huyu Nasir khalfan anataka recognition tu ila anachobisha ni ujinga na mwenyewe anajua, Momo anaongea ukweli Azam walikua vizuri na bado anashindwa mbele ya Yanga mbovu na mbele ya simba mbovu msimu ulioisha
Maji na Mafuta msimu huu,yataanza kujitenga toka siku ya name nane (08/08) " malamiko ya kikosi hakuna chemistry yataanzia hapo na mipango ya msimu ujao "
Huyo anafirwa
Hyu anafirwa
Ilo jamaa linalobisha fala kweli sijui linabisha nini sasa 😂
Utakuja ruka maneno yako baada ya kuiona coastal union zidi ya Azam mwatuzarau Sana nyie wasafi Ila mnakuja Tupa heshima yetu Wacha ligi iyanze
huyu Nasir khalfan anataka recognition tu ila anachobisha ni ujinga na mwenyewe anajua, Momo anaongea ukweli Azam walikua vizuri na bado anashindwa mbele ya Yanga mbovu na mbele ya simba mbovu msimu ulioisha
Uyo jamaa anabisha nini na ukweli uko wazi bongo timu ni mbili tu
Wakwanza Leo ,wengine ni Nyongeza 😂Momo unachekesha
Momo upo sahihi sana hao wengine wanaleta ubishi usio na tija
Huyo mwarabu anabisha tuu kwani kubisha wachambuzi ni msingi wenu
Azam iliyokuwa bora kwenye confederation cup wameishia knock out stage ila simba mbovu kwenye CAF wameishia robo finally, Momo is simply stupid
Momo anaongea ukweli
Sisi coastal Union tumemaliza nafasi 4 kinachofata twataka kombe Na hamna linaloshindkana
Simba mechi za mwisho ilijitahixi na uchovu wao chini ya kocha mgunda.itakuwa bora tu
Momo uko sawa!
🔥
Momo waambie hao ni msimu gani ambao azam hajafanya usajil wa kutisha kila msim huwa wanasajil vizur lkn mwisho wake wanakuwa wapi
Ikifika mechi ya 16...wanaanza mipango ya mwakani 😂😂😂
Ikifika mechi ya 16 tu wanaanza mipango ya mwakani maana mwaka huu washafeli
Maji na Mafuta msimu huu,yataanza kujitenga toka siku ya name nane (08/08) " malamiko ya kikosi hakuna chemistry yataanzia hapo na mipango ya msimu ujao "
Simba alishachukua ngao hyo sio sababu
Umeongea point momo😂
Azam hachukui kitu,Wachambuzi Msitulishe Maneno yenu na Sisi tunajua Mpira natunaona Wenyewe.
Azam anashangaza vp watu wkt kapigwa 4 na Wydad mbovu?
Nakubali AZAM itashangaza msimu huu.
Naona umenisikiza umenyoa rasi😊😊😊😊
Kajiskia kunyoa,akusikilize wewe mkewe au?
Wewe mpira ujui wabebwa2 wachie wachambuzi wafanye kazi yao
Nenda kawasikilize wachambuzi wako sasa shida n wachambuzi ambao hawajui mpira.
Save maneno yko hyo we momo
Yanga hawi bingwa msimu ujao. Msijipe tabu... Ubaya ubwela...
Ww bingwa kwa timu ipi tema mate chini kwa vijeba ambao unawaita watoto😅😅😅
Kwani @@AjiaMohamed-rt5pbnimetaja timu itakayokuwa bingwa!?
Huu ni mwaka wa AZAM acheni dharau
Huyu anafirwa alisema Azam ya 3 na imekaa wa pili
Matusi Sasa kha!
Semeni wazi tu Simba Na Yanga wanafitina za kila Aina hakuna kitu hawafanyi kupata point tatu