Ulisema lusekelo na Mwl mwakasege watakufa.mbona hawafi mzee au uliona maruwr ruwe??? Jifunze hekima broo sisi tunathamin sana wito wako lakn jitafakari sanaa usiwe ropo ropo hakikisha jambo ni confirmed Mungu amesema ndo uongee sio ujisemee uje useme ni Mungu..
@@ShukuruEdwardMedard karibu na endelea kujifunze mengi kwa nabii mjumbe wa agano la mwisho. WEWE ENDELEA KUTUMA MAJAMBAZI NA WATU WASIOJULIKANA SISI TUNATUMA ZABURI-91:5-8
Yesu Mwana wa Mungu uturehemu
Hatuwezi bila MUNGU MUUMBA WETU
Amina
Shalom Prophet
Hapana hatuwezi mungu atulehemu
Tuko pamoja mtumishi wa mungu
Amen prophet
Amen
Amina PROPHET
Acha kutabiri tabiri Musa wa Tongareni nenda kwa Sheikh Mwaipopo ujiunge na dini ya haki
Ulisema lusekelo na Mwl mwakasege watakufa.mbona hawafi mzee au uliona maruwr ruwe??? Jifunze hekima broo sisi tunathamin sana wito wako lakn jitafakari sanaa usiwe ropo ropo hakikisha jambo ni confirmed Mungu amesema ndo uongee sio ujisemee uje useme ni Mungu..
@@FreeGod368 asante kwa kutufatilia, rudi kasikilize hiyo video vizuri yawezekana wewe ndio ulisikia maruwe ruwe. Karibu tena
Aaaah! Kumbe bado upo mjini hii itakuwa awamu yako ya mwisho kuonekana mana utaenda kuonea haya maono yako
@@ShukuruEdwardMedard karibu na endelea kujifunze mengi kwa nabii mjumbe wa agano la mwisho.
WEWE ENDELEA KUTUMA MAJAMBAZI NA WATU WASIOJULIKANA SISI TUNATUMA ZABURI-91:5-8
Amina