbuka

    • @SaraphinaKakweche
      @SaraphinaKakweche 18 годин тому +1

      😂😂umenichekesha we mtu japo nna majonz

    • @gracemanyama
      @gracemanyama 3 години тому

      Hahahah

  • @DoriceEdward-l6s
    @DoriceEdward-l6s 21 годину тому +2

    Maskini kamke kapole mama dah 😭😭😭😭

  • @JanethJoseph-zt4mx
    @JanethJoseph-zt4mx 3 години тому

    Mm nisingejibu mtu yuko kwenye maumivu jmn

  • @RahabuSimba
    @RahabuSimba 8 годин тому

    Jamani hivi huwa mnahoji nn jamani mtu anamsiba mzito kiasi hicho

  • @ZuwenaNoman
    @ZuwenaNoman 20 годин тому +1

    Yani siku watakuja kutafunwa makofi awa

  • @ZuwenaNoman
    @ZuwenaNoman 20 годин тому

    Yani muwandishi msenge kama nini bwana mwenzio ana majonzi una kaz ya kuuliza ujinga

  • @MaisaraMajariwa
    @MaisaraMajariwa 4 години тому

    Ivi nyie mnapata ujasiri gani wa kumhoji mtu ana msiba mzito kama uwo sjui mpoje

  • @DoriceEdward-l6s
    @DoriceEdward-l6s 21 годину тому +3

    Mtu anamajonz unamuuliza upuuuz ivi wewe unazo kweli kichwani wewe mbwa?

    • @fatumajuma5848
      @fatumajuma5848 20 годин тому

      acheni midomo michafu nyie waja huyo yuko kazini bila yeye izo taarifa za msiba ungezipa afu kumtukana mtu usie mfaham sio jambo rahisi huwez jua ya moyon mwake

    • @MeryJonh
      @MeryJonh 20 годин тому +1

      Waandishi wengi bado sana

    • @marryofficial9143
      @marryofficial9143 18 годин тому +1

      Yaan waandishi wa habar sjui wana akili gan

    • @sadaally3303
      @sadaally3303 17 годин тому

      Kusema ukweli waandishi wetu watanzania wengi Bado aiseee

  • @MelkizedeckMachui
    @MelkizedeckMachui 5 годин тому

    Mbona baba yake kasema ana watoto 2 mmoja wakike

    • @hernethmadete2387
      @hernethmadete2387 5 годин тому

      Alisema ana watoto watatu ila fredy ni mtoto wa pili

  • @GhanimaSaid-s1b
    @GhanimaSaid-s1b 17 годин тому

    Mmh

  • @PendoPogwa-c9r
    @PendoPogwa-c9r 6 годин тому

    Hv ww mambo ya walikutana wap ndo wap