WASTARA Na Z ANTO Wampiga Mkwara BINTI KIZIWI /JIPANGE TUNALINDANA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 596

  • @renildevenerand8256
    @renildevenerand8256 4 роки тому +48

    Kuna Alieona kama z hafurahishwi wastara anavyoongea kuhusu kumtishia sandra. Anakaushia tu?

    • @aminahamisi2837
      @aminahamisi2837 4 роки тому

      Wastara you disparet woman eti unasafisha Takataka hutaki takataka yoyote stupidity huyo z bado macho juu na anaonekana kabisa

    • @conorweston476
      @conorweston476 3 роки тому

      i realize I am kind of off topic but does anybody know a good site to watch newly released series online ?

    • @jaggernolan4310
      @jaggernolan4310 3 роки тому

      @Conor Weston i watch on flixzone. Just search on google for it :)

  • @mtukwaomedia
    @mtukwaomedia 4 роки тому +28

    Rest in peace bro sajuki ALLAH akujaalie pepo Kwa huruma yake mwenyewe

  • @subirajohn728
    @subirajohn728 4 роки тому +58

    vizuri sana Wastara nakupenda upo wazi hutaki makunyazi mama safisha njia!

    • @cathejoseph3366
      @cathejoseph3366 4 роки тому

      Mwili wake au wenu? Mwacheni bhana. Nyoko nyoko za nn?

  • @jokhagadafy2144
    @jokhagadafy2144 4 роки тому

    Wastar utabki wastara tuu mtt umeumbik mnxr maa shaa Allah love u smama imara kwenye ndoa hko dada

  • @upendorobert7298
    @upendorobert7298 4 роки тому

    Nakukubali Wastara, ukipenda Daah, hutaniagi. Salute sana we mdada. Komaa dada

  • @alimabaraza1135
    @alimabaraza1135 4 роки тому +3

    Mumependezana yani kaka nmhandsome dada yuko very beautiful nampenda sana huyu dada

  • @Jicholauswazitv
    @Jicholauswazitv  4 роки тому +15

    ASANTE KWA KUTAZAMA USISAHAU KUSUBSCRIBE CHANNEL HII NA KUSHARE NA MARAFIKI

    • @meddywayne7155
      @meddywayne7155 4 роки тому

      Namimi nisaidieni Jamani kusabscribe kwenye channel yangu asante🙏

  • @aminasalum1954
    @aminasalum1954 4 роки тому +19

    Warereeeee 😘😘😘😘👌miaka 1000 muish ndoa tamuuu bn wastara usikubali tena hizo interview zawauza sura fanya yako mama hakuna habar zamdogo wala mkubwa ndoa kwanza mengine baadae nani hataki kuolewa hehehe wanaotukan wote wanataman wawe wao wakuacheee mama miaka 1000

    • @annieaykisanga8
      @annieaykisanga8 4 роки тому

      Kwakweli umri namba yakiatu tu jmn wakuacheee kama mmeazana mda kabla ya sajuki iweje leo wamuite z mdogo achananayo mamy fanya yako nw washaelewa hao sasa kama ndani pametulia bx furaiyeni maisha

    • @rosemarysimon5914
      @rosemarysimon5914 4 роки тому +1

      Haswaaaaa wamwache ale vyake

  • @pichunakichuna2111
    @pichunakichuna2111 4 роки тому +15

    Z Anton body and eyes expression nimekuelewa z anto 😂😂😂

  • @danielyjaphety7554
    @danielyjaphety7554 4 роки тому +1

    kam umemwona Z anapapasa macho kutafta ulinz gonga like

  • @BillyChow-hn6mz
    @BillyChow-hn6mz 2 місяці тому

    Umetisha san wastara

  • @deejulesdonatha4107
    @deejulesdonatha4107 4 роки тому +6

    Anto unamuenjoy wastara jmn yn kila akiongea unajikuna pua...na hamna sentensi uliyoongea with energy km mwisho wa nne. Wastara pole hamna kitu apo

  • @germanerwilliamu4698
    @germanerwilliamu4698 4 роки тому

    Wastarah mzuri bhana khaaa .....!

  • @elieereka8744
    @elieereka8744 4 роки тому +15

    Nimegundua kitu kimoja huu Z anto hapendi Wastara ni kwasababu ya maisha ukiangalia jicho la tatu Z anto anampenda sana binti kiziwi Sandra “ utaligundua hilo badae” usicholiziki hakiliki “ Z anto ana jibu kwa hofu inawezekana huu mama yeye ndio anaemulisha, anaemvalisha” hakuna mapenzi hapa

  • @isabellanjesa6326
    @isabellanjesa6326 4 роки тому +70

    Wastara hapa anaforce

  • @anahna6788
    @anahna6788 4 роки тому +47

    Dada kipodozi kimekutendea haki yaani umedamshi

  • @tshirima8886
    @tshirima8886 4 роки тому

    Wastara kiukweli umebadilika sana...maneno ya kinywa chako kwa sasa siyo mazuri...

  • @asiamohamed7009
    @asiamohamed7009 4 роки тому +36

    Z unachokifanya sio vizur kabisa

    • @ifgodsayyes.nobodycansayno1796
      @ifgodsayyes.nobodycansayno1796 4 роки тому +3

      UMEGONGA NDIPO KABISA YANI ANAHANYA HANYA

    • @asiamohamed7009
      @asiamohamed7009 4 роки тому +4

      Umeonaee yeye z ndo chanzo cha yote hayo na sasaivi anajifanya haongei kitu kisa wastara yupo ila wastara na wewe ushakua mtu mzima mapenzi bado hujayajua tu Umepitia ndo nyingi sana inamaana ujajifunza tu Mambo ya kitoto ayo sister

    • @zulfahaji4666
      @zulfahaji4666 4 роки тому

      Msiwaingilie waacheni

  • @qaltumsaid3095
    @qaltumsaid3095 4 роки тому +2

    Nakupenda wastar kila la kher

  • @rukiasalim2512
    @rukiasalim2512 4 роки тому +24

    Duuuh dada wastar umebugi min maana kwa u hansmboy hu utachemka sana maana hata mimi kama vile namwelewa Z 😎

  • @najmaamiry2844
    @najmaamiry2844 4 роки тому +2

    Daah! Wastara dada angu naomba upunguze ukali wamaneno basi usifunguke sana hii nimitandao dada angu kuna leo nakesho .

    • @rosemarysimon5914
      @rosemarysimon5914 4 роки тому

      Ikitokea kaachwa poa Tu ila SASA wapo pamoja maparamamba yakae pembeni

    • @najmaamiry2844
      @najmaamiry2844 4 роки тому

      Sio vzr lkn chamsingi aendelee kuilinda heshma yake 2 kwamashabiki

  • @cynobaby8948
    @cynobaby8948 4 роки тому +44

    Z Anton kafanana na binti kiziwi wangapi wameliona Hilo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙆‍♀️

  • @abdallahmwanyende6175
    @abdallahmwanyende6175 4 роки тому +19

    Wastara hoyeeeeee,,super woman,,,Allah awape kheri na masikilizano,,,,akija binti kiziwi rukhsa ila mikataba patamu hapo

    • @UserQA0111
      @UserQA0111 4 роки тому

      Allahuma ameen ya Rabbi

  • @azashaban5846
    @azashaban5846 4 роки тому

    sitaki takataka nasafisha😂🤣👏👄

  • @onesphoryjoseph1399
    @onesphoryjoseph1399 4 роки тому +12

    Daaaa!! Mwanangu Z chakufanya oa wote!

  • @mutwalesylvie7443
    @mutwalesylvie7443 4 роки тому

    Nice sana mumesha oana bac

  • @mariacassian7892
    @mariacassian7892 4 роки тому

    Basi kama mlikuwa kwenye kampeni sasa kampeni imeisha jimbo limepata mbunge haya makada mjitulize huko hongera sana mama mjengo

  • @aishakidato3626
    @aishakidato3626 4 роки тому +27

    Duh mdada naomba uweke hakiba ya maneno mana wanauwe nikama vinyonga mda wote wanabadilika

    • @hawasaid6024
      @hawasaid6024 4 роки тому +2

      Huna lolote yatakushinda

    • @anjunurdin2392
      @anjunurdin2392 4 роки тому +1

      Kwanini huyo wastara asifanye vidio? Kama kweli anajifanya anawivu. Mbunge alijua kumkomesha na uongo hawakuwa na mahusianao.kwanini wasiowane? Akawa anaolewa na wengine? Anajiaibisha sana huyo dada na mkavu kweli hata mwenye mali anaona aibu yeye yupo kama dagaa

    • @anjunurdin2392
      @anjunurdin2392 4 роки тому +1

      Unapigania nini wewe?? Kwakupitia mgongo wa Binti kiziwi??

    • @halimabakari4174
      @halimabakari4174 4 роки тому +2

      Swadakta Aisha umesema point

    • @neemakaisile3913
      @neemakaisile3913 4 роки тому

      Aisha Kidato hawanaga dhamana hawa

  • @nyyt1363
    @nyyt1363 4 роки тому

    Z bibi anayekufaa ni binti kiziwi,dah ,,hili jimama halikufai,mungu akukumbuke uweze kurundiana na binti kiziwi pamoja na wanao huyu anakaa kupkupotezea muda tu

  • @nusaebahkeis6774
    @nusaebahkeis6774 4 роки тому +35

    Kwan wastara ww si uongeee na.mumeo mwanamke hagomban na mwanamke mwensanke kwa sbb utagombana na wanawake wengi ulimwengu huu gombana na hicho kinachogombaniwa gombana na huyo baba ongea naye yybatulie kwako basi bint kiziwi hana makosa kwa sbb kama katongozwa ndo katongozqa pengine na yy kapenda jeee nafasi anazo 3 bado jamaaa

    • @izkiwellcome55
      @izkiwellcome55 4 роки тому +1

      Umeonaeee wastara anauhakika km z bado anampenda Binti kiziwi kwaiyo yy analaximisha kumdhibiti z wakati nikitu ambacho hakiwezekani km kaweza kuwa namawasiliano wakati yuko gerezani ataweza kukata mawasiliano uraiyani hichi hakiwezekani

    • @izkiwellcome55
      @izkiwellcome55 4 роки тому

      Halafu mdada wa watu mstaarab hapend ayo mambo

    • @daimavlog
      @daimavlog 4 роки тому +2

      Z Anto alisema anahaki ya wanne

    • @izkiwellcome55
      @izkiwellcome55 4 роки тому +1

      Ndio sheria inamruhusu kuowa 4 lkn wastara anataka kuvunja sheria ya mungu mana anasema km ataolewa wakubaliane haoni km anakosea

    • @nusaebahkeis6774
      @nusaebahkeis6774 4 роки тому

      Ana haki 4 ndio hlf ndio kelele na mwanamke mwensio nje hlf x wake yule alimuowa kabisa kinsdoa hakuwa hawara wake kwa hio upendo uendeleeeee

  • @chany9950
    @chany9950 4 роки тому +1

    Jmn iyi jo mapezi sasa naitika 👏👏👏👏

  • @aysherkhamis1803
    @aysherkhamis1803 4 роки тому +5

    Z- anto huzeeki! Ila wastara kma anafoc z bado anampenda binti kiziw wametoka mbali sana

  • @catherinekisabo5240
    @catherinekisabo5240 4 роки тому

    Hongera kwa kupata jimbo

  • @asiajuma8330
    @asiajuma8330 4 роки тому +1

    Eti mwenzenu naona aibu mimi wastara jamani 🤣🤣kweli mapenzi kikohozi kuficha huwezi

  • @zabibuboko7055
    @zabibuboko7055 3 роки тому

    Penda Sana Mimi wastaraaa hongeraaa Sana kaba mpaka penatiiii

  • @ummtuma8137
    @ummtuma8137 4 роки тому +17

    Ungekuwa wastara ndugu yangu ningekupeleka uwanjani ukapigwa mawe kwa kufanya zinaaaa. So shame, Kwanzaa ulimsaliti uliezini nae sajuti, izo ndoa zako zote ni za uzinifuu tu

  • @parfaitkalemera2159
    @parfaitkalemera2159 4 роки тому +41

    Wastara tulia don’t force relationships she act like sugar mommy

    • @nancysyoweu4889
      @nancysyoweu4889 4 роки тому

      I honestly hate this woman ...no chemistry at all...I love z akiwa na binti kiziwi

  • @colethasingailelucas3936
    @colethasingailelucas3936 4 роки тому +16

    Z mi naona kama anajibu tuu amalize interview hayupo seriously

  • @senoritadg8599
    @senoritadg8599 4 роки тому +46

    kavaa kama anaenda kufunga ndoa ya uzee 😂😂😂

  • @mourinebey_kenya7027
    @mourinebey_kenya7027 4 роки тому +3

    Kama umeona anacho kiongea wastara kina mboesha z gonga like hapa tujuane 👍

  • @JeanetteMariamRafiki
    @JeanetteMariamRafiki 4 роки тому

    Wow suprise 😳😳😍they are lovers

  • @IconIcon-yz5vm
    @IconIcon-yz5vm 4 роки тому +2

    Kama umeona Z kaxtuka baada ya kuxkia mkataba gonga like tujuane 🤣🤣🤣

  • @saadabulanga6440
    @saadabulanga6440 4 роки тому +1

    umalaya umewazidi acha wastara amnyooshe

  • @godriversugwejo4036
    @godriversugwejo4036 4 роки тому +1

    Z anto handsome Jamani Em wazae sasa huyo mtoto atakua kisuuuuu

  • @witneyjerry1293
    @witneyjerry1293 4 роки тому

    Wastara wewe ni mzuri,pigania ndoa yako,lovly couple

  • @aloycemasele7236
    @aloycemasele7236 4 роки тому +14

    Hahaaa , umekuwa km Hurrem kwa Sultan, hakuna Sulia kwenda kwa mtukufu! Haya yangu macho lkn usije kuwa km Hadija alivyosalitiwa na Ibrahimu akampa mimba Nigar

  • @sheilamigans473
    @sheilamigans473 4 роки тому +7

    She’s crazy! Let the man work and choose whoever he loves

  • @tundamasaga9530
    @tundamasaga9530 4 роки тому +2

    😂😂wastara apo hupendwiii unaforce

  • @scholasticakapande9025
    @scholasticakapande9025 4 роки тому

    So uliolewa masheikh wakapiga swala zao pale na dus kibao! Kumbe una mchepuko wa kudumu! Duu! Wanawake mungu aturudishe edeni tumeshindikana!

  • @rosekihanga2615
    @rosekihanga2615 4 роки тому +2

    kwanza nakushaur mshukuru binti kiziwi ,, sisi hayaahusiano tumeyajua baada ya bint kiziw kurud hahaha

  • @starcostantine1795
    @starcostantine1795 4 роки тому

    Kila abiria achunge mzigo wake hongera wastara

  • @amafelician1769
    @amafelician1769 4 роки тому +14

    Sio mbaya ,mko poa mapenzi hayachagui bwana ila huyo z nae aonyeshe mapenzi ya dhati basi maana na wasiwasi nae

  • @fauziakarama2012
    @fauziakarama2012 4 роки тому +1

    Z ,kwa muislam mpaka wa nne kwa mwanamme rijali Wastara huna mpya huwezi kumzuia mwamme , bora kuoa kuepusha zinaa .

  • @uwimanacitegetse9926
    @uwimanacitegetse9926 4 роки тому +1

    Sinachakuandika ila sikumta achana nami nitakucha nachanatu wejishauwe vizulitu umeachana nawanaume wangapi Kwanihuyo zd ndomumewe wakwanza unajidanganyatu☝️

  • @albertinemacimu1247
    @albertinemacimu1247 4 роки тому

    Tena ukiangalia vizuri wanafanana kisha na binti kuzidi au macho yangu tu

  • @happyflorian3047
    @happyflorian3047 4 роки тому

    Wastara safari hii umeniangusha sana

  • @yeremiasaid9030
    @yeremiasaid9030 4 роки тому

    Safisha takataka zote kwa jiki,upo vizuri mama

  • @franknesta5834
    @franknesta5834 4 роки тому +49

    Mtu huwaga anakifanya anacho jisikia' pia mapenzi yanaga mipaka' Fanyeni mnacho jisikia"%

  • @esteraman5621
    @esteraman5621 4 роки тому +1

    Mapenz Uwa yanaenda na kurudi usitambe nakuongea sana jee siku penzi la z,,likirudi uwez fanya lolote jamb ni umuombee mungu akurindie penz lako sio unaongea sana

  • @cabylake2320
    @cabylake2320 Рік тому

    Poa kabis 💖💕

  • @najma3268
    @najma3268 4 роки тому +4

    Z anto anaona aibu, halafu hapo inaonekana mwanamke anamapenzi ya kibabe, dadaangu kibabe hivi kwakweli halafu inaonekana mwanamke ananguvu kuliko mwanaume , haya ndo matatizo ya vijana klelewa wanakosa uhuru wa kuwa na maamuzi

  • @khadijakhadija6212
    @khadijakhadija6212 4 роки тому

    Kwann ulimruhus afanye nae kazi saiv unapaniki bana

  • @hellacredis5555
    @hellacredis5555 4 роки тому +1

    Nampenda wastara

  • @papaamukulu7166
    @papaamukulu7166 4 роки тому +1

    Z hapa hampenda anatk msaada2 maan wastara ana2mia pesa zke amtoe kimuzk mapenz ypo kw sandra

  • @marymamntine1909
    @marymamntine1909 4 роки тому +4

    Mapenz yao toka utotoni,,, hizi ni kiki za kumrudisha z na Sandra kwenye game ,yaan nyie mlipanga kabisa mmeona sandra katoka gerezan ndio mkaona mda sahihi wa kuitengeneza kiki.. Sema nn mnahit.. Couple in town Z anto and Wastara 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @roseuwambe8089
    @roseuwambe8089 4 роки тому +3

    Kweli kibaya chajitembeza kizuri kinajiuza mwenzake kanyamaza yeyekila sikukelele 🤪🤪🤪

  • @fettyally333
    @fettyally333 4 роки тому

    Anaonekana Z Hana hata mapenz ya dhati. Na wastara yuko kishari zaidi

  • @anthonyprice6772
    @anthonyprice6772 4 роки тому

    🔥
    definitely deserves this place in trending
    1:37 💟💚
    👇👇💝

  • @naimanurdin8984
    @naimanurdin8984 4 роки тому +23

    Wastara usimalize maneno kwa wanaume wetu hawa wakibongo utakuja kuitafuta sura yako pa kuiweka

    • @farhiyasharif4393
      @farhiyasharif4393 4 роки тому

      Wastara usimalize maneno huyo bado anampenda binti kiziwi kaa ukitambua

    • @lulumshimbo2604
      @lulumshimbo2604 4 роки тому

      Mkubwa mwenzetu kayumba z akiliyake ipo kwa bint kiziwi

    • @naimanurdin8984
      @naimanurdin8984 4 роки тому

      @@lulumshimbo2604 😁😁😁umeona eee ndio mana mimi sitaki kujimaliza maneno ya kimapenzi kwa wanaume wenyew hawa wa karnee hii hapana kwa kweli

    • @beatriceokama6352
      @beatriceokama6352 4 роки тому

      @@lulumshimbo2604 wastara nae hakumbuki kama Z na binti kiziwi walishafunga ndoa na akasema talaka alizompatia zilikuwa sio sahihi angetakiwa ampe mbili yeye akampa tatu kwahiyo hapo wanaruhusiwa kurudiana na bint nimenukuu kwenye entervew ya Z

    • @hidayayussufu8683
      @hidayayussufu8683 4 роки тому

      @@lulumshimbo2604 😂😂😂😂😂😂

  • @helenamwaipopo967
    @helenamwaipopo967 4 роки тому

    Wasanii wa bongo hamna kitu apo pole sana utaendelea kuumizwa mpaka mwisho maana unakulupuka unapenda kueolewa nakuachika ni kawaida yako endelea tuu kumalizia uzee😀😀😀😀😀

  • @bakarimuhammed334
    @bakarimuhammed334 4 роки тому

    Wastara naomba no ya binti kiziwi mm nipo zanzibar

  • @rukiaiddyyahaya9506
    @rukiaiddyyahaya9506 4 роки тому

    Mfyuuu anajishaua utazani Ana dume la mbegu wastara unajidhalilisha

  • @shakilamasoud2983
    @shakilamasoud2983 4 роки тому

    Wastara uko wazi sana,, Mungu akulinde

  • @hannatyussuf2671
    @hannatyussuf2671 4 роки тому

    Yaanii uyo mwanaume unamsoma kabisa kama hapendi asemwe Binty kiziwi na wastara yaani kama anafocc iv

  • @kwizerazenab814
    @kwizerazenab814 4 роки тому +1

    Masha Allah mlipendeza Sana

  • @wemanatenda383
    @wemanatenda383 4 роки тому +14

    Mmmh kwakweli hapa hakuna mapenz kabixaa Z anto mapepe sana uyu

  • @sarahkarimi5390
    @sarahkarimi5390 4 роки тому +1

    Duh anajiforce kuwa na z anto

  • @Mwakitwange
    @Mwakitwange 4 роки тому

    SAJUKI ☁☁☁☁

  • @jaziraally6949
    @jaziraally6949 4 роки тому +8

    Wastara sitachoka kukuambia we ni mrembo

  • @theresiamethod6224
    @theresiamethod6224 4 роки тому +2

    Huna jipya wastara

  • @claudinenkurunziza2137
    @claudinenkurunziza2137 4 роки тому +14

    Ukute unagombania mwanaume asie kupenda 😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣

    • @jaybandra3720
      @jaybandra3720 4 роки тому +1

      hiiiii ipo sana wanawake huwa hamuelewi wanaume wengi tunaish na wanawake kwakutungand au kututishia kwamba mnakunywa sumu kwahiy unabid tuwe wapole na kuuish bila upendo wazat

    • @sabrinakimei8701
      @sabrinakimei8701 4 роки тому +1

      Duuuuh atariiiiiii

  • @nikitarewis2598
    @nikitarewis2598 4 роки тому +3

    Aibu ☹️ mboo tamu 🤣🤣🤣🤣

  • @mwanaidyabduly6612
    @mwanaidyabduly6612 4 роки тому +9

    Mmeshakua watu wazima mambo ya kugombania wanaume waachieni watoto jmn mbn mnajidhalilisha wanawake kutoleana kashfa kwa ajili ya mwanaume jmn

  • @Daphne362
    @Daphne362 4 роки тому +43

    Lakini wewe Z Anto niki boko..wakati wasitara hayupo ulikuwa mmmh,sasa upo kimya kama maji ya nyungu 😅😅😅😅😅😅😅

  • @shangwefisima7188
    @shangwefisima7188 4 роки тому +1

    Ila Ka z Anto ka handsome

  • @hemedjuma5723
    @hemedjuma5723 4 роки тому

    Sijui bahada ya (z) atafata Nani!!!😂😂

  • @naimasaid7763
    @naimasaid7763 4 роки тому

    Wastara unajidhalilisha hata kama ni mtu wako lkn pia unajidhalilisha sababu huyo sio mumeo angelikua ni mumeo hapo sawa una haki ya kuongea nae lolote na kuwa nae muda wote, lkn kwa vile ww ni hawala muda wowote anaweza akakutema halafu ukapata aibu, Z mwenyewe kitombi huyo anaonekana anapenda sana chini na mtu anaependa chini halizikagi na mmoja na wala huwa hadumu kwa mtu mmoja
    Yetu macho

  • @nasranahimana2481
    @nasranahimana2481 4 роки тому +1

    Mapenz yenu ni bala kbs yani munaachan mnapendan duuuuuuu wawaach tu kbs

  • @azizchui7232
    @azizchui7232 4 роки тому

    Z achakushikwa masikio changamka basi hatakama ndohivyo tena usiwe bwege kamanda chapailale😂😂😂😂

  • @bahatitumsif1872
    @bahatitumsif1872 4 роки тому

    Maskini Z kanatia huruma yaani really love yake ipo wazi kabisa kwa bi kiziwi

  • @fatumaabdhul8620
    @fatumaabdhul8620 4 роки тому +23

    Ongera wastaraaa nakupenda sana

  • @celinamgundoi5601
    @celinamgundoi5601 4 роки тому

    Tene sanaa tuu mamaa

  • @adelaidedaycareprenurseryk6324
    @adelaidedaycareprenurseryk6324 4 роки тому

    Daaah! Mungu atusaidie wanawake. Daaah!

  • @faamohammedrashid3645
    @faamohammedrashid3645 4 роки тому +1

    Hahah et lazima nilinde mzigo wangu du mapenz haya

  • @rosemarykaroli9572
    @rosemarykaroli9572 4 роки тому

    He he he he he he kumbe mmesimama nikafikili mmekaa kama unaamin walikuwa wamekaa kama mm gonga like hapa

  • @munaaswalleh5502
    @munaaswalleh5502 4 роки тому

    Mmmmh hawa jamani nikiki tu hakuna jipya wote walipotea kwenye game wanabustianaaa...,tu ...ila hiyo crown utasema atoka kipa imaraa😂😂😂😜😜

  • @neemanicolas8091
    @neemanicolas8091 4 роки тому

    Huyu dada Malaya tu anapenda wanaume sana

  • @rukiyamohammed2945
    @rukiyamohammed2945 4 роки тому

    Ole wenu mje tengana... Dunia nzima itawacheka mbayaa

  • @abastansanga7256
    @abastansanga7256 4 роки тому +2

    Wewe Z umemwagiwa majiiii mbn umepoa😂😂😂😂😂😂

  • @mtukwaomedia
    @mtukwaomedia 4 роки тому +3

    Dah. Yani sajuki wamemsahau kabisa namambo yanaendelea mengine wanawake

    • @zariamandoti4875
      @zariamandoti4875 4 роки тому

      Sas unataka wamkumbuke had Lin?? Kwahyo yy akifa maisha mengine yasiendelee?? Ingekua hvyo mungu angesema wajane wasiolewe

    • @mtukwaomedia
      @mtukwaomedia 4 роки тому

      @@zariamandoti4875 ulichokitafsir wewe ni tofauti namimi nilivyokusudi bibie