UTAPENDWA NA MATAJIRI NA WENYE PESA PEKEE.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 240

  • @ruthntimwa5578
    @ruthntimwa5578 7 місяців тому +11

    Asante kipenzi nafatilia sana mafundisho yako kwanza ile tuu ya mkono imeweza badirisha maisha yangu.mana nilikua kero kwa watu sasa nakubarika kira srhemu

    • @tabibulois
      @tabibulois  7 місяців тому +1

      Ameen nimefurahi sana

    • @Albert-p4y
      @Albert-p4y 2 дні тому

      Ikojeiyo ya mkono bibie

  • @IreneeAnod
    @IreneeAnod 7 місяців тому +3

    Mungu akupe maisha marefuuuuu sana sina cha kulipaa❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @BRICSJIPING
    @BRICSJIPING Місяць тому +1

    Thanks dada kwa haya mafunzo yote nashukuru sana mimi nakufatilia kutoka Uganda lakini swali langu ni ,ukiwa wataka kujisafisha mwili wako like tuseme kuna tabia mbaya kwa familiar ambao inafata watoto na wachukuu wafanya aje

  • @piliramadan875
    @piliramadan875 День тому

    Aisee nafatilia sana kipindi chako upo vizuri sana dadate wangu kipenzi

  • @jenipherkimaro1096
    @jenipherkimaro1096 Рік тому +4

    Dada Mungu akubariki sana sana
    Ninatamani niongeze na wewe kwenye simu unielekeze zaidi

  • @GraceKemunto-ki2rp
    @GraceKemunto-ki2rp 7 місяців тому +1

    Nashukuru sana dada Lois umenifundisha nilikua jini na ni mwezi Moja but nimebadilika nashukuru

  • @EMELDALUNGUJA
    @EMELDALUNGUJA 25 днів тому

    Mungu akubarik dada

  • @MupendaNadine
    @MupendaNadine Місяць тому +2

    ❤❤miminaombadawaya kupunguza unene

  • @AnneNdabila-uv2qh
    @AnneNdabila-uv2qh 4 місяці тому +1

    Dada Asante sana nakupenda dada yangu, pia wazaz wako wabarikiwe maana wew ni jiniaz

    • @tabibulois
      @tabibulois  4 місяці тому

      Asante sana mpendwa nakupenda pia zaidi ❣️❣️

  • @mashiassenga8849
    @mashiassenga8849 Рік тому +3

    Asante mama God bless you

  • @UniqueUnikk
    @UniqueUnikk Місяць тому

    Mungu akubariki sana mama

  • @PiliRaphael-f8b
    @PiliRaphael-f8b 10 місяців тому +2

    Mungu. Akubariki. Sana. Dd.

  • @tonnydrezzy
    @tonnydrezzy Рік тому +6

    Sante dada nimeipenda hiyoo

  • @fadhilieshaismail9923
    @fadhilieshaismail9923 3 місяці тому +1

    Mungu akubariki sana ddaa uko vizuri sanaa

    • @tabibulois
      @tabibulois  3 місяці тому

      @@fadhilieshaismail9923 karibu ❣️

  • @SalimMwinyikombo
    @SalimMwinyikombo Рік тому +2

    Da Lois mungu akupe umri mrefu ili uwezekutufunguwa sisi tuliofugwa

  • @saluShop-jm5ku
    @saluShop-jm5ku 4 місяці тому +1

    Asante anty napenda mafundisho yako

  • @wardamohamood
    @wardamohamood Рік тому +2

    Mungu akubarik dada nimejifunz mengi sijui nilichelewa wapiii mm😢

    • @tabibulois
      @tabibulois  Рік тому

      Asante sana mpendwa 🙏

    • @tabutabu8900
      @tabutabu8900 День тому

      No yako please my dada❤​@@tabibulois

    • @tabibulois
      @tabibulois  День тому

      @@tabutabu8900 +255 622 074085

  • @AdventinaStaricko
    @AdventinaStaricko 7 місяців тому +1

    Asant dad

  • @GabrielMwemedi
    @GabrielMwemedi Рік тому +2

    mungu akubariki kwa kutusaidiya dada

  • @piliramadan875
    @piliramadan875 День тому

    Asant tabibu rois

  • @mumtazsalim5455
    @mumtazsalim5455 Місяць тому

    Mungu akutunze

  • @florencemakanda7946
    @florencemakanda7946 Рік тому +2

    Je ukiwa kazini dadangu nielimishe.asante

    • @akamaitechnologies846
      @akamaitechnologies846 Рік тому

      Nikiwa kazini kuongezwa pesa

    • @angelenizigiyimana7052
      @angelenizigiyimana7052 Рік тому +1

      Dadayagumiye nagufatiriyasana nikobujumbura nakuwomba unitumiyeniro yako utakuwa umenisayidi yawasapu napedakipidicako asate mugu akumbariki

  • @NaomiCharles-sh8yg
    @NaomiCharles-sh8yg 4 місяці тому

    My mm nataka nimfanyie mmewang hamin et nixaidie dada ang 😅

  • @SalmaKitinde
    @SalmaKitinde 7 місяців тому

    Asante dada

  • @chantalmulasi5663
    @chantalmulasi5663 9 місяців тому +3

    Swali langu wewe una tumiaga ivyo? Nakama una tumiaga ivyo kwanini hauja pata tajiri mwenye pesa nyingi ili uache kuuza ayo mambo ?

    • @magretomondi8312
      @magretomondi8312 8 місяців тому +1

      kwani waishi naye ndo umuulize swali kama hiyo?
      Duuh wanadamu banaa

    • @munamuna4621
      @munamuna4621 8 місяців тому

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂umeogea points saaan😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤upewe maua yako

    • @FeythKivuyo
      @FeythKivuyo 2 місяці тому

      Wewe kama ujafanikiwa na uwezi kufanya acha maneno ya shombo ulishawai ona wap mganga akajinganga

    • @chantalmulasi5663
      @chantalmulasi5663 2 місяці тому

      @FeythKivuyo comme ya miezi saba( 7) leo ndo una kuja kuni replied? Kweli una stress 😩 zakukosa buddle pole mwaya

  • @queenandchill91
    @queenandchill91 Рік тому +3

    CINNAMON in English
    CANNELLE in French
    MDALASINI in Swahili

    • @tabibulois
      @tabibulois  Рік тому +1

      Asante sana 🙏

    • @carolineachieng2968
      @carolineachieng2968 11 місяців тому

      My dear thank so much for helping me god bless you 🙏🙏💕💕

    • @tabibulois
      @tabibulois  11 місяців тому

      @@carolineachieng2968 Asante Sana 🙏

    • @vevevechou-yu5gk
      @vevevechou-yu5gk 9 місяців тому

      ni amdalasini ya maandazi ao?

    • @tabibulois
      @tabibulois  9 місяців тому

      @@vevevechou-yu5gk ndiyo

  • @BarackOdera
    @BarackOdera 16 днів тому

    Hiyo ni unga aina gani

  • @AishaMugisha
    @AishaMugisha 11 місяців тому

    Sisi hatujuii kiswahili Mama unga wa mudarasini njonini??

    • @tabibulois
      @tabibulois  11 місяців тому

      Cinnamon Ipo supermarket

  • @PendoFrank-z9n
    @PendoFrank-z9n 26 днів тому

    naomba namba yako unisaidie dawa yamadondo yatumbo

    • @tabibulois
      @tabibulois  26 днів тому

      @@PendoFrank-z9n
      +255 622 074 085

  • @GRACEKERORO
    @GRACEKERORO 11 місяців тому +1

    Tunapa wapi mtalazini

    • @tabibulois
      @tabibulois  11 місяців тому

      Cinnamon powder Iko supermarket au sokoni

  • @NassirNassir-n9w
    @NassirNassir-n9w Рік тому +1

    Dada mimi mjamzito vp inaweza kufanya kazi kweli

  • @BeatriceMrema-v2d
    @BeatriceMrema-v2d 5 місяців тому

    Dada Aste Ile yamkojo umenisaidia mpenz

  • @PiliRaphael-f8b
    @PiliRaphael-f8b 10 місяців тому

    Asante. Sana. Dada. Kasomo. Hili

  • @SophiaNgangale-lz3qo
    @SophiaNgangale-lz3qo Рік тому +2

    Nimeipenda sana hiyo

  • @SumahiliBasilwangoDidas
    @SumahiliBasilwangoDidas 11 місяців тому +1

    Nilikuwa nauliza, iyo munarasini mtu anaweza kuipata wapi?

    • @tabibulois
      @tabibulois  11 місяців тому

      Nenda supermarket au sokoni uliza cinnamon

  • @florencemakanda7946
    @florencemakanda7946 Рік тому +4

    Mimi nafurahi kukufatilia sababu naona unatujali mwenyezi MUNGU akujalue heri uzidi kutuelimisha🙏

    • @HabibaAbduli
      @HabibaAbduli 11 місяців тому

      dada naflahi sana mafundisho yako unarikiwe

  • @AnnaMshanga-l5r
    @AnnaMshanga-l5r Місяць тому

    Asante mama

  • @BhokeShilangalila
    @BhokeShilangalila 10 місяців тому

    Mungu akusaidie

  • @febronierirabakina1000
    @febronierirabakina1000 6 місяців тому +1

    Naomba kuriza midarasani nini?

  • @rahatmontana2862
    @rahatmontana2862 Рік тому +3

    Wise women..

  • @deborakasambula7431
    @deborakasambula7431 Рік тому +1

    Mungu akubariki dada lois

  • @lizanyango842
    @lizanyango842 Рік тому +2

    Mdalasili ni cinnamon??

  • @AnnociateKaneza
    @AnnociateKaneza 8 місяців тому

    Ungawamudarasin niungagan Mimi nikoburundi sijaerew wungawamudarasin

    • @IrakozeFuraha-n5f
      @IrakozeFuraha-n5f 8 місяців тому

      Nenda kwa siyoni fasi wanauzisha ma biungo vya pilao useme unga wa mudalasiini utapata ni efu tano

    • @RoseOdilo
      @RoseOdilo 5 місяців тому

      Cinnamon

  • @SaumuSarai-u6y
    @SaumuSarai-u6y 8 місяців тому

    Naomb namb yak❤

  • @NdahiroMarcus
    @NdahiroMarcus 11 місяців тому +1

    Mdalasini sifahamu dada ni nini?

    • @merymahu4500
      @merymahu4500 10 місяців тому

      Nenda sokoni utajua tu iko yaunga na kuna ya magome

  • @MerryAbednego
    @MerryAbednego Місяць тому

    Unapatikana wapi

    • @tabibulois
      @tabibulois  Місяць тому

      @@MerryAbednego mwanza na kahama

  • @JACKCHILAS
    @JACKCHILAS 9 місяців тому +1

    Aminaaa

  • @StellaMusavi
    @StellaMusavi Рік тому +1

    Sisi kwendu hakuna chuvi ya mudo,Naweza kutumia yenyote?

  • @KaarieNaomi
    @KaarieNaomi Рік тому

    Naomba namba yako

  • @JoyceOkongo-n7k
    @JoyceOkongo-n7k 11 місяців тому

    Nakupenda bure

  • @Pecos-n6h
    @Pecos-n6h 10 місяців тому +1

    ❤mudalasini ndo nini mama kiswahili engine

    • @tabibulois
      @tabibulois  10 місяців тому

      Kwa English ni cinnamon powder

  • @JoyBosco-h3h
    @JoyBosco-h3h 26 днів тому

    Unapatikan wp

  • @linahtalian1277
    @linahtalian1277 Рік тому +2

    From kenya

  • @LaureneKyamuhotire-ph7mi
    @LaureneKyamuhotire-ph7mi 10 місяців тому

    Swali yangu hii: ii dawa haiko kwa muda tu?

  • @BenardMasereka
    @BenardMasereka 10 місяців тому

    Atlist video vyako mama nifupi

  • @Jecintamaina-qs5oq
    @Jecintamaina-qs5oq 11 місяців тому +1

    Hiyo unnga ni gani

  • @JanethThomas-f7e
    @JanethThomas-f7e 3 місяці тому +1

    Dada naomba namba zako

  • @EmmanuelPaul-iq2wr
    @EmmanuelPaul-iq2wr 3 місяці тому +1

    Uko wwpi namba

    • @tabibulois
      @tabibulois  3 місяці тому

      @@EmmanuelPaul-iq2wr +255622074085

  • @SwaleheChege-ss5lc
    @SwaleheChege-ss5lc Рік тому +1

    Dada nomba jibu hii nguvu ya universal utajuta je uko nayo kwa mwili wako?

  • @Carmelikizakubuntu-uy8cc
    @Carmelikizakubuntu-uy8cc 9 місяців тому

    asnte sana

  • @AmerdaKavishe-pu3cf
    @AmerdaKavishe-pu3cf 4 місяці тому +1

    Dunia zima inakutizama umasikini unamanisha kwaeri kila mmoja atapaka

  • @AmossMidaho
    @AmossMidaho 27 днів тому

    Asate

  • @ABUUALLY-tv8rl
    @ABUUALLY-tv8rl 10 місяців тому +1

    😂😂😂😂😂 acha uwongoo wewe dada 😂 unatk kutajirishwa na you tube maana unakula MB za watu tu 😂😂😂 ili ujipatie pesa

  • @AminaSeleman-ml3lr
    @AminaSeleman-ml3lr Рік тому

    Naomba no yako

  • @saidamwavuo9926
    @saidamwavuo9926 3 місяці тому +1

    Naomba uitume ile ya kuongea mukojo wa asubuhi kiondoa uchawi na majini mm niko na nayo

    • @tabibulois
      @tabibulois  3 місяці тому

      @@saidamwavuo9926 utanipigia

  • @vanigidenise18
    @vanigidenise18 4 місяці тому

    mudalasini nzoo nini?

  • @FabioraMdendemi
    @FabioraMdendemi Рік тому

    Asante dada nimekuelewa vilivyo

  • @lifeinmiddleeast8179
    @lifeinmiddleeast8179 Рік тому

    Dada mi nauliza kuogea mkojo na chumvi na kitunguu swaum inasababisha vitu kama dam kutoka ghafla yani kama hedhi lakin siyo rasmi inatoka kama kamba kamba na kukata

  • @edouigeassani
    @edouigeassani Рік тому

    Mdarasini ndjo unga gani? dada kwa swahihi ya Kwetu congo

    • @queenandchill91
      @queenandchill91 Рік тому

      CINNAMON in english
      CANNELLE in French
      MDALASINI in Swahili

  • @hellengitahi8837
    @hellengitahi8837 4 місяці тому +2

    Asante

  • @bahatimlunza8499
    @bahatimlunza8499 Рік тому +2

    Sasa sisi tunaofanya kazi za ndani je tunawezaje kutumia jamani

  • @Tobiasrioba
    @Tobiasrioba 8 місяців тому

    Dawa ya kubeti

  • @TabuDanielKisongo
    @TabuDanielKisongo 5 місяців тому +1

    ❤❤❤

  • @GeremiComerca
    @GeremiComerca 4 місяці тому

    Mudarasini Nini kwa kiswahili ya kinieji

  • @eunicemusalia3268
    @eunicemusalia3268 Рік тому +2

    Asate kwawazu Hilo

  • @merymahu4500
    @merymahu4500 10 місяців тому

    Asante sana

  • @bertinaafonsorapaz8345
    @bertinaafonsorapaz8345 Рік тому +5

    Watu wenye ukwasu...nimelipenda Hilo neno

  • @djgthehotstepper
    @djgthehotstepper 9 місяців тому

    Hello tabi , napenda sana kukufatilia. Nahitaji kufanya remedy yako lkn mimi ni muislam. Sasa hii sheria ya siri kuvu za kiza haitaniathiri?

    • @Jamila96_juma
      @Jamila96_juma 9 місяців тому

      Haichagui dini na haiharibu dini ya mtu

    • @djgthehotstepper
      @djgthehotstepper 9 місяців тому

      @@Jamila96_juma tayari nishafanya na nmeona miujiza tayari

  • @celestinewesonga8203
    @celestinewesonga8203 Рік тому +1

    Mdalasili ni nini mama

  • @WildoMsigwa
    @WildoMsigwa 4 місяці тому +1

    mdarasini wa aina gani dada

  • @NinaNshimirimana
    @NinaNshimirimana 8 місяців тому

    Nip namba Yako dada

  • @AlexisNsengiy
    @AlexisNsengiy 10 місяців тому

    Nashukuru saaanaa

  • @RemtahNanzala
    @RemtahNanzala 4 місяці тому

    Unga wa mtarasini ni gani dada

  • @mercygali
    @mercygali Рік тому +1

    Novela ndio dua gani dadang maana mm siijui na nko na shda sana

    • @queenandchill91
      @queenandchill91 Рік тому +2

      NOVENA ni neno linalotokana na neno la kilatin " Novem" maana yake ni " Tisa". Novena ni mfulululizo wa sala kwa siku 9 tu. Ndani ya hizi siku 9 unafunga na kuombea yale unayotaka Mwenyezi Mungu akutendee kwa Imani sio kujaribisha. Ni Sala yenye nguvu sana. Kama ni Mkristo Mkatoliki anaelewa zaidi juu ya Novena.

  • @AncyMerci-un2nu
    @AncyMerci-un2nu Рік тому

    Asa Mimi sidjui mdarasini ni unga gani please nioneshe

  • @etiennembonyinshuti8452
    @etiennembonyinshuti8452 10 місяців тому

    Mudarasini nikitugani

  • @DocaJohn-ry4og
    @DocaJohn-ry4og Рік тому

    Amina kwakwel

  • @irenekanini9431
    @irenekanini9431 8 місяців тому

    Nanikitumia kuogea mkojo

  • @DorcasKangai-im4xb
    @DorcasKangai-im4xb 3 місяці тому

    Mdarazini ni nini kwa kingeleza

  • @AnnaKosta-e1v
    @AnnaKosta-e1v 4 місяці тому +4

    Nataka biashara yangu iwe na mvuto wateja walale kila siku

  • @wardarahma3297
    @wardarahma3297 Рік тому +1

    Shukurani dada yangu

  • @mosesidesia2721
    @mosesidesia2721 Рік тому +1

    What is mdalasini in English

  • @AgnesMolelly
    @AgnesMolelly 10 місяців тому

    Mimi natumia mafuta ya mgando

  • @GATOTONurat
    @GATOTONurat 10 місяців тому

    Sa.mtufasiriye.mdalasini
    Ninini.hatujajuwa

  • @orwinyajohn1040
    @orwinyajohn1040 3 місяці тому

    Na mimi pia naamini katika nguvu za siri.

  • @StelaAsukilekilalakherisimba

    Unaweza kutumia km uneenda kwenye shughuli zako

  • @BettyKimweri
    @BettyKimweri 8 місяців тому +1

    Hizo dawa za tezi dume ni sh ngapi nijibu

    • @tabibulois
      @tabibulois  8 місяців тому

      150 k, hatua ya kwanza, piga kwa maelekezo zaidi

  • @MariaJoseph-h2k
    @MariaJoseph-h2k 11 місяців тому

    Unaishi wp

  • @BenardKoech-f3l
    @BenardKoech-f3l 3 місяці тому

    Mdarasini ni nini kwa kingereza

    • @tabibulois
      @tabibulois  3 місяці тому

      @@BenardKoech-f3l cinnamon

  • @Josephine-sv4gq
    @Josephine-sv4gq 8 місяців тому

    Mambos