HARMONIZE ameachia ngoma mpya SHEREHE,inaendana na ENJOY ya JUX na DIAMOND,producer ni S2KIZZY,tazam
Вставка
- Опубліковано 7 вер 2024
- Please subscribe now on our UA-cam channel to be the first to hear about latest news and updates on Time.
#middlesimba
#WeAreEverywhere
#harmonize
Sisi kama wcb fans,,, tunamshauri diamond asifanye mziki na s2kiz tena,,,
Middle Simba ❤❤❤❤
Ni Kali sana hiyo ngoma mpya ya harmonize, namkubali sana huyu mwamba 😮
Amna kitu apo Enjoy ni balaa sana 😂😂
Nawakubali Sana
Wewe ni Fan wa diamond tumeshaga kujuwa kitambo
Nmesema sana hili harmonize hana maajabu huu mwaka 😢😢sasa zombie Kacopy uko
Kama hana jipya nenda kampee mkundu wako ndio apate jipyaaaa
yan watuwengine jamn hivi kwasasa mnadhan kunamsanii anae lingana na harmonize? harmonize muachen jamn huyo nifund mzk anaujua, siokama diamond, diamond mzk haujui ila anaungaunga2, kwasasa ufalme huuu niwa konde musc
Wakwanza jamani nipeni mauwa yangu❤
Mido layani 🦁
Mmmmm😅😅😅😅😅😂😂 bado sana Enjoy itabaki kuw Enjoy usiifananishe Enjoy na takataka
Mzee wakukurupuka 😂😂 yn hn maajabu u mwama
Nchomari Ana jipia😂😂😂
Middle ee jana jeshi kapiga show moja ya ukweli kinoma noma maeneo ya mji mdogo mirerani
🙏chris mitindo dzaina 🙏🔥
Nenda umufuate S2kz
🎉🎉🇨🇩
Ndio weye middle simba hua unaonesha dhahiri fans wa simba na huwezi kuchangiw chochote acha shobo ao unalipwa utafinywa nawacawi waimaya iyii
Usifananishe enjoy na wimbo wa ovyo ovyo
Tatizo lako nijuu tu haumpendaki Harmonize
Verse ya simba dangote no ya🔥🔥🔥
Goma hiyo atasherekea na vistuli wezake....komasava
Hata hiyo enjoy mwenyewe alitokea ,,hakuna mfanano wowote uleee
👀
Hapo ahukuchambuwa wimbo wa harmonize, ila umechambuwa enjoy ya jux fut Diamond, Acha kuwa fan mpaka unahonesheleya wazi wazi 🤷
Haswa Huu Mwamba anakuaga munafiki sana ndomana account yake imebaki pale pale,Ebu Ona Wana Sns ville Wana chambua Na uone ville weme Kua wakubwa.
Yan uyu tabia yake tunaijua hajawai msifia ata cku moj jmn
Uyo jama noma san yani shobo kibao nyimbo ya tembo ila discussion simba
Siku pingi but Huwa una chembe chembe za kumpinga harmonize
Ww ni kenge wa makenge
kwasasa hakuna kama harmonize, tenasiokwasasa2 ila nitangu zamn harmonize mzk anaujua nandomana hanapapala, diamond hajui mzk huyonikama dance2 nahata diamond akifanyakitugan kwasasa hawez kutoboa kwasababu saiz watu wamepambazuka wanajua uimbaji, kwaiyo harmonize niwakati wake wakufrahia tena, msimfananishe harmonize namsanii yeyote
Cmba babalao
Middle simba.....
Kwani diamond anakulipaga shingapi... tunajua kwamba bila diamond usinge fika apo.lakin
Jifunze kupost angalau bac vitu za ukweli.
Sasa.kwa akili yako izo nyimbo zinafanana..kweli
Naku unsubscribe coz siku hizi haueleweki.
Ni kama unamponda harmonize content zako nyingi.
Wewe haujui chochote fala wewe
Usifananishe enjoy na wimbo wa ovyo ovyo