Mbunge wa Kibamba Ahoji Magari 503 Yaliyotakiwa Kununuliwa Yapo Wapi...! Fedha Bil 263 Zilishatolewa

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 сер 2024
  • #KutokaBungeni Mbunge wa Kibamba Mhe. Issa Mtemvu, alipokuwa ananchangia taarifa ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti katika kipindi cha Januari 2022 - Januari 2023 amehoji kuna fedha zilizoenda Wizara ya Afya Bilioni 263 na lengo lake lilikuwa kununulia Magari 503, lakini ndani ya magari hayo Land cruiser (Hardtop) 262 na basic ambulance 373 advance ambulance 20 yapo wapi..!
    #CloudsDigitalUpdates
    #7bisha

КОМЕНТАРІ • 3