NONDO ZA BITEKO MBELE YA TUNDU LISSU, 'TUVUMILIANE NA KUHESHIMIANA KAMA WATANZANIA'

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 33

  • @ChoroTesla
    @ChoroTesla Місяць тому +8

    Hata km mnafanya kwa makusudi " yani watu watekwe afu tuvumilie come on mtanzania mmoja ana thamani kuliko V8 unless km Mtz hana thamani only tycoons ndo wanathamini

  • @KassimHanga-xr7rb
    @KassimHanga-xr7rb Місяць тому +2

    Umeongea safi sana ❤

  • @siamollel6051
    @siamollel6051 Місяць тому +1

    Huju baba ni Mbaya,,Hana uchungu na maisha ya wengine,,Anataka kuheshimiwa tu

  • @nkwazigatsha
    @nkwazigatsha Місяць тому +1

    Cheo cha Bitiko ni haramu. Hakiko kwenye katiba na hakina faida kwa taifa bali kwa rahis aliyiyemteua kutaka amtumie kupata kura za watu wa Magufuli.

  • @MickyMgeri
    @MickyMgeri Місяць тому +2

    Wanafiki ktk ubora wao.

  • @WilliamNyanginywa
    @WilliamNyanginywa Місяць тому +3

    Mh rais samia mm naona kuna haja ya Kuunda serikali ya pamoja kama ukuu wa wilaya wapewe na uwaziri pamoja na nafasi za ukuu wa mkoa wenda watatulia hawa wapizani kwamaana wanakuwa wakorofi mno wenda watatulia mama wana njaa

    • @kingmwaxoh6420
      @kingmwaxoh6420 Місяць тому

      una njaa wewe na nduguzo

    • @upendoeliya9329
      @upendoeliya9329 Місяць тому

      None sense!! Yaani nyie wanachama wa CCM hamna mawazo yenye tija hta kidogo. Na tatizo lenu tunazijua ni SHULE ndogo na NJAA KALI ndio maana mnaishia kujipendekeza kwa Viongozi
      Machawa hawana hoja. 😮

    • @Mosmwampa
      @Mosmwampa Місяць тому

      Haya ndio mawazo ya watanzania, inawezekana ni makusudi au ni ujinga unamsumbua

    • @zebedayokatamaduni9676
      @zebedayokatamaduni9676 Місяць тому

      Siyo njaa ni ubinafsi ulio wajaa mioyoni mwao wana ccm. Ndiyo maana wamejaa dharau na kiburi. Ubinafsi tu.

  • @jedidahbintidaudi8241
    @jedidahbintidaudi8241 Місяць тому +1

    sie tungetaka nchi yetu kuingia mikataba isiyo na tija na hata watu kutekwa

  • @robertphilip385
    @robertphilip385 Місяць тому +1

    Huyu jamaa alihusika na uzulumaji mkubwa wa wafanyakazi wa Tanzanite one wafanyakazi wanateseka mpaka wa Leo wanahangaika mpaka waleo lkn yeye anaona nisawatu Wala hajali

  • @EmmanuelChrispin-bo5xh
    @EmmanuelChrispin-bo5xh Місяць тому +1

    Boss shida watu wanakata moto

  • @fadhilikyandofadhilikyando5666
    @fadhilikyandofadhilikyando5666 Місяць тому

    biteko sijakulew unachoongea kemea watu kutekwa watu kupotea vyombo vya ulinzi tunavyo lakini watu wanatekwa na kuuliw hii syo sifa ya nchi yetuu

  • @EliaHiluka
    @EliaHiluka Місяць тому +2

    Maneno hayo sio m 0:45 epesi kwa alifanyiwa mabaya

  • @Missionary_work
    @Missionary_work Місяць тому +2

    😮utejqji na mauaji yatakoma. Au yanaendelea...? Unaweza unauliwa ndugu yako kisha uvumilie wakati nguvu na akili za kulipa kisasi unazo. Hebu tuje na njia mbadala kulimaliza hili.

  • @emmanuelsunday8325
    @emmanuelsunday8325 Місяць тому +1

    Nondo gani hamna nondo hapo

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ Місяць тому +3

    Mwambie Lissu atutaki matusi wala kugawa watu kwa ukabila au ukanda, tunaipenda Nchi yetu saaaana na hatupendi mtu atuharibie, yeye atoe sera za chama chake tu tumsikilize

    • @zebedayokatamaduni9676
      @zebedayokatamaduni9676 Місяць тому

      Wale wana ccm wanao tukana watanzania na kujigamba mambo ya porini, polisi msiwatafute, kile kikosi cha chinja chinja na watekaji na wauaji na Tundu Lisu ni nani anaye tuharibia nchi kati ya hao?

    • @Azikiwe-qi6jd
      @Azikiwe-qi6jd Місяць тому

      Sasa unategemea anyamaze, huku wakiendelea kuuwawa? Wanapiga kelele kwasababu wana uawa , mnataka wafanyaje jameni, wasiseme kuwa wanauawa? Ndugu yangua hata kama ni uchawa basi hata ile roho ya kibinadamu ituingie, katika uchawa wako sio vibaya pia kutenda haki, huyu lissu unamuongelea alinusurika kufa kwa risasi16, na hakuna upelelezi wowote uliofanyika hakuna yeyote aliyetiwa ndani ingekuwa wewe, ungelichukuliaje swala hili. FANYENI UCHAWA MKIKUMBUKA KUNA WATU WENGINE PIA WANA HAKI YA KUISHI BANA

  • @mbecheterombeche3375
    @mbecheterombeche3375 Місяць тому +1

    Tundu Lissu CCM nini?

  • @OmmyJames-xn7ji
    @OmmyJames-xn7ji Місяць тому

    SACCOOS WAMECHEMSHA 😢😢😢

  • @healingclinic698
    @healingclinic698 Місяць тому

    Mbona nyie hamna upendo Kwa Watanzania ?

  • @evelina9621
    @evelina9621 Місяць тому

    Mnapeyana.vyeo.

  • @BarakaOchuu
    @BarakaOchuu Місяць тому

    Achen kuona watu ni mbwa

  • @victorburetta2972
    @victorburetta2972 Місяць тому

    🙏🙏

  • @Oboss_billharvester
    @Oboss_billharvester Місяць тому

    Sisi hatutaki porojo tunataka haki na kulindana, viongozi mmefumbia uovu macho!!!!!?,

  • @emmanuelowoya2903
    @emmanuelowoya2903 Місяць тому +2

    👏👏👏👏👏

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 Місяць тому

    Mnaua watu halafu mnawashauri wavumilie