MSICHANA "NILIDANGANYA AMENIPA MIMBA, KIJANA AKAHUKUMIWA MIAKA 60, RAIS ANISAIDIE"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 жов 2024
  • Maria Amos Sanga mkazi wa Wilaya ya Siha mkoa wa Kilimanjaro amemuomba Rais Magufuli kumsamehe mfungwa Tumain Frank Mfinanga aliyehukumiwa kifungo cha gerezani cha miaka 60 kwa kosa la kumbaka na kumpa ujauzito kwa kudai yeye alitoa ushahidi wa uongo mahakamani uliopelekea yeye kuhukumiwa.
    Msichana huyo amedai kwamba kijana huyo aliyehukumiwa alimsingizia alipokuwa anasoma nae shule moja na hawakupima vinasaba (DNA)
    Wakili wa Mahakama kuu Charles Abrahamu amezungumza nakusema kijana huyo anaweza kukata rufaa.

КОМЕНТАРІ • 386

  • @sweetbertrwiza5982
    @sweetbertrwiza5982 3 роки тому +21

    Mimi mpaka kesho nitamlaumu hakimu, kwa nini jambo kubwa namna hiyo unakataa vipimo vya DNA unato ukumu ya miaka 60!!!!

    • @bibiemohamed6044
      @bibiemohamed6044 3 роки тому +1

      Hakimu anamakosa makubwa sana kwann asifahitaji ushahidi wa kipimo

    • @sweetbertrwiza5982
      @sweetbertrwiza5982 3 роки тому +1

      @@bibiemohamed6044 sijui alikuwa na haraka ya nini wakati anamuumiza mtoto wa watu

    • @gracejesca6913
      @gracejesca6913 3 роки тому +1

      Hapo ndio uamini wote waendao magereza hawana makosa.

    • @sahlamussa8538
      @sahlamussa8538 3 роки тому

      Huyu kala rushwa

  • @shadrackmgeni89
    @shadrackmgeni89 3 роки тому +8

    Daaaaaaa kweli sio wote walioko gerezani wanamakosa yaan imeniuma Sana na inabidi wakate rufaa na alipwe muda wote aliokaa gerezani

  • @gee_gm
    @gee_gm 3 роки тому +8

    TUMAINI... jina lake limethibitika katika hili, MUNGU ni Mwema!

  • @hyasintndimbo2998
    @hyasintndimbo2998 3 роки тому +2

    Amini kwamba Kuna NGUVU katika Bwana, Mungu hamtupi mja wake Kama ipo ipo tu...
    Atatoka TUmain Frank Mfinanga🙏

  • @mename6020
    @mename6020 3 роки тому +10

    Mbona imenisisimua jamaan... Allah amfanyie wepes huyo kijana Tumaini...

  • @aboubakarymasalanga1887
    @aboubakarymasalanga1887 3 роки тому +9

    OGOPA XAANA akimu mwanamke kweny swala kumpa mwanafunzi mimba ,kumpiga mkewe ,kutotoa matumiz muogope akimu mwanamke

    • @mjitaog4640
      @mjitaog4640 3 роки тому

      Hivi kumbe ni wakike mama anguuuuuuu weeeeeeeh!

    • @janethkilonzi4260
      @janethkilonzi4260 3 роки тому

      Sana tu jaman mmmh utakoma mbona hugeuk hata kwa upinde

  • @vero57
    @vero57 3 роки тому +16

    BABA yake huyo dada na serikali, SUKUMA NDANI!!!!!

  • @vero57
    @vero57 3 роки тому +6

    Acha mungu aitwe MUNGU, haki ya mtu haipotei hata siku moja, serikali inakosa pia SANA KWANINI wasifanye DNA??????

  • @ibrahimbahi3274
    @ibrahimbahi3274 3 роки тому +15

    Kuna vitu vinanipa hasira hadi nahisi machozi!

  • @emmaventuresafaris110
    @emmaventuresafaris110 3 роки тому +21

    Binti na wazazi wafunguliwe kesi kwa kosa la kudanganya jamuhuri

    • @jackierama1817
      @jackierama1817 3 роки тому +5

      Binti hana kosa wazazi ndo wanamakosa kulazimisha mtt wao aongee uongo na kwa sasa binti anajutia na ndo maana katambua makosa yake na kupambana kupata kumtoa huyo kaka

    • @louiskalenga5745
      @louiskalenga5745 3 роки тому

      Mda mwengine serikali iwe naangalia mambo sio mtot wakike unamuweka mtu ndani kwa uhongo afu ukweli unakuja kubainika serikali inakaa kimya . Nilazma mtu uyo haki ifuate mkondo wake na mfungwa aweze kulipwa

    • @sweetbertrwiza5982
      @sweetbertrwiza5982 3 роки тому

      Binti hana kosa, kosa ni la hakimu tena wamchunguze

    • @gracejesca6913
      @gracejesca6913 3 роки тому

      Wafungwe na jamuhuri wazazi wa bnti

  • @zawadigongo9495
    @zawadigongo9495 3 роки тому +3

    Daah iyo kali, poleni vijana wote mnaofanyiwa vitendo hivi

  • @josephatjordan2150
    @josephatjordan2150 3 роки тому +7

    Ndio Ujue Mahakaman hua zinasaidia au zinaonea!!Kama n kweli mimba hakupewa jiulize mtu kafungwaje hapo!!!

    • @bravosenior475
      @bravosenior475 3 роки тому +1

      Anayozungumza hapo unahuakika ndicho alichozungumza mahakamani huyu bint ni muongo ninachokiona hapo amekaa akajiuliza mtoto atakuwa akiwa hana baba hilo ndiyo tatizo

  • @jassontv5366
    @jassontv5366 3 роки тому +2

    Movie Ya kihindiii hiii......Mhukumiwa kaukumiwa miaka 60 jera kwa kuua ..siku anamaliza kifungo ashakuwa mzee na kurudi uraiani anakutana na mtu yule aliyesadikika ameuliwa na yeye...duuuh...!!! mnajua kilichofuata sasa......ndo kama hiki tunachokisubiri hapa juu ya TUMAINI FRANK MTINANGA........Like za kutosha jaman..!!

  • @nyamkamawanjara29
    @nyamkamawanjara29 3 роки тому +11

    huyu binti na mama dangote hata hawapishani shenzi

  • @rajmkonje7149
    @rajmkonje7149 3 роки тому +5

    TUMAINI FRANK MFINANGA inamaana hawezi kumuita tu tumaini?

  • @michaelsamson9663
    @michaelsamson9663 3 роки тому +1

    Ndio sababu inayo nifanya nisiwapende wanafunzi wana pakazia

  • @ramadhanmasiku4105
    @ramadhanmasiku4105 3 роки тому +4

    Kama umesikia ikitamkwa d.n.i gonga like

  • @sayimbesi2273
    @sayimbesi2273 2 роки тому

    Mungu akurani

  • @liliansamson674
    @liliansamson674 3 роки тому +15

    Kama huyo mtoto si wake, basi serikali imlipe mda wote aliokaa jela maana mahakimu hawakuwa makini.

    • @separatebetres5315
      @separatebetres5315 3 роки тому

      Lazima alipwe

    • @gidotesha6083
      @gidotesha6083 3 роки тому

      ee na huyo msichana aseme aliempamimba Kama ni babake ijulikane

    • @bravosenior475
      @bravosenior475 3 роки тому

      Serikali imlipe kivipi? Wakudilinae ni huyo bint na familia yake wao ndiyo walitoa ushahid wa uongo

    • @fahadabdallah8879
      @fahadabdallah8879 3 роки тому +1

      @@bravosenior475 aliye toa maamuzi ni mtumishi wa serekali

    • @bravosenior475
      @bravosenior475 3 роки тому

      Ili ujue kosa liko wapi lazima upate mwenendo wa kesi na nakala ya hukumu ndiyo tuweze kulisemea hili kumbuka huyu bint ndiyo aliyemtaja mtuhumiwa kuanzia kituoni mpaka mahakamani na hatujui mtuhumiwa alijitetea vipi mpaka kuhukumiwa

  • @rehemamhengi5050
    @rehemamhengi5050 3 роки тому

    Tumaini jaah blessed your life my blood

  • @waukweelinikkon6555
    @waukweelinikkon6555 3 роки тому +2

    Ama kweli magerezani kuna wengi wamefungwa bila hatia,inahuzunisha mnooo,watu wengi mnoo wanasingiziwa kesi daah

  • @bmbnndailylife2096
    @bmbnndailylife2096 3 роки тому +4

    Wanao kwenda jera sio wote wana hatia

  • @humaidalnaamani4183
    @humaidalnaamani4183 3 роки тому +2

    Daah wakili atowa wamuzi wa ukweli bali watu wa serikali wanakwepa kuendelea upya kwa sbb ya hongo walio kula

  • @AhmadHassan-hx6oh
    @AhmadHassan-hx6oh 3 роки тому +5

    Msubiri aliyekuumba hukmu yake utakiona,umemdhulumu mwenzio mpaka kufungwa muda wote huo

  • @sadockmhinza699
    @sadockmhinza699 3 роки тому +14

    Kama umesikia baba yake na Tumaini akisema mwanao ameletwa hapa kwasabb amekula tamui ya mtoto wa baba mwingine

  • @mwechizumbabaraka2972
    @mwechizumbabaraka2972 3 роки тому +2

    Nachukia sanaaaa izi sheria

  • @falzfalz7678
    @falzfalz7678 3 роки тому +17

    yan tumain frank mfinanga anatajwaaaa kama mfungwa kwa majina yake matatu😆😆😆....ila nyie wanawake nyiee

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 2 роки тому

    Subhannallah, dhulma inamalipo na malipo yake ni hapa hapa Duniani 😢

  • @mimifineliving2022
    @mimifineliving2022 3 роки тому +10

    Kwanini kijana ahukumiwe miaka 60 kweli haileti maana. Huyo hakimu afungwe miaka 60 kwa kukataa DNA test

    • @separatebetres5315
      @separatebetres5315 3 роки тому

      Hukumu ya miaka 60 aliitoa wapi huyu hakimu jamani

    • @japhetjoseph1772
      @japhetjoseph1772 3 роки тому

      hapo kuna makosa mawili ya umpa ujauzito mwanafunz na kubaka

    • @gracejesca6913
      @gracejesca6913 3 роки тому

      @@separatebetres5315 kwani wewe hujawahi kuskia kumpa mwanafunzi mimba unafungwa miaka 60? Mbona mda tu

    • @marthaswai1185
      @marthaswai1185 2 роки тому

      Wewe hakimu, wewe hakimu dah.DNA,ulitupa wapi?

  • @aloycayubu24
    @aloycayubu24 3 роки тому

    Inauma sana

  • @ilovejesus9303
    @ilovejesus9303 3 роки тому +2

    Mmh miaka 60???? Kisa mimba, hata siamini. Hata waliouwa akina Lulu hawakupata hicho kifungo🤔🤔🤔🤔

  • @jamesjoseph6825
    @jamesjoseph6825 3 роки тому +16

    Kwanini hukumu bila DNA? Huyo hakimu ni jipu!

  • @sophiamlingi3063
    @sophiamlingi3063 3 роки тому +6

    Alikula tamu ya mtt wawatu kumbe ata tam ynyw hakuonja jmn dah hii tam hiii cio nzur kabsaa

  • @aikammbasha7586
    @aikammbasha7586 3 роки тому

    Daah jmniiii

  • @jeskahaule4303
    @jeskahaule4303 3 роки тому +4

    Kwakuwa mtoto kakua bac zamu yahuyo binti na wazazi wake kwenda jela.

  • @delekalxon7221
    @delekalxon7221 3 роки тому +1

    Wanawake wabaya Sana

  • @gidotesha6083
    @gidotesha6083 3 роки тому +1

    Wew dada unatuchora wew kwani ulieshiriki nae ngonozembe humjuiii

    • @claudiangowi9585
      @claudiangowi9585 3 роки тому

      Usikute baba mtoto ni babake mzazi ila akampa shipa mtoto wa watu

  • @gaspermaliselof5231
    @gaspermaliselof5231 3 роки тому +5

    Umaraya wako unamtesa mtoto wawatu. Sikufichi Hautokua salama maana umezurum nafsi ya mtu.

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 3 роки тому +12

    Yani miaka 60 kisa mimba 😂😅😅

  • @emmanuelmeela3065
    @emmanuelmeela3065 2 роки тому

    Nyokooo,daa dhambi hii itakutesa daima

  • @mariambeautysonghuseni9549
    @mariambeautysonghuseni9549 3 роки тому

    aisee umuzingizie mtoto wangu hautaishe hiyo musichana ni mjinga sana

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 3 роки тому +1

    Wanawake ni watu wabaya sana hili ni fundisho

  • @Commentsplus
    @Commentsplus 3 роки тому +6

    Dada tuliza nyege uliyakologa utayanywa

  • @gracesolomon7667
    @gracesolomon7667 3 роки тому +4

    Jmn tumain poles ulipo

  • @marygregory7566
    @marygregory7566 3 роки тому +1

    Ayo TV tutaomba mrejesho wa hii kesi

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 3 роки тому +3

    Subuhanallah

  • @jonathanjocksonmushi9518
    @jonathanjocksonmushi9518 3 роки тому +1

    Yaaan bas tuu

  • @emmanuellawrence2434
    @emmanuellawrence2434 3 роки тому +4

    Iv unaweza kumlipa fidia uyo jamaa ulomsingizia we mdada...

  • @tumakassim6286
    @tumakassim6286 3 роки тому +2

    Miaka kumi na sita hakua mdogo,wakushindwa kupambanua 🤔🤔

  • @hassansultan6511
    @hassansultan6511 3 роки тому +2

    Uyu bnt yaan n utopolooo anjiingiza tena kwny majanga makubwa mno hii HV nkes kubwa sana kuoongopea mahakama lakn nktu chakujfunza kwa utopolo wengne na vilaza kama hawa

  • @lailmeeea4908
    @lailmeeea4908 3 роки тому +1

    Kwendaaaa Mfyuuuuu

  • @sigifridiroman3236
    @sigifridiroman3236 3 роки тому

    Wanaofugwa jela sio wote wanahatia mungu akupe wepes kijana mwenzangu utoke

  • @gidotesha6083
    @gidotesha6083 3 роки тому +1

    au babayako ndo aliekupa mimba nini mkaamua kumsingizia kijana

  • @glorykarim1570
    @glorykarim1570 3 роки тому

    bint mbaya mnamfunga kijana wawatu jaman sura mbovu Kama yangu unafunga mtu mungu amsaidie atoke na yy aojiwe hapa jaman nimeuzunika sanaaaa🙏

    • @sweetbertrwiza5982
      @sweetbertrwiza5982 3 роки тому

      Waende magereza wamu hoji mbona Kenya wana wahoji wafungwa kwani Tanzania tunashindwa nini!!!

    • @glorykarim1570
      @glorykarim1570 3 роки тому

      @@sweetbertrwiza5982 itakuwa vizur Sana tuelewe ilikuwaje

  • @neemamdami7466
    @neemamdami7466 3 роки тому +1

    🙆🙆🙆🙆nakuonea huruma kijana maana mziki unakugeukia huo 😁😁😁😁😁

    • @mbwanahasan2971
      @mbwanahasan2971 3 роки тому

      Hauwezi kumgeukia maana alipopewa ujauzito bado alikuwa na akili za kitoto

    • @neemamdami7466
      @neemamdami7466 3 роки тому

      @@mbwanahasan2971 hapo sawa

  • @chifunyomboke3737
    @chifunyomboke3737 3 роки тому +1

    Bint anafungwa

  • @cyprianbernard907
    @cyprianbernard907 3 роки тому +1

    Hakimu nae anatakiwa aeleze sababu iliyo mfanya atoe hukumu kizembe hivyo

  • @cyprianbernard907
    @cyprianbernard907 3 роки тому +1

    Eti amekula tamu ya mtoto wa w2🤣🤣🤣🤣

  • @victormneney1475
    @victormneney1475 3 роки тому +3

    We kwanini ulidanganya mahakama
    Na wanasharia na mahakimu muwe makini sana na Hawa mabint na wazazi pande zote hasa kwenye upelelezi

  • @namirihamisi3899
    @namirihamisi3899 3 роки тому +1

    Sasa kess ni ya mwaka.mzima si ulikuwa ushajifunguwa kwa nn kama sio yake msipime DNA.

  • @sideside4903
    @sideside4903 3 роки тому +1

    baba anaonekana anahasira sana yani mpaka anachapiapia ilakiukweli inauma sana

  • @adenmvande2625
    @adenmvande2625 3 роки тому +1

    Uyo.nae.anatakiwa.naeande.lokapo.kwasababu.ame2potezea.kijanawe2

  • @tumaaclassic9035
    @tumaaclassic9035 3 роки тому +8

    Huyo msichana afungwe pamoja na wazazi wake

  • @pascaldonati2219
    @pascaldonati2219 3 роки тому +1

    Dah Ndio Bongo hii kuwa mpole

  • @systibundala4403
    @systibundala4403 3 роки тому +1

    Wanang tuczoeana na vbnt vya scul unaweza pewa mzgo Co wako

  • @omaryjuma8002
    @omaryjuma8002 3 роки тому

    Watu wengi wapo jela kwa chuki za watu kisa watu ao wanajuana na watu wakubwa hee mungu tusaidie

  • @sengolupeja4718
    @sengolupeja4718 2 роки тому

    Kwanza afuatwe hakimu Kwa nini alikataa kipimo Cha DNN? Kama sio rushwa hiyo?

  • @separatebetres5315
    @separatebetres5315 3 роки тому +1

    DNA haikupimwa hakimu amefanya kinyume na TARATIBU kazi take kwanza atumbuliwe kabisaaa

  • @nassoronassoro5784
    @nassoronassoro5784 3 роки тому +2

    Daaaah

  • @mariambeautysonghuseni9549
    @mariambeautysonghuseni9549 3 роки тому

    wengi mnafungwa bila kosa niaibu sana kumuhukumu mtu bila kosa na kwamsingizia

  • @gracesolomon7667
    @gracesolomon7667 3 роки тому +3

    Tamuuuu😂😂😂😂😂😂😂

  • @humaidalnaamani4183
    @humaidalnaamani4183 3 роки тому +2

    Duu hakim mlahongo hii ya hitajika afunguliwe kesi yy na baba ya binti ametowa hongo na hakimu kapokee huyu hana haki kuendelea kuwa hakimu

  • @NancyMwaibula7634
    @NancyMwaibula7634 3 роки тому

    Jaman kijana huyo mwee Mungu muone kumba jela watu wanaonewa unakuta kijana wa watu anatoka anamaradhi kashayapata huko daah

  • @johnmbegu3361
    @johnmbegu3361 3 роки тому

    Kuna watu wanasota jela bila hatia na kuna wahalifu watamba uraiani bila kujulikana,yote ni kwa sababu hukumu na haki ya kweli awezae kutoa ni Mungu pekee,mwanadamu hutumia hisia na dhana ila Mungu anayo majibu na ninaamini kama kweli huyu kijana hajahusika na swala hili kwa njia yoyote ile basi mwenye haki Mungu humtetea.

  • @manyotamanyota5405
    @manyotamanyota5405 3 роки тому

    Nyie washirika au watowa comment humu leo tutanua samani ya msani best nasso aliimba nyimbo wanawake wabaya ndo nimeamini anathitahili tuzo best nasso

  • @mussambwilo2536
    @mussambwilo2536 3 роки тому

    so sad😡

  • @mwakimedia
    @mwakimedia 3 роки тому +2

    Inauma dah anakula mwingine afu jela anaingie asie na hatia

  • @queenlinda255
    @queenlinda255 3 роки тому +5

    Kwaiyo ww ulianza ngono zembe mapema , inabidi na ww upewe azabu sababu umeidanganya serekali

  • @BONGO_FILAMU
    @BONGO_FILAMU 3 роки тому

    Waandishi wote niliowafuatilia hakuna anayemuhoji baba mzazi wa binti au kuuliza yuko WAP au anasema nini baada ya binti kueleza ukweli ...Naungana na Serikali WAANDISHI WA HABARI WAKASOME

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 3 роки тому

    Kesi ifuatiliwe kuanzia mwanzo na hao mahakimu waliohusika kutoa hukumu bila kudhibitisha ushahidi sukuma ndani wao ndo chanzo maana huyo binti angefinywa vizuri amtaja muhuaika bila kushinikizwa na wazazi kutaja mtu asiyehusika

  • @danieljoseph1610
    @danieljoseph1610 3 роки тому

    Huyo dada dhambi yakusingizia imemwandama sana! Dhambi ni kitu mbaya sana! Hadi ameamua kujitokeza mwenyewe! Lakini mbona kisheria ukimpa ujauzito mwanafunzi kifungo chake ni miaka30? Ilikuaje hio 60 kwa Tumaini? Kama mimi ndo mzazi wa huyo binti! Nisingemsamehe huyu mtoto milele na milele! Hata kama nimemzaa ningempiga potelea mbali!

  • @deborahlusenga3574
    @deborahlusenga3574 3 роки тому

    Kwa hayo maelezo inaonesha wazi wazazi wa Maria walimlazimisha binti yao atoe ushahidi wa uongo. Wazazi wa Maria, Maria mwenyewe na hakimu aliyehukumu pasipo ushahidi wa DNA wahukumiwe kwa kumfunga mtu kwa uonevu.

  • @lufufumkudesimba6244
    @lufufumkudesimba6244 3 роки тому +1

    Da sio poa kabisa uuwaji uo

  • @ashourahsaleh8958
    @ashourahsaleh8958 3 роки тому +2

    Hakika dhulma haidumu walioshirk woote kwa uongo huu hakika mungu atawaadhibu

  • @agnestemba8079
    @agnestemba8079 3 роки тому +1

    Basi wengi wamefungwa kwa makosa sio yao

  • @separatebetres5315
    @separatebetres5315 3 роки тому +1

    Rais mtetezi wa mwanyonge Bora aingilie Kati

  • @hisanmwakijungu10
    @hisanmwakijungu10 3 роки тому +1

    Natamani nimuone uyo hakimu nimkoe makwenzi

  • @abdalahabdalah7853
    @abdalahabdalah7853 3 роки тому +1

    mawakili wasomi muda wenu wa kukuza majina na kutengeneza njia na kutenda haki ndio huu

  • @jostamzxkaole3113
    @jostamzxkaole3113 3 роки тому

    MINAzan kwa anaejaza mimba akabiziwe .. kulea apewe na adhabu za kuhudumia .. sio kufungwa ayo kufungwa siosawa😢😢😓
    SASA KIFUNGO MIAKA60 si bora kufa😬😬 mbona MNAZIFUNGIA NDANI NDOTO Zavijana

  • @buharimwanga284
    @buharimwanga284 3 роки тому +2

    huyu dada skumjua tu haki kanifungia mdogo wangu wallah

    • @queensakinaqueensakina441
      @queensakinaqueensakina441 3 роки тому

      Poleeni saana

    • @NancyMwaibula7634
      @NancyMwaibula7634 3 роки тому

      Pole sana jaman atatoka lakini

    • @debosstv43
      @debosstv43 3 роки тому

      Poleni sana kaka

    • @jackyluns8224
      @jackyluns8224 3 роки тому

      Polee sana Buhari ndo mfatilie hiyo rufaa umsaidie baba wa kijana

    • @jackyluns8224
      @jackyluns8224 3 роки тому

      Jaman buhari kumbe mama wa frank alishafariki duuu mpaka nimelia sana yaan sana natambua Rais wetu wa wanyonge aisikie hii ili kijana amtoe awe huru

  • @ezekielydaniel40
    @ezekielydaniel40 3 роки тому +2

    Mbn uyu binti kigeugeu

  • @minazsaid2470
    @minazsaid2470 3 роки тому

    Unafungwa bila hatia hakimu anakata miaka bila vipimo vya uhakika una muharibia mtu maisha hivi hivi

  • @separatebetres5315
    @separatebetres5315 3 роки тому +1

    Sawa huyo binti naye ahukumiwe tu kwa kusema uongo

  • @iddimgombero6853
    @iddimgombero6853 3 роки тому

    Hakimu nae aende jela kma n kutamu kwa nn alikataaa kuwapima DNA he angekuwa mwanae angejisikiaje?

  • @kenedykatarama3966
    @kenedykatarama3966 3 роки тому

    Naona sasa serikali imefika mahali pakuipitia hii sheria Kama inakizi vigezo kwa sababu sheria hipo je matukio ymepungua au yameongezeka na Kama yameongezeka je sheria hii inafaa kuendelea? Je suruhisho ni nn maana mtoto kukosa mzazi mojawapo je hatuoni hii inazalisha labda watoto wa mitaani sikatai kuwa sheria isiwepo ila nashauli wataaramu wa sheria kuipitia ili kuangalia mapungufu narudi hii sheria bado imeshindwa kua muarobaini wa ili tatizo

  • @twalibuchilumbe7751
    @twalibuchilumbe7751 3 роки тому

    Awa wanazambi sana aise tunabebeshwa kesi sio zetu duh

  • @hamidmweusiii35
    @hamidmweusiii35 2 роки тому

    Huyu dada mpumbvu kwel Yaan alofny nae mapenz anamjua kisha anasema kipnd icho alikuw hajawa na akili wkt alitmbea na mwanamme heee Mungu anamsbri huyu dada

  • @aisharamadhani9438
    @aisharamadhani9438 3 роки тому +2

    Wakate rufaa

  • @chifunyomboke3737
    @chifunyomboke3737 3 роки тому

    Hiyo mimba naimani ya huyohuyo dogo aliyofungwa naimani wanamuonea hulumatyu,,,kwanini binti akubali kwenda D,n,a, na kusema hata mtoto alipo zaliwa hajafanananae,,,moja kwa moja Ni binti anaonyesha alidet nae,,,,tuache sheria ifanyekazi,,,hila hakimu alikosea kuwanyima vinasaba

  • @mwatelaedward1638
    @mwatelaedward1638 3 роки тому

    Miaka 60 kweli kwani ni kesi ya ugaidi watu wanaiba mali za serikali na hawafungwi Miaka mingi namna hiyo