MWENYEKITI WA MGUSU MINES CO-OPERATIVE AKEMEA MIGOGORO MIONGONI MWA WANACHAMA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 січ 2025
  • Mwenyekiti wa Chama cha Ushirika wa Wachimbaji Wadogo wa Mgusu Mines Co-operative, Masabile Modest, amelaani vikali tabia ya baadhi ya wanachama kuendeleza migogoro isiyo ya lazima, ambayo imesababisha kukwamisha malengo ya maendeleo ya chama hicho.
    Akizungumza katika Mkutano Mkuu wa Wanachama, Modest alisema kuwa migogoro hiyo imekuwa ikikwamisha juhudi za ushirika kufanikisha mipango ya maendeleo na badala yake kusababisha chama kurudi nyuma.

КОМЕНТАРІ •