Mc umezingua chama kafanya mambo makubwa ndani ya simba yetu unayoongea ni siasa za mpira wa Tanzania kwa mfano ntibazokiza alipokuwa Yanga sisi tulisema mzee akaja kwetu kijana na wao chama wa simba mzee aliyeenda Yanga kijana ila chama analijua bili ila sijui kama atakuwa bora kama wa simba
Safi sana waambie ukweli kaka
Ni kweli kabisa,!!!!!Waambie hao si malimbukeni,,,Wanalazimisha kujulikana hao utopwize.
Solo. Simba toza likolo masta na ngai
💟💟💟
watu msio jua mpila mnatakiwa mjue kuwa chama alimaza mkataba wake hakiwa ximba Ameondoka ximba akiwa uhuru sawa
Hahahhahahahahaa nimecheka hatari, mchezaji anaenda timu ambayo malipo ya mchezaji yanaenda kumaliziwa mahakamani
Mimi niwashauri waandishi wa habari sasa hivi msiwahoji mashabiki wa simba kuhusu chama wanaweza kulia.
wa yanga kuhusu feisal vp wahojiwe?
😂😂😂😂😂😂