Mara nyingi niliongea na watu kutoka nchi zingine na walielewa, kile nilichosema na walisema, kwamba ninazungumza lugha vizuri sana. Ninapenda kuzungumza na watu kutoka nchi zingine, na napenda kuwasaidia kujifunza Kijerumani. Is this correct written? I love this language! 🇰🇪 Thank you! Greetings from Germany.🇩🇪
Well appreciated❤
Masha Allah Asante sana mwalimu wetu karibu Sana
Asante sana 🙏🙏🙏
Asante Sana
I appreciate it
Thank you so much
Thanks ❤
Shuleni means to school?
Does kiswahili have the triade of movement as intended in Hungarian?
Yes... from/to/at
NINAPENDA KUSOMA NAWE KILA SIKU.
Najaribu kujifunza Kiswahili kidogo kila siku😅
Mara nyingi niliongea na watu kutoka nchi zingine na walielewa, kile nilichosema na walisema, kwamba ninazungumza lugha vizuri sana.
Ninapenda kuzungumza na watu kutoka nchi zingine, na napenda kuwasaidia kujifunza Kijerumani.
Is this correct written? I love this language! 🇰🇪
Thank you!
Greetings from Germany.🇩🇪
Ni kweli kabisa... Hongera sana 👏👏👏