Hatari! Kimbunga HIDAYA kilivyoipiga Mafia, Miti mkubwa, mikorosho yaangushwa

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 тра 2024
  • Wananchi wa Kisiwa cha Mafia ni miongoni waliopatwa na majanga ya Kimbunga Hidaya kilichotikisa kuanzia jana usiku na kudumu kwa saa kadhaa hadi leo Jumamosi, Mei 4, 2024. Upepo mkali ulioambatana na mvua kubwa umesababisha mafuriko, miti mikubwa ikiwamo mikorosho na minazi kudondoka kwenye makazi ya watu usiku wa manani. Tazama hali ilivyokuwa kwenye baadhi ya maeneo kisiwani Mafia.

КОМЕНТАРІ • 24

  • @hamisimwabanda4168
    @hamisimwabanda4168 Місяць тому +1

    Allah Akbar poleni sana ndugu zetu

  • @biraudhatihassani6840
    @biraudhatihassani6840 Місяць тому +2

    Allah atunusuru na haya majanga

  • @ZainaNampanga-zt7ex
    @ZainaNampanga-zt7ex Місяць тому +1

    Poleni

  • @user-vq1iz7fd4c
    @user-vq1iz7fd4c Місяць тому

    Poleni sana

  • @magrethsengati2564
    @magrethsengati2564 Місяць тому

    Poleni sana ndugu zetu❤❤❤❤❤❤

  • @ShahidaMbaraka
    @ShahidaMbaraka Місяць тому

    Poleni sana ndugu zet

  • @khadijadiswera6979
    @khadijadiswera6979 Місяць тому

    Poleni sana ndugu zangu

  • @mosesbizifirst6976
    @mosesbizifirst6976 Місяць тому

    Duuuh poleni sana

  • @RahmaSalumu-zo3oq
    @RahmaSalumu-zo3oq Місяць тому +1

    Duuh subuhanallah Allah atunusuru na majanga kama haya

  • @danielkanso
    @danielkanso Місяць тому

    Polen watu wote mliopatwa na changamoto

  • @StAr-yu3vz
    @StAr-yu3vz Місяць тому

    Poreni wote

  • @FerdinandCharles-ko7de
    @FerdinandCharles-ko7de Місяць тому

    Idaya kwann lkn

  • @SharonGodwill
    @SharonGodwill Місяць тому +2

    Nakwambia tusipogeuka na kuacha njia zetu mbaya halima kinakuja

    • @wafabian8116
      @wafabian8116 Місяць тому +1

      Very true dear our knowledge has failed us HE has shown us who HE is HE says in the beginning HE created all these things He is alpha and Omega HE can't share his glory with anyone it's time to turn ourselves back to him HE is merciful GOD

  • @jumahili8121
    @jumahili8121 Місяць тому

    Bado asha anakuja na baadae Maimuna ndio itakuwa kali zaid tusipotubu

  • @suzanfelix6320
    @suzanfelix6320 Місяць тому

    😢😢Mafia yetu jamanii

  • @baruanitv
    @baruanitv Місяць тому +1

    Nicheki nikutumie video nyingine nilizorecord hapa *KILINDONI NA KIRONGWE* MAFIA asa hiyo baleni ndio kabisa barabara atuna pakupita

  • @lesliesolomon3624
    @lesliesolomon3624 Місяць тому

    Mola atuepushe na dhoruba!

  • @dorcaskarago2876
    @dorcaskarago2876 Місяць тому

    Idaya tena? Majina ya mashetani ayo

  • @raphaelkatanga5335
    @raphaelkatanga5335 Місяць тому

    Tuluki wanachinja kilasiku ng,mbe watoa kafara haya Mambo ayakuwepo kweti lazima watuote tujue YESU NI MUNGU